bajaji

Bajajirao Mudhoji Naik Nimbalkar was a Maratha nobleman and sixteenth Raja of Phaltan Jagir during 1644-1676. He was sardar of Deccan Sultanates and Maratha nobleman.

View More On Wikipedia.org
  1. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Chalamila, usipoe, bajaji na bodaboda waondoke katikati ya jiji na major highways.

    Kupanda bajaji na Bodaboda ni roho mkononi. Waendeshaji wa vipando hivyo hawaheshimu sheria wala watumiaji wengine wa barabara. Matokeo yake ni kama hiyo bajaji, lori na daladala "wamemfanyizia" bajaji,
  2. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania HOJA Manispaa ya Ubungo, LATRA na Jeshi la polisi usalama barabarani ondoeni bajaji njia kuu za Bunju na Morogoro road

    Wadau, hili jambo limekuwa kero kubwa kwa watumiaji wa barabara maeneo Bagamoyo Road na Morogoro Road. Idadi kubwa ya bajaji zinazoingia na kufanya shughuli kwenye barabara kuu, hasa maeneo yenye msongamano mkubwa wa magari, imekuwa ikichangia usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara. Tatizo...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Bajaji yajaza abiria kupita kiasi hadi dereva kuendeshea akiwa ametoa kiuno na miguu nje

    Ndugu wanajamii na mamlaka husika, Huu ni uendeshaji hatari sana wa chombo cha moto na ni jambo ambalo halipaswi kuachwa liendelee kuwa kawaida. Kama inavyoonekana kwenye video, dereva wa bajaji hii amejaza abiria kupita kiasi hadi amekosa kabisa nafasi ya kawaida ya kukaa. Ili kuweza...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Migomo ya daladala, Bajaji haziibi wateja ila ni daladala kutumia muda mrefu kujaza abiria, Bajaji inatumia dakika 20 tu, Daladala saa zima

    Muda ni wa thamani sana, abiria huona ni bora kulipia 1500 ya bajaji kuliko buku ya daladala, safari ni ile ile lakini bajaji itatumia dakika 20, daladala saa zima
  5. cEHO

    JamiiForums Tanzania KERO Tozo ya Bajaj Stendi ya mabasi Magufuli: Nani anapaswa kulipa?

    Unapopanda bajaji kwenda Stendi ya Mabasi ya Magufuli, Mbezi, unaambiwa nauli yako inaongezwa Shilingi 500 kama tozo ya kuingia stendi. Kinachoshangaza ni kwamba tozo hiyo inayotozwa kwa waendesha bajaji inaonekana kulipwa na abiria, badala ya kubebwa na mwenye bajaji ambaye ndiye anayefanya...
  6. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Boda , Bajaji na Maguta Walalama kudharauliwa Dar es salaam!

    Wamiliki na waheshimiwa maafisa usafirishaji wanaotumia Bodaboda, Guta na Bajaji walalamikia dharau dhidi yao kuonekana hawawezi kulipa tozo za maegesho . Wamesema kwa siku wanaingiza zaidi ya Elfu 50 na kiwango cha chini ni elfu 30 kwa siku , tajiri anapewa 15 na dereva anakula 30. Kwa Bajaji...
  7. Mtaachana

    JamiiForums Tanzania Leo nimemwona jini live nilipanda naye kwenye bajaji mwenge goba pisi kali muda wote ipo kmy ila miguu yake ilinishtua sana

    Yule hakuwa binadamu wa kawaida aisee.... Tangu tunaanza safari kutoka Mwenge, mwili wangu wote ulikuwa unasisimka.. Mara nyingi kwenye mwili wa binadamu yoyote yule kama upo sehemu isiyo salama au upo na mtu asiye wa kawaida basi lazima mwili wako ukupe taarifa. Ndicho kilicho tokea, ila...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bajaji na Daladala za Kimara kwenda Matosa zinajipandishia nauli vinavyotaka

    Kero yangu kubwa ni Bajaji na Daladala za Kimara kwenda Matosa wanapandisha na kushusha bei mfano asubuh Bajaj ni Shilingi 1,500 na usiku bei ni hiyohiyo ila mchana ni Shilingi 1,000 hiyo imekuwa inatuumiza wateja kutojua bei elekezi na Sh 1,500 hiyo ni nyingi hata kulinganisha umbali naomba...
  9. Gblaiz

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira ya Bajaji ya Hesabu au Mkataba

