askari polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Arusha: Askari Polisi apigwa kama Mbwa koko

    Arusha Ungalimited Maeneo ya Soko Mjinga alikuja Polisi akakamata vijana wawili akawafunga Pingu, akaanza kwenda nao kituoni sasa cha ajabu njiani akaanza kuwapiga na fimbo kichwani mmoja damu zikaanza kumvuja. Basi Vijana hao walimkamata polisi kama unavyoona kwenye video, wakamtembezea...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM, Mawaziri, Askari polisi, mawakili na wanasheria wa serikali na viongozi wengine wa kiserikali; Jifunzeni kwa Hamis Kingwangwala

    Ndugu Hamisi Kingwangwala ni somo tosha kwa wabunge wa ccm kwasababu aliwahi kuwa mbunge; Ni darasa kwa mawaziri wa sasa kwasababu aliwahi kuwa waziri, Ni elimu inayoishi kwa kila kiongozi wa serikali anayedhani nafasi aliyonayo ataishi nayo milele, Ni fundisho kwa wote wanaodhani kwamba...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi wafika msibani kutoa pole kwa Familia ya aliyefariki katika Hifadhi ya Ngorongoro

    Maafisa wa Jeshi la Polisi mapema leo wamefika katika msiba wa Sefu Mussa, mkazi wa Matejoo jijini Arusha, aliyefariki dunia baada ya kudaiwa kupewa adhabu na askari watatu wa Hifadhi ya Ngorongoro. Sefu alidaiwa kufariki baada ya yeye na wenzake kupotea njia Aprili 12, 2026, walipokuwa...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Patrobas Katambi: Tutachunguza clip ya Bodaboda kuvutana na Askari Polisi, haki itatendeka

    KAULI YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, PATROBAS KATAMBI JUU YA MATUKIO MBALIMBALI MITANDAONI NA LA ASKARI NA DEREVA BODABODA LINALOSAMBAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII,LEO TAREHE 9/8/2026 Ndugu zangu nimeona, nimesikiliza na nimesoma comments; TUTACHUNGUZA kwa kina na kujua kiini cha tatizo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Polisi adaiwa kumkodi Bodaboda na kukataa kumlipa baada ya kumzungusha kwa saa 1

    Inadaiwa huyu askari alimkodi huyo boda boda kwenye video na baada ya kumzungusha kwa saa moja kagoma kumlipa, kwa mujibu wa maelezo ya boda kulitokea ugomvi ambao ulisababisha huyo polisi kumng'ata kidole huyo boda hali iliyomfanya yeye ampige ngumi ndipo alipomuachia. Hizi aibu kwa jeshi hili...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katavi: Askari Polisi ashtakiwa kwa kuomba na kupokea Rushwa ili awaachie waliokutwa na gunia 10 za bangi

    Mei 04, 2026: Imefunguliwa kesi ya Jinai Namba CC. 9474/2026 katika Mahakama ya Wilaya ya Mlele mbele ya Mhe. Kibona. F, Jamhuri dhidi ya RABIEL ROBERT KAAYA, askari wa Jeshi la Polisi mwenye Namba za Kijeshi H. 3083 mkazi wa Majimoto Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi. Hati ya Mashtaka imesomwa na...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Askari polisi Kenya ajichanganya

    Iko askari mpumbavu aliamua kumsomesha mpenzi wake chuo kikuu alitumia takriban 800,000 za kenya baada ya kuhitimu mpenziwe alimuacha na kusema ako na elimu zaidi ya polisi. Polisi alimfuata kwake na kumpiga risasi kumi na saba hadi kufa. Je, makosa ni ya nani?
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa nyumbani Masasi Mtwara, ni kweli kuna Askari Polisi amefariki kwa kujipiga risasi akiwa kazini?

    Kuna taarifa ambayo bado haijathibitishwa inadaiwa kuwa Askari Polisi mmoja amefariki Dunia kwa kujipiga risasi akiwa kazini, Wilayani Masasi Mkoani Mtwara. Haijajulikana wazi chanzo cha kujipiga risasi na ni kama kweli amejipiga risasi amepigwa risasi. Taarifa hii nimeona inasambaa chinichini...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi kutumikia kifungo jela miaka 2 kwa kumuua raia bila kukusudia Iringa

    Mahakama Kuu Kanda ya Iringa imemhukumu Askari Polisi namba F.4987, Sajenti Rogers Mmari wa Kituo cha Polisi Ipogolo, kutumikia kifungo cha miaka miwili jela baada ya kupatikana na hatia ya kumuua bila kukusudia kijana Nashon Kiyeyeu, mkazi wa Ipogolo, Manispaa ya Iringa. Hukumu hiyo imetolewa...
  10. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Video ya Askari polisi akilia kwa uchungu baada ya Mkewe kuuliwa na watu wasiojulikana

