wazo la biashara

  1. Masokotz

    Jinsi ya Kupata Wazo la Biashara

    Habari za wakti huu; Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea vizuri katika jitihada zenu za kujenga taifa na kuifanya dunia kuwa salama na bora kwa kila mmoja wetu. Kama ilivyo ada,leo nataka kuleta mjadala chokonozi ambao unalenga zaidi kuchokoza fikra zako na kukusisimua.Mjadala Utahusu "Jinsi...
  2. P

    Naombeni wazo la Biashara

    Kwa mtaji wa 3mil naweza kupiga business gani hapa Dar es salaam? Hii 3M sijapewa na mtu. Ni Katika harakati zangu za kutafuta since 2022 hadi leo ndiyo niliweza kuweka Chochote ninachopata, mpaka imefika hiyo. Mimi nilikua na mawazo ma 2 La kwanza biashara ya mazao. Na la pili biashara ya...
  3. N

    Nina wazo hili la biashara, naombeni ushauri wa kuliboresha

    Habari, Nina wazo la biashara ila mtaji unazingua, nitaanza na nilichonacho. Kwa kuwa nimeishi Dar muda mrefu na nimejuwa mitaa na chocho za Dar, hakuna sehemu utanipoteza Dar. Basi nachofikiria kichwani mwangu, nafungua office mkoani kwakua mkoani kuna watu wanahitaji vitu mbalimbali ila...
  4. M

    Wazo la biashara mtaji kwa milioni 5 kwa Mwanza

    Hello wanajamvi Mimi nikijana wa miaka 23 nimetokea Songea baada ya kumaliza chuo mwaka huu nikaona bora nijiajiri Mimi mwenyewe kutokana na saving niliyopata kwenye boom Natatanguliza shukrani zangu kwa wakazi wa Mwanza. Naomba mnisaidie
  5. R

    Mwenye wazo la biashara Arusha kwa mtaji wa elfu hamsini (50,000) aje hapa

    Kama upo Arusha na una wazo la biashara kwa mtaji wa elfu hamsini (50,000) ila huna mtaji niandikie meseji inayoelezea wazo lako kisha tuma kwenda namba 0768174862. Nitatoa mitaji kwa mawazo nitakayoona yanatekelezeka na kwa masharti tutakayokubaliana. Karibuni.
  6. TUKANA UONE

    Nina wazo la Biashara ila sina mtaji

    Wakuu habarini za leo, natumai mko kamili gado. Ninalo wazo kubwa la biashara ambalo likitekelezeka hakika litanipatia ukwasi wa kutupwa na nitakuwa moja ya matajiri vijana kwenye hii nchi. Tatizo sina mtaji wa kutekeleza wazo lenyewe, nachokifanya kwa siku hizi chache nakwenda kulisajili kwa...
  7. KatetiMQ

    Bado unatafuta wazo la biashara ya kufanya?

    Ngoja nikushirikishe hizi pia. Ufanye biashara gani Kama una 100k, 500k au 1 M? Kwenye biashara kwanza zingatia vitu vitatu (3) A. Uhitaji wa bidhaa husika au tatizo ambalo lipo kwenye jamii/eneo unalotaka kufanya biashara. B. Ujuzi ambao unao. C. Kiasi Cha Mtaji ambacho unacho. Hivi vitu 3...
  8. T

    Wazo la biashara

    Habari wanajamvi Nina mtaji wa 2m naombeni wazo la biashara ambalo nitaweza kuwa naingiza senti kila siku Asanteni
  9. H

    Kijana mwenye wazo la Biashara la mtaji wa Mil 5-10

    Anatakiwa kijana mwenye wazo la Biashara linaloendana na taaluma yake ambapo ana hakika litaleta faida, anitafute ni muunganishe afanye hiyo Biashara mwenyewe; (faida watagawana kwa makubaliano) Biashara iwe halali na isiwe ya Kilevi na pia isiwe mikopo umiza
  10. Equation x

    Nawapa wazo la biashara litakalobadilisha maisha yako 2023

    Ulimwengu wa sasa ni waki-digitali; chochote unachokifanya, hakikisha kina sehemu kuu 3; - Biashara yenyewe Blog yake Youtube chanel yake Ikiwa na maana; kwenye biashara utapiga hela, youtube utapiga hela, na blog utapiga hela. Mfano:- We ni mkulima wa mboga mboga Anzisha youtube, kuhusu...
  11. J

