MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,966
MASWALI MAGUMU KWA TANESCO NA SERIKALI YA CCM.
1.Miaka 5 ya Magufuli umeme haukukatika hovyo hovyo kama sasa, hayati alitoa wapi umeme?
2.Hivi TANESCO na CCM hamkujua ya kwamba mpaka kufikia 2024 population ya Tanzani itakua watu milion 62 na matumizi ya umeme yataongezeka? Long term plans zenu ziko wapi? Hakuna wasomi?
3.Wajumbe wa kamati ya miundombinu ya bunge wanalalamika kwenye Bwawa la Mtera hakuna maji pamoja na mafuriko ya mvua za sasa, nje ya mtera Mabwawa yamejaa maji watu mpaka watu wanalima mpunga, kwanini maji hayaingii bwawa la Mtera?
Ukilitazama tatizo la umeme nchini unaona ni la makusudi na la kutengenezwa na walafi wachache nchini. Kwani hata huo umeme wa maji wa bwawa la Mwalimu Nyerere JNHP sioni kama utaleta ufanisi hata kwa 50% kwa sababu kama tumeshindwa kusimamia vyanzo vidogo vya kuzalisha umeme unafikiri hiki chanzo kikuu kitawezekana?
Kama watu wachache hawataki umeme uwake kwa sasa na wananufaika na mgao huu, unafikiri watakubali JNHP izalishe umeme? Naibu Waziri mkuu Doto Biteko anesema haijulikani Mgao wa umeme utaisha lini, huu ndio ukweli na yeye amesema ukweli.
Kiukweli kabisa toka moyoni CCM kimeshindwa kutatua matatizo ya nchi hii, kulazimisha kusalia madarakani ni kuumiz raia bila sababu. Kama wameshindwa kumaliza tatizo la imeme zaidi ya miaka 60 ya Uhuru madarakani wanasalia kufanya nini? Wanasalia madarakani kujipamgia na kujigawia Posho tu hawana kazi.