    Naitwa George ludomya makazi ni Kunduchi, Dar es Salaam. Nimekuja kwenye Jukwaa hili ili kuomba kama kuna mwenye ajira ya dereva Bajaji iwe Mkataba au hesabu. nina leseni iliyokamilika pamoja na cheti kutoka veta ,pia nipo tayari kuja na mdhamini ambaye yupo serikali, passport zitakazo hitajika...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Huyu ni moja ya waliojitambulisha kuwa Askari, anasumbua sana Bodaboda na Bajaj mitaa ya Kariakoo

    Hawa Askari wamekuwa waonevu na wametengenezewa kichaka cha kula Rushwa kupitia kazi ya kukamata Bajaj na Bodaboda wasio na Vituo, hata ukisimama dukani unanunua kitu emergency wanakukamata. Yaani wao wamekuwa hawadili na Watu wasio na Parking, Badala yake wanakamata hata ukiwa umempeleka...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania THE G.O.A.T

  12. M

    JamiiForums Tanzania Mkopo maalumu kwa watumishi wa umma wa bajaji pikipiki na GUTA bila KIANZIO wala mdhamana.

    Hello Naomba kuwasilisha tangazo maalumu kwa watumishi wa umma wote ambao wanahitaji kujiongezea kipato au kuwa na kazi nyinginevya ziarah ambayo itawasaidia kupunguza gharama za maisha. Tangazo hilir linahusiana na mikopo ya bajaji pikipiki na GUTA. Mkopo Hui hauhusishi mdhama wowote au...
  13. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Natafuta bajaji ya 1.5m mpaka 2m isiwe trip garage

    Habari “Matatizo unayatafuta mwenyewe kaka” nilipompa wazo hili jamaa yangu kuwa natafuta bajaji ya bei hiyo.. majibu yake yalikuwa hayo Mwenye connection ya minada ya serikali ya bajaji na pikipiki zilizokamatwa na makosa mbali mbali kama na madawa na wenye vyombo wakavitelekeza kituoni...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi wa Moshono jijini Arusha tunapata shida kutokana na madereva wa daladala kuzuia bajaj zisipakie watu

    Wanannchi tunaoishi Moshono, Arusha, tunakabiliwa na changamoto kubwa ya usafiri, hususan nyakati za asubuhi tunapoelekea makazini. Kwa muda mrefu, bajaji zilikuwa msaada mkubwa katika kuturahisishia usafiri, lakini kwa sasa zimezuiwa kuingia na kufika Moshono kutokana na vikwazo vinavyowekwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Dereva bajaji Dodoma

    Habari anahitajika dereva wa bajaji (used ) ya mkataba. Dodoma mjini mkataba ni mwaka mmoja. Vigezo - Awe na leseni -Mdhamini mmoja Kwa yeyote aliye tayari anicheck whatsapp 0743315931 Deadline 1/06/2026
  16. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Trump kavurugwa. Vitu gani anapost bila caption?

    Nani anamchanganya huyu mzee? Ni AI generated lakini hadi rais wa nchi kubwa hivi anapost? Tf? Source: https://truthsocial.com/@realDonaldTrump/posts/116591901587847680
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Vijana Ruvuma wapata mkopo wa bajaji bila riba

    13/05/2026 Vijana Mkoani Ruvuma katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea wamepata mkopo wa Bajaji bila riba. Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed amewakabidhi rasmi kwa niaba ya Serikali ya awamu ya Sita chini Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
  18. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa kubadili Bajaji ya Mafuta iwe ya umeme?

  19. P

    JamiiForums Tanzania KERO Hii foleni Mbezi Beach barabara ya chini ni kiboko, hadi bajaji na baiskeli zinakwama!

    Wakuu, ushaona foleni hadi bodaboda inakwama sehemu inabidi isubiri gari zisogee? Sasa huku ni hizo gari chache ambazo zinatoka Mbezi juu, hali ya huko si ndio italuwa balaa? Na hii si asubuhi wala jioni, hakuna afadhali, ukizingatia barabara ni ndogo. Yote haya ni kufanya ujenzi bila plan ya...
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Je, na zile Daladala na Bajaji Ambazo Tayari Zimebadilishwa Mfumo Kutumia Gesi ya CNG Nazo Zinaongeza Nauli? Maana Kg 1 ya CNG ni Sawa na TZS 1550

    Je zile Daladala na Bajaji Ambazo Tayari Zimebadilishwa Mfumo Kutumia Gesi ya CNG nazo Zinaongeza Nauli? Maana Kg 1 ya CNG Ambayo ni Sawa na Lita 1 ya Petroli/Dizeli ni TZS 1550 tu. Kufuatia kuongezeka kwa bei za mafuta katika soko la kimataifa, hali hii mara nyingi husababisha ongezeko la...
Back
Top Bottom