    Kuna hii video inamuonyesha moja ya mtu ambaye inasemekana ni Askari polisi akilia sana na kwa uchungu baada ya mke wake kuuwawa na watu wasiojulikana. Na moja ya kauli yake anasema ninawalinda watu ila mimi nimeshindwa kumlinda mke wangu hadi kauwawa Je hii video upi uhalisia wake ni ya lini
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wananchi wafunga barabara kwa mawe, Askari Polisi walazimika kuyabeba kuyatoa barabarani

    https://www.youtube.com/watch?v=ng1UQIcbLpQ
  12. I

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi wa Iran waweka silaha chini na kuunga mkono maandamano ya kudai HAKI

    https://www.instagram.com/reel/DTL2zwckvlX/?igsh=NXI4ZTdyd2h5YXhr
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sidhani kama kuna Mtanzania ambae aliumizwa atawasamehe askari Polisi. Ipo siku hata misiba yao watajizika wao peke yao

    Hakuna mtu anayepinga kuwa kulitokea uhalifu kipindi watu wanaukataa utawala wa Rais Samia ile oktoba 29. Lakini swali la msingi je hawa wahalifu walikuwa na siraha za kivita? Shoot to kill ikatokea na watu wengi wakapoteza maisha. Polisi wamechukiwa na wameonekana hawana mioyo ya kibinadamu...
  14. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Askari wa JWTZ Ashushiwa Kichapo na Askari Polisi

    Alikuwa ndani ya bajaji kama abiria, mbele bajaji ikasimamishwa na polisi kwa ukaguzi, askari wa JWTZ (jeshi namba 6 kwa ubora duniani) akashuka na sare zake akawa anamwamrisha polisi awaachie, polisi akagoma yule mwamba wa JWTZ akamsukuma polisi hadi akaanguka. Baada ya kuinuka alimtembezea...
  15. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kuna wimbi kubwa sana la Askari Polisi kutengwa na jamii huku mitaani

    Hapa mtaani kwetu tayari tumeshawatenga watatu, tumedhamiria kutoshirikiana nao kwa jambo lolote.
  16. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Twaha Mwaipaya: Haya sio mabanda ya kuku. Ni nyumba za Jeshi La Polisi Central Dodoma

    Anaandika Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa Instagram: Haya sio mabanda ya kuku hizi ni nyumba za jeshi la polisi Central Dodoma, ndugu zangu Polisi kama Serikali ingekuwa inawapenda ingeboresha maisha yenu Ila inawatumia na kuwatupa huku mabosi zenu wa polisi wakiishi maisha mazuri, nyie...
  17. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hii ni aibu leo Tabata. Polisi anatoa maelekezo kwa Wanajeshi aisee

    Picha hii inayosambaa mitandaoni ikiwaonyesha wanajeshi wa JWTZ wakipokea maelekezo kutoka kwa Polisi imeibua mjadala mkubwa. Huku wengine wakiona kama ni kushusha hadhi ya jeshi la wananchi, swali linabaki ni Je! Itifaki ya vyombo vya ulinzi na usalama inawezekana kwa jambo hili? Hivi Hili ni...
  18. Kubwjing

    JamiiForums Tanzania TANZIA Arusha: Askari Polisi auawa Picnic bar akidhaniwa jambazi baada ya kuzidiwa kilevi na kwenda kulala kwenye gari lisilo lake

    ASALAAM ALEYKHUM WADAU, Aisee bana kuna Askari aitwaye Omari Mnandi, aliyekuwa ameingia katika gari binafsi la Mtu aliyekuwa akijivinjari maeneo ya Picnic, alijisahau akajiachia kama yupo kwenye gari lake mpaka kusinzia...(Nafikiri walikuwa katika Doria ya usalama) kilichotokea alipigwa na kitu...
  19. feyzal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mafuriko ya askari polisi na wanajeshi barabarani leo kulikoni?

    Wakuu habari. Haya mafuriko ya manjagu na JWTZ barabarani leo Chang'ombe-Temeke kimakundi kwa makundi kuna usalama? Au ndio mambo ya uchaguzi na maandamano?. #kazi ipo
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCK: Tutawashonea suti askari polisi, wale wazee wetu wastaafu tutawajengea nyumba mjini na vijijini

    CCK ikiingia madarakani itasimamia mchakato wa katiba mpya ambayo si kwa siasa pekee bali yenye kugusa maisha ya wananchi, akieleza kuwa uongozi uliopita muda wao umepitwa. "Watu wameng'ang'ania maofisi, vijana wenye elimu wanahangaika, CCK tukiingia madarakani ni kuwaondoa hao na kuwapa nafasi...
Back
Top Bottom