waziri wa nishati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tunisia amfuta kazi Waziri wa Nishati

    Rais wa Tunisia, Kais Saied, amemfuta kazi Waziri wa Nishati, Fatma Thabet, leoJumanne ya Aprili 28, 2026. Hatua hii imekuja huku kukiwa na mzozo mkubwa kuhusu miradi ya nishati mbadala inayotarajiwa kupigiwa kura bungeni. Rais Saied amemteua Waziri wa Nyumba na Miundombinu, Salah Eddine...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Kuhusu sakata la mafuta, Waziri wa Nishati na timu yako fuatilieni msiishie kusema tu kwenye vyombo vya habari

    Kufuatia vita vinavyo endelea, nimemsikia waziri wa Nishati Deo Ndejembi akiwahakikishia watanzania kuwa hakutokuwa na uhaba wa mafuta. Hilo ni jambo jema kusikia hivyo, ila viongozi wetu mmekuwa wasemqji wazuri lakini ufuatiliaji umekuwa butu. Tunamuomba Waziri na timu yake wafuatilie kwa...
  3. USSR

    JamiiForums Tanzania TANESCO na waziri Ndejembi hii sahihi mwaka unaisha na umeme mkubwa juu ya paa la nyumba ya mjane huyu

    [Jina lako kamili] [Anuani yako kamili – mtaa, kijiji/kata, wilaya] Simu: [Namba yako ya simu] Barua Pepe: [Ikiwa unayo] Tarehe: [Andika tarehe ya leo, mfano: 28 Julai 2025] Kwa: Meneja wa TANESCO Mkoa wa Pwani Nakala: Meneja wa TANESCO Wilaya ya Kibaha S.L.P [Weka anwani yao kama unayo]...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati ieleze nchi kwanini tuko gizani? Huku Arusha tulilala gizani

    Bosi mtajwa hapo juu utueleze umeme una shida gani, jana kuanzia saa 11 jioni huku Arusha umeme ulikatika na haukurudi mpaka tunaenda kulala. Asubuhi tuliukuta bila kujua ulirudi saa ngapi. Leo tena umekatika kuanzia mida ya saa 5 asubuhi mpaka sahizi haujarudi. Kuna tatizo gani tuelezwe maana...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Naombeni tukumbushane kuna waziri wa nishati alitoa maelezo Tanesco kusambaza nyaya nchini ya ardhi sio misitimu.

    Tanesco wanaproject nyingi kama za kununua umeme ethiopia na mengine. Kuna project ilitokaga na waziri fulani sikumbuki alikazia kuwa dar umeme usambazwe chini ya ardhi. Sasa ni kawa na waza hivi yale mafuriko ya dar,mabomba ya maji yana pasuka ovyo. Kwa mvua hizi DAR mngechezea shoti za...
  6. Kamakabuzi

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati Toa kibanzi kabla ya kuona Boriti

    Mr. Naibu waziri mkuu na Waziri wa nishati, safisha shirika lako la tanesco. Hamna mtaalamu wa IT? Ebu tafuta deni la kodi ya Jengo uone majibu yake kwenye website ya shirika: https://www.tanesco.co.tz/customer-services/property-tax
  7. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Hatimaye TANESCO wazindua namba mpya 180 ya huduma kwa wateja ya bure

    Katika kuhakikisha TANESCO unahudumia wateja wake kwa haraka na kwa ufasaha, wamezindua namba mpya 180 ya kupiga bure masaa 24. Havi karibu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko alieleza kutoridhishwa kwake na Kituo cha Huduma kwa wateja cha Shirika la Umeme Tanzania...
  8. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania KERO: Mwananchi Chanika amawangukia Waziri wa Nishati baada ya TANESCO kushindwa.kumuunganishia umeme zaidi ya miez 6 ya kulipa gharama zote 1.9M.

    NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA. MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa tano Mwaka Jana 2024. ACCOUNT NO.0150043011126 Niliipia kupitia control Number ya TANESCO, nguzo...
  9. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania KERO: Mwanachi Chanika amawangukia waziri wa nishati Baada ya TANESCO kushindwa kumuunganishia umeme licha ya kulipa gharama zote 1.9M zaidi ya miezi.

