MKOA WA MOROGORO, WILAYA YA KILOMBERO, TARAFA YA MANG'ULA: WANANCHI WAOMBEA MSAADA KUHUSU TATIZO LA TEMBO
Vijiji vingi vilivyopo katika Tarafa ya Mang'ula, Wilaya ya Kilombero, Mkoa wa Morogoro, vinapakana na Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Udzungwa. Kwa ushirikiano kati ya TANAPA, Serikali na...
Wachinjaji wa Manispaa ya Morogoro tunaambiwa mpaka tarehe 17.08.2026
Tunatakiwa kuhamisha shughuli zetu za uchinjai kwenye machinjio mpya iliyojengwa na Manispaa eneo la mawasiliano kata ya mkundi licha ya machinjio hyo mpya iliyojengwa na manispaa kutokukidhi vigezo.
Manispaa walilazimisha...
Ajali ya alie kuwa waziri Mkuu sokoine ambaye alitazamiwa kuwa kiongozi mkubwa ambaye angebadilisha sana Tanzania
Picha ya alie kuwa rais w Tanzania hayati John Magufuli akizindua kiwanda cha ngozi pale morogoro
Wote wajaliwe kupumzika kwa amani
Hamjambo wote!
Baada ya wanaonichukia kunidhihaki, kuniponda, kunikejeli na kuninyali. Huku wanisema sina hili wala lile. Sina maisha wala kitu chakufanya.
Wengine wamefika mbali wakinitukana na kuniambia nashinda tuu mitandaoni kurushiana maneno na watu.
Sasa nimekumbukwa. Mambo yanaenda...
Wafanyabiashara Soko la Mawenzi Morogoro wamegoma kufungua biashara wakishinikiza Serikali ipunguze Kodi ya pango la Vizimba.Wafanyabishara hao wamesema licha ya kutozwa Kodi kubwa lakini bado Soko hilo lina
Miundombinu mibaya jambo ambalo Wateja wanakimbia kufika hapo.Mkuu wa Wilaya ya...
Takribani miaka 10 iliyopita, Watanzania walishuhudia moja ya operesheni kubwa za ubomoaji wa makazi na biashara zilizokuwa kandokando ya Barabara ya Morogoro, maarufu kama Morogoro Road. Kuanzia Korogwe, Kimara, Mbezi Luis hadi Kibamba, nyumba, maduka na vitega uchumi vilibomolewa kwa maelezo...
Anonymous
Thread
hifadhi
katika
maeneo
morogoromorogoro road
nani
ujenzi
Baada ya kusambaa kwa video ikionesha Wananchi wa Kijiji cha Kisaki Mkoani Morogoro wakidai kuna ndugu zao wamepotea katika mazingira tata kwenye Hifadhi ya Taifa ya Nyerere, mamlaka husika imetoa ufafanuzi.
Kuangalia Hoja ya Wananchi hao bofya hapa ~ Clip ya Wananchi wa Kisaki kupinga mauaji...
Viongozi watatu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kutoka mikoa ya Morogoro na Tanga wamewasilisha malalamiko rasmi kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, wakipinga hatua zilizochukuliwa dhidi yao walipopaza sauti kuhusiana na tuhuma za ubadhirifu wa pesa za michango ya wadau kwa chama hicho...
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imetoa ufafanuzi kuhusu hoja iliyotolewa na Mdau wa JamiiForums.com aliyeandika "TANROADS ilipima makazi yetu kupitisha Barabara ya Njia Nne (Kibaha - Morogoro) mpaka sasa kimya, kama mradi haupo watuambie"
TANROADS imeeleza "Zoezi la awali lililofanyika...
Mimi ni moja kati ya wafanyabiashara tulioumizwa na bado tunaendelea kuumizwa na taasisi ya serikali TEMESA mkoani Morogoro.
Nina madai ya madeni tokea 2017 nili-suply vipuri vya magari ila mpaka sasa nadai.
Miaka mitatu iliyopita walidai tupeleke invoice na barua ya madeni hayo kuwa wanatuma...
Wakuu,
Hii video inatrend kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii
Hawa wananchi wa kwenye hiki kijiji cha Kisaki (Kata ya Kisaki), kilichopo katika Wilaya ya Morogoro Vijijini, Mkoa wa Morogoro,bila uoga wamelalamikia uonevu, unyanyasaji, na matumizi makubwa ya nguvu (ukatili) kupitiliza...
Wananchi tunaoishi kando ya barabara kuu kuanzia Kibaha, Mlandizi hadi Morogoro, tumekuwa tukiendelea kuishi kwa hofu kuhusu makazi yetu, kwani mradi wa upanuzi wa barabara hiyo kuwa njia nne unaohusisha ushirikiano kati ya Sekta Binafsi na Serikali (PPP) haujulikani umekwama wapi!
Ni miaka...
Anonymous
Thread
barabara
haupo
kibaha
kimya
kupitisha
makazi
morogoro
mpaka
mradi
njia
tanroads
Mi ni mmoja wa wananchi tuliotekeleza maelekezo ya National Identification Authority (NIDA) ya kurudisha vitambulisho vya Taifa vilivyokuwa na tatizo la kufutika kwa majina au namba ili vibadilishwe na kutolewa vingine visivyo na changamoto hiyo.
Nilirudisha kitambulisho changu tangu mwezi...
HIFADHI YA BARABARA YA MOROGORO INAANGAMIZWA MBELE YA MACHO YETU
Je, serikali itaendelea kunyamaza hadi tutakapolazimika kulipa fidia tena?
Nianze kwa kurudia RAI yangu kuhusu upanuzi wa miundombinu ya barabara. Kwa mtazamo wangu, haikuwa sahihi kupanua Barabara ya Nyerere kwa kubaki na njia...
Habari. Mimi ni mfanyabiashara wa salon ya kike katika Manispaa ya Morogoro, salon yangu imefungwabkwa wiki tatu sasa na makufuri ya Manispaa kwa kosa la kutolipia leseni.
Nilienda ofisini kwao wiki iliyopita na nilipewa control number za malipo ya jumla ya 150,000 (Faini na leseni) lakini...
Anonymous
Thread
biashara
kulipa
manispaa
manispaa ya morogoromorogoro
wafanyabiashara
wiki
yako
Msimu huu ambao abiria ni wachache, ukifika Msamvu ukakuta basi la Ifakara wanakudaka chap wanakukatia tiketi. Baada ya hapo, utasubiri saa nyingi hadi basi lijae halafu mnapelekwa Mafiga mnabadilishiwa basi; hilo mlilokatiwa tiketi lilikuwa la kutafutia abiria la basi litakalofanya safari...
Anahitajika binti mwenye uwezo mkubwa wa kutumia simu na computer.
Ofisi yetu inafanya kazi 2 ambazo ni kutoa huduma ya internet Morogoro mjini na kukata tiketi za treni ya SGR.
Anahitajika mdada smart anayefahamu kutumia computer na simu vizuri, awe sharp na asiye na hasira za hapa na pale...
Kuna jambo ambalo sijalielewa kuhusu uendeshaji wa treni ya mwendokasi (SGR) kati ya Dar es Salaam na Morogoro.
Kwa kawaida, safari hii hutumia treni yenye behewa 14 (ordinary). Hata hivyo, kumekuwa na nyakati ambapo treni ya mchongoko yenye behewa 16 imekuwa ikitumika kwenye route hii. Sina...
Anonymous
Thread
dar es salaam
morogoro
sgr
treni
treni ya mchongoko
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.