inatisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Brother Depo

    Marekani Wanafanya Mashambulizi Makubwa ya Maangamizi Ndani ya Iran Muda Huu. Hali Inatisha Sana

    Mapema Leo Trump alisema usiku huu watafanya mashambulizi Makubwa ndani ya Iran. Kweli bwana muda huu Kuna mashambulizi Makubwa ya Maangamizi yanafanyika ndani ya Iran😭 Marekani wanapiga Kila upande, makombora Makubwa Makubwa ya tomahawk yanashushwa huko Iran. Hali ni mbaya sana. Je Ghalibaf na...
  2. Crocodiletooth

    Hali halisi ya umeme ilivyo Nigeria inatisha sana,by #shany!

    #Shany ni mtanzania anayeishi nigeria kwa miaka mingi kidogo,anatunyetisha hali ilivyo na uhalisia wake!, #Wale wa upande wapi wajionee na wajiulize,jinsi serekali yetu tukufu inavyo wapenda watanzania kwa kila sekta,japo kwa umahamuma wao hupuuza na kujiona wao ndiyo wana akili nzuri na wapo...
  3. zee_latown

    Nilitembelea Buguruni Kimboka weekend. Hali inatisha

    Habari za weekend ndugu wadau wa JF wa thamani sana! Mimi katika balehe yangu na kukua kwangu nimesikia mengi mno kuhusiana na hili suala la dadapoa wanaojiuza maeneo mbali mbali hapa jijini Dar es Salaam. Wakati huo wote nilikuwa mbishi mno kwa sababu sikujua upande wa pili wa hili jiji la...
  4. The Burning Spear

    Hii CHADEMA Kiboko inatisha itawatoa Mