Dakawa mzani Basi la happy nation namba T 452 EDW limelala. Sababu ni mvua.
Kama ulikuwa unamsubiri ndugu yako pole sana.
Mtandao haushiki na mazingira ni mabaya.. Waruguru wametoa macho kama wanataka kuchomoa beteri🤣🤣
Tusubiri Polisi kwa habari zaidi.
Wakazi wa Morogoro, hasa tunaoishi maeneo ya Kihonda na Manyuki, tunakabiliwa na changamoto kubwa ya barabara, hususan kipindi cha mvua. Barabara ya Manyuki inayotokea Mazimbu imeharibika, na sehemu nyingi zilizofanyiwa makarabati zimeanza kuharibika tena.
Aidha, maeneo mengi ya barabara hiyo...
CHADEMA hii ambayo naiita chama cha kudandia kila jambo linalotokea duniani na Tanzania isahau kuingia Ikulu, labda Mungu aamue kubadili mfumo wake wa Dunia ambao kwa malaki ya miaka haujabalika.
Dodoma ipite bahari, Morogoro ipite bahari au iwepo bahari ndipo CHADEMA huenda wakaingia Ikulu...
Tanzania hii hasa Tanganyika hali ni tete kwa sasa nipo Morogoro, nashuhudia mashindan ya kupandisha nauli kwa vyombo vya usafirishaji huku wakida EWURA imepandisha bei ya mafuta, wapo waliopandisha hadi mara mbili ya bei ya zamani.
Wapo ambao walikuwa wanabeba abiria kwa 500 leo ni 1000 kwa...
Na Mwandishi Wetu
Morogoro — Wakati magonjwa yasiyoambukiza yakizidi kuwa tishio kwa afya ya jamii nchini, Vodacom Tanzania Foundation imeanzisha kambi maalum ya matibabu bure kwa wakazi wa Morogoro ili kuongeza upatikanaji wa huduma za uchunguzi wa afya pamoja na elimu ya kujikinga na magonjwa...
Maafisa wa Manispaa Morogoro wanatukamata Bajaj kisha wanataka faini laki moja au utoe Rushwa 50,000
Sisi madereva na wamiliki wa Bajaj Morogoro tumechoshwa na usumbufu wa makundi ya watu wa manispaa. Wanakamata Bajaj bila mipangilio wakidai kuna makosa mbalimbali na faini inaanzia shilingi...
Anonymous
Thread
bajaj
faini
laki moja
maafisa
manispaa
moja
morogoro
rushwa
wanataka
Mimi ni Mkazi wa Mkoa wa Morogoro, Halmashauri ya Mlimba, Tarafa ya Mlimba. Kero yangu kubwa ni suala la Kupata Nguzo ya Umeme, ukienda Ofisi za TANESCO ili upate Huduma ya Nguzo ya Umeme unaambiwa Nguzo Moja ni zaid ya Shilingi 580,000/=.
Je, hii ni haki Mwananchi kulipia nguzo moja ya umeme...
Anonymous
Thread
haki
hii
mlimba
moja
morogoro
nguzo
umeme
wananchi
Vyama vya Siasa 18 vyenye usajili wa kudumu vimeshiriki mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa ulioandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na kufanyika mjini Morogoro, huku CHADEMA ikiwa haijashiriki mkutano huo.
Akizungumzia mkutano huo leo Februari 11, Msajili Msaidizi wa Vyama vya...
Wakazi wa Kata ya Chanzulu, Wilaya ya Kilosa, wamekiomba Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro kuingilia kati migogoro ya ardhi inayoendelea katika eneo hilo ili kupatikana suluhisho la kudumu.
Ombi hilo limetolewa katika mkutano wa hadhara wa kusikiliza kero za wananchi, ulioandaliwa na...
Ili kuhakikisha elimu bure kwa shule za serikali, serikali hutoa fedha ili kuhakikisha jambo hilo linafanikiwa. Kwa data za TAMISEMI, shule ya Msingi Matambwe iliyoko Wilaya ya Morogoro, tarafa ya Kisaki, ilipokea Tsh 56,787 kwa mwaka wa fedha 2024/25. Shule hii ina jumla ya wanafunzi 18 kuanzia...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akisafiri kwa Treni ya reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) kutoka Dar es Salaam kuelekea Morogoro ambapo atamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa mwaka wa viongozi wa TAKUKURU, unaofanyika leo Januari 26, 2026.
Nina mwaka wa nne kwenye huu mkoa sasa. Tangu nifike hapa kwa mara ya kwanza nilikuwa mtembezi sana, ili kufahamu maeneo, uchumi, na tabia za wenyeji wa huu mkoa.
Niligundua mambo yafuatayo:
1. Wenyeji ni watu wasio na makuu na waungwana (kama tu tabia za Wazaramo na makabila ya Pwani), ni...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amekemea tabia ya baadhi ya wananchi wa Manispaa ya Morogoro kutupa takataka katika barabara za Muhimbili, Tubuyu II, Mjimwema, Barakuda na Kihonda-VETA zenye urefu wa Kilomita...
Dar es Salaam na Pwani mvua hainyeshi kama tulivyoaminishwa na TMA. Ila ata ikinyesha uwa haina msaada sana kwenye kuongeza maji kwaajili ya “intake” za DAWASA walizozitega Ruvu juu na chini.
Mvua za Morogoro ndio mkombozi wetu. Milima ya Uluguru ndio kimbilio letu. Sasa naomba kuuliza, huko...
Nimeomba nafasi mwanafunzi ahamie shule ya Sekondari Mkundi Mlimani, Morogoro Manispaa ila nje ya michango mingine nimeambiwa nitoe laki moja kama "Mchango wa meza na kiti" kwakuwa Mkuu hapokei mwanafunzi ambaye anakaa chini.
Sasa, je hicho kiti na meza akimaliza kidato cha nne anaondoka nacho...
Hajambo wote!
1. Bado Niko Morogoro hapa kama nilivyowaambia.
2. Mwezi wa kumi na moja na kumi na mbili nilibahatika kutembelea Mkoa wa Arusha, Moshi Mjini, Babati mjini, Korogwe Mjini, Dodoma Mjini, Kahama Mjini, na Sasa nipo zangu hapa Morogoro.
3. Aiseeh! What goes on here?
4. Dec 31...
Kwa research waliyoifanya June mwaka 2025, wamesema 36% yamagari yanayotumia iko kipande ni maroli ya mizigo.
Pia, wastani wa magari elfu 29 yanapita kila siku hii njia, na kati yake 9,700+ ni maroli ambayo ni karibia 36%.
Hayo yote yamesemwa na TANROADS Coast Regional Manager, Engineer...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.