    SoC02 Mambo muhimu ya kuyafahamu kabla ya kuomba wazo la biashara mtandaoni

    Nifanye biashara gani? Nipeni wazo la biashara, nina mtaji wa milioni mbili nifanye biashara gani? Naomba wazo la biashara, biashara gani inayolipa? Haya ni maswali ambayo watu wengi hasa vijana wamekuwa wakiuliza au kuomba ushauri kupitia mitandao ya kijamii. Kuomba wazo la biashara mtandaoni...
  12. Ibrason

    Wazo la biashara kwa laki tano(6)

    Jamani ndugu zangu wana JF, ninalo wazo kabambe la Biashara. Mazingira yote ya biashara nimeshajiridhisha nayo. Na wazo langu haliko na mambo mengi, lakini kila kitu kipo kwa uhakika. Nipo Dar es salaam Natafuta mtu tunayeweza kuingia naye ubia katika biashara hii itakayogharimu Tsh 500,000...
  13. Equation x

    Kuwa na wazo la biashara bila mtaji, ni sawa na ndoto

    Wapo watu wanajivunia kuwa na mawazo ya biashara ila hawana mitaji; ukiomba wakushirikishe wazo lao, wanakataa wakihisi unaweza kuchukua wazo lao na kulifanyia kazi. Unakuta miaka nenda rudi, mpaka anakuwa mzee bado yuko na wazo lake tu, na hataki kushirikisha watu ili lifanyiwe utekelezaji...
  14. S

    Nimepiga hela ndefu Betpawa nipeni wazo la biashara

    Habarini wapendwa, Namshukuru Mungu kwenye hii shughuli yetu ya kubeti nimebahatika kula million 5 naomba mnisaidie kunipa mawazo ya biashara niifanyie biashara gani ya kunipa faida chapchap mimi nipo Chato, Geita
  15. F

    Nina milioni 100 naombeni wazo la biashara

    Habari zenu ndugu zangu wana JF I hope wote mko salama kwa majina naitwa Fadhili. I think this might sound stupid kwa baadhi ya watu lakini point ni kwamba ninao mtaji wa shillingi million 100 lakini sijuwi ni business gani ambayo itakuwa na revenue nzuri. Najua kuna watu wengi ambao wana...
  16. Mparee2

    NSSF kusitisha huduma ya matibabu ya mwanachama kutoka Shirika binafsi baada ya kustaafu haiingii akilini

    Kwenye maadhimisho ya Mei Mosi nilisikia kitu cha ajabu sana kwenye risala ambacho naamini Muheshimiwa Rais hakukisikia vizuri kwani hakukitolea maoni yake. Hivi inaingia akilini eti mfanyakazi wa shirika binafsi (Private) aliyekuwa anachangia michango yake kikamilifu huko NHIF akistaafu...
  17. Masokotz

    Wazo La Biashara

    Habari za wakati huu wakuu; Leo nataka niwe BRIEF maana katika maoni ya wadau niliyopata ni kwamba nipunguze urefu wa maandiko yangu kwa sababu baadhi ya watu wana processing power ndogo na wakifika mwisho wa andiko wanakuwa wamesahau ujumbe wa msingi.SO nitakuwa BRIEF WAZO LINAHUSU NINI? Wazo...
  18. Rwaz

    Wazo la biashara kwa 100m

    Wadau wanaoamini katika ubia natafuta wazo la biashara na uwekezaji usiozid milion 100. Nina parameters zangu 1. Mwenye wazo awe shareholder wa biashara yenyewe hata kama hana mtaji wa pesa. Akili ni mtaji mkubwa 2. Biashara iwe ya uzalishaji wa product flani na sio biashara ya kununua na kuuza...
  19. 1ndazMaterial

    Wazo la biashara kwa Tsh. 3M

    Habari za muda huu wapendwa, hope mko poa kabisa. Guys nina 3m nawaza nifanye biashara gani tho professional yangu ni photography ila naona kama hii pesa 3M ni haitoshi kwa mtaji wa studio nadhan hii ni bei ya camera moja tu kali tena used. Basi nikawa nimewaza kufanya biashara ya nguo sema...
  20. ommytk

    Nina milioni 5 nataka ninunue IST niifanye Uber

    Hali kwasasa changamoto kidogo sasa nina kihela changu kama milioni 5 hivi sijui ninunue ist nifanye uber niendeshe mwenyewe sijui itanilipa
Back
Top Bottom