afisa

Otiko Afisa Djaba (born 21 January 1962) is a Ghanaian politician. Her previous engagement was the National Women's Organizer for the New Patriotic Party. She was also the former minister for Gender, Children and Social Protection.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania NAFASI 5 ZA AFISA MAUZO

    Habari, Tafadhali Soma Tangazo la Nafasi za Kazi kama lilivyoambatishwa. Karibuni sana.
  2. naliwe

    JamiiForums Tanzania AFISA MIKOPO ANAITAJIKA:

    Vigezo I.Shahada au Stashahada ya fani zifutazo (A) Biashara (B) Uhasibu (C) Maendeleo ya jamii (D) Ualimu Mshahara 300,000 miezi 6 ya mwanzo
  3. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Hivi kati ya mfanyabiashara na afisa biashara nani ni boss

    Nauliza ili nitoe ujinga, kati ya mfanyabiashara na afisa biashara nani ni boss kwa mwingine?
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KSh100,000 Ili Kufuta KSh4.5M? EACC Yamnasa Afisa wa KRA Kisumu kwa Tuhuma za Hongo

    Afisa wa Kenya Revenue Authority (KRA), Hughes Obilo, amekamatwa Kisumu na Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) kwa madai ya kudai hongo ya Sh100,000 kutoka kwa kampuni ya ujenzi. Kwa mujibu wa taarifa za awali, fedha hizo zilidaiwa kuwa “facilitation” ili afisa huyo asaidie kuondoa tax...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Saed Kubenea ni afisa wa Tiss? Habari zake huwa ni kweli 100% zaidi ya Britannica

    Siku za nyuma aliwahi kuweka wazi juu jina, namba za simu na mahala anapoishi afisa wa Tiss aliyewahi kuhusika na kumteka Dk Ulimboka. Juzi kati alidokeza juu ya Dk Nchimbi kulazimishwa kustaafu akagoma. Kilichofuata ni Nchimbi kushikiwa bastola na kustaafu akiwa mafichoni.
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ofisi ya Afisa Elimu Jiji Dodoma haina utaratibu mzuri wa kusikiliza Wananchi wanaohitaji huduma za Afisa Elimu

    Ofisi ya Afisa Elimu Jiji Dodoma haiko na utaratibu mzuri wa kusikiliza Watu wanaohitaji huduma za Afisa Elimu. Nimekuwa nikifuatilia barua ya ruhusa wiki mbili sasa lakini kila nikienda nakutana na PS naambiwa mpaka boss awepo. Akija Afisa Elimu anakaa dakika tano ofisini kisha anatoka...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Madereva wa Halmashauri ya Mji Kondoa (TC), tunafanya kazi katika mazingira magumu

    Sisi ni madereva wa Halmashauri ya Mji Kondoa, na tungependa kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu changamoto tunazokutana nazo kazini, hususan kuhusu mwenendo wa Afisa Usafirishaji wetu. Unyanyasaji na madai ya kugawana posho: Afisa Usafirishaji amekuwa akitunyanyasa na kututendea isivyo haki...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kazi za Afisa Ardhi daraja la II zimetangazwa na degree ya Sheria imetajwa kama moja taaluma zinazohitajika lakini kwenye Ajira Portal huwezi omba

  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi haturidhishwi na utendaji wa Afisa Kilimo Wilaya ya Magu, Kata ya Lubugu

    Kuna Afisa Kilimo Wilaya ya Magu, Kata ya Lubugu haturidhiki na utendaji wake, ashafungua duka la kilimo na mifugo muda mwingi anautumia kukaa dukan kwake. Bidhaa anazotuuzia mara nying zile za ruzuku kwa mfano mbolea nyingi anatuuzia za ruzuku kwa bei ya juu na hata mbegu za mahindi ukikwangua...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto za mikopo ya asilimia 10 kutoka Halmashauri ya Nyamagana, Mwanza

    Sisi waombaji wa mikopo ya asilimia 10 kutoka Halmashauri ya Nyamagana tunakabiliwa na changamoto mbalimbali katika mchakato wa kupata na kutumia fedha hizo. Baada ya kupitia ukaguzi wa kamati tatu (kamati ya kata, kamati ya halmashauri na kamati ya wilaya) na kikundi kupitishwa, husaini...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa na Safari Leo, Nikashauriwa na Afisa wa Cheo Cha Juu wa Vyombo Vya Usalama, Nisisafiri

    Leo ilikuwa nisafiri kuelekea Dar, siwezi kutaja kutoka mkoa gani, maana nitakuwa namweka wazi aliyenishauri. Mkuu huyu wa vyombo vya ulinzi na usalama, ngazi ya mkoa, aliniambia kuwa siyo salama kusafiri leo. Nilimwuliza, mbona tumetangaziwa hali ni shwari, tuendelee na kazi za kawaida...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tahadhari: Mtu Anayejitambulisha Kama Afisa wa Ajira TAMISEMI anawatapeli wanaotafuta Ajira

    Mimi ni mmoja wa watu waliowahi kupigiwa simu na mtu anayejitambulisha kwa jina la Joseph Kichele, akidai anatokea Ofisi ya Ajira ya TAMISEMI jijini Dodoma. Kutokana na uzoefu wangu na taarifa nilizopata kutoka kwa wengine, naomba mamlaka husika zifuatilie suala hili kwa haraka ili kuwalinda...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Afisa mikopo kwenye Microfinance anatafuta kazi

    Habari wakuu namleta mdau hapa anasema yeye anaomba kazi kwenye Microfinance yoyote kama afisa mikopo au nafasi nyingine yoyote. SIFA ZAKE ELIMU KIDATO CHA NNE NA DIPLOMA YA MASOKO Ujuzi anajua vizuri kutumia Computer amewahi kujitolea sehemu kama Mhasibu miaka miwili (yaani kufanya kazi za...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna afisa wa wanyama pori anasema tembo wanatumia dawa ya kulevya. Hivi unajielewa kweli?

    Kuna clip inayosambaa mtandaoni na itakuwa inakipindi. Ukimsikiliza kiufupi unaona kabisa watu wanajipendekeza au kufurahisha kwa kumuona fulani sekta fulani imefanya vizuri. We ukitaka kujua nchi hii inawatu wabovu hata mtu akipata ajali anamshikuru raisi. Tuje kwa huyu afisa wa nyama...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Afisa Rasilimali Watu TANESCO – Manyara anatumia cheo chake vibaya, Mamlaka za juu zichunguze

    NAOMBA UFICHUE UOVU DHIDI YA BI. NISILE MWAKALINGA - AFISA RASILIMALI WATU, TANESCO MKOA WA MANYARA Mimi ni mtoa taarifa mwenye nia njema, naomba uchunguzi wa kina ufanyike dhidi ya Afisa Rasilimali Watu wa Mkoa wa Manyara, kwa madai yafuatayo: 1. Matumizi mabaya ya madaraka na kulipiza kisasi...
  16. PaulV

    JamiiForums Tanzania Afisa nyuki njoo Lindi tubadilishane nije Moro,singida,dodoma,mbeya,pwani,arusha,kilimanjaro,iringa,tabora,mwanza,geita,kagera,simiyu au mara fanya PM

    Wakuja Lindi kada Afisa nyuki tuwasiliane wakuu
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Sekou Toure yatoa tangazo la nafasi za kazi ya Mhudumu wa Mochwari na Afisa Tehama Msaidizi

    Pia soma: ~ Mtumishi anayetuhumia kulazimisha Wafiwa kununua majeneza kwake Hospitali ya Sekou Toure asimamishwa kazi ~ Uongozi wa SEKOU TOURE Hospital uchunguze, kuna Mtumishi analazimisha wanunue majeneza anayouza, wakikataa anagoma kuosha miili ~ RC Mtanda: Uchunguzi unafanyika tuhuma za...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Uokozi wa Afisa wa Silaha wa USA wa Ndege Iliyodunguliwa, Iran Yafanya Makosa Makubwa, na Kusababisha Vifo vya Raia

    Baada ya ndege ya Marekani F-15E kudunguliwa na Iran, na rubani na mtaalam wa silaha kutoka ndani ya ndege kabla haijadondoka chini, pande zote mbili, Iran na Marekani zilianza kuwasaka manusura. Ni Marekani ndiyo ilipata mafanikio ya awali yaliyowezesha kumwokoa rubani. Huku mtaalam wa silaha...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Afisa Maendeleo ya Jamii wa Pangani ni kikwazo cha kuinuka kwa vikundi vya 10%

    Sisi wanakikundi tuliomba mkopo wa Halmashauri na tukafanikiwa kukopeshwa shilingi milioni tano kwa ajili ya mradi wa mama lishe, tulifuata taratibu zote za kuhudhuria mafunzo, kusaini mikataba ya kurejesha fedha hizo baada ya fedha kuingizwa kwenye akaunti ya kikundi tumezuiwa kuitoa bila ya...
  20. B for Beatrice

    JamiiForums Tanzania Interview Afisa utamaduni

    Naomba msaada. Anayejua maswali yanayotoka kwenye usaili (Afisa utamaduni) anisaidie..
Back
Top Bottom