    Hi Great Thinkers. NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA. MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa tano Mwaka Jana 2024. ACCOUNT NO.0150043011126 Niliipia kupitia control Number ya...
  10. El marabiosh

    JamiiForums Tanzania Baada ya wiki mbili utaskia waziri wa nishati

    itaendelea wiki ijayo...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu Mhe. Doto Biteko amempongeza Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge -Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi kwa mamaono ya kujenga Kanisa

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amempongeza Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge -Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi kwa maono ya kujenga Kanisa Kuu la Jimbo Katoliki la Rulenge - Ngara mkoani Kagera. “ Nakupongeza Baba Askofu kwa kuwa na maono makubwa ya kujenga...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga: Kiasi cha umeme kimeongezeka katika gridi ya Taifa

    Mbona kama tunaendelea kupangwa sana tofauti na uhalisia. Ukiangalia umeme bado katika baadhi ya maeneo mengi sana umeme umekuwa wakukatika sana. Mfano mimi ninapokaa umeme siku mbili mfululizo unakatika asubhi unarudi jioni kama jana umekatika zaidi ya mara 4 ====================== Naibu...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na baadaye kutenguliwa akiwa waziri wa mambo ya nje ya nchi kupumzika siasa 2025, kujipanga na uongozi wa juu 2030

    "Ni uamuzi mgumu sana kisiasa, lakini ni wa kimkakati zaidi" Mnyetishaji alidokeza bila kufafanua zaidi kipindi hicho cha mapumziko nini kitakua kinaendelea 🐒 Je, kwa mustakabali wa siasa za Tanzania, unadhani huu ni uamuzi muafaka na sahihi kwa mwanasiasa huyo?
  14. D

    JamiiForums Tanzania KERO Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati hii katika katika ya umeme wilaya ya Arumeru mkoani Arusha ni ya nini?

    Huku wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha kuna tatizo kubwa sana la umeme, kwa siku umeme unaweza kukatika hata mara 10 au zaidi. Tatizo ni nini? Nchi sasa hivi haina shida ya umeme, kuna nini huku Arumeru. Mhe. Naibu Waziri Mkuu tunaomba wasaidie wananchi wako. Hii ni hujuma dhidi ya serikali ya...
  15. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Pamoja na January Makamba kutumbuliwa. Takukuru wampeleke Mahakamani na Maharage Chande kwa mkataba feki na Mahindra Tech akiwa Waziri wa Nishati

    Kwa akili gani ya kawaida unaweza kukubali kuwa Mahindra Tech walilipwa bilioni 80+ eti kuboresha ufanisi wa Tanesco? Ufanisi wenyewe eti kuboresha softwares na huduma za kidigital za Tanesco ili kuboresha miundo mbinu. Lakini hakuna kilichofanyika zaidi ya bil 80 plus kuliwa na Makamba...
  16. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Judith Kapinga amegawa mitungi ya gasi 1500 kwa wakazi wa Kijiji cha Msomela Wilayani Handeni mkoani Tanga

    Na Mwandishi Wetu, Tanga. NAIBU Waziri wa Nishati Judith Kapinga amegawa mituni ya gasi 1500 kwa wakazi wa Kijiji cha Msomela Handeni Wilayani Handeni mkoani Tanga iliyotolewa na Kampuni ya Taifa Gas. Kutolewa kwa mitungi hiyo kwa wakazi hayo inalenga kuunga mkono kampeni ya Rais wa Jamhuri ya...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa 13 wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Mgeni Rasmi ni Dotto Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati

    Wanabodi, Karibuni,
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Nishati: Wananchi na Wabunge tembeleeni Maonesho ya Wiki ya Nishati kwenye Viwanja vya Bunge, Dodoma

    Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ametoa wito kwa wananchi na Wabunge nchini kutembelea Maonesho ya Wiki ya Nishati yanayoendelea katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma ili kufahamu masuala mbalimbali ikiwemo utekelezaji wa miradi mbalimbali chini ya Serikali ya Awamu ya Sita. Naibu...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Nishati: Mgawo wa umeme nchini utaisha mwezi wa tatu

    Mradi wa umeme wa Julius Nyerere ni moja ya mradi unaotekelezeka kwa weledi mkubwa sana, sote tunajua mwezi wa sita mwaka huu ndiyo tulitegemea kuwasha mtambio namba 9 kwa mara ya kwanza lakini kwa jitihada za serikali na wakandarasi tuliweza kusogeza ratiba za kuwasha mtambo huu hadi mwezi wa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Rais akielekeza vyombo vya dola umeme usikatike hautakatika kizembe; naamini wanahitaji maelekezo tu wakamate walanguzi

    Hii nchi miaka mingi wizara ya Nishati imekuwa ikihujumiwa pale anapoteuliwa Waziri mwenye malengo ya madaraka ya juu zaidi ya uwaziri. January hakupenda kuondolewa kwenye nafasi ile kwa sababu aliondoka akiwa amefeli . Doto amepewa hii nafasi na imemfanya aonekane kama Waziri asiye na mikakati...
Back
Top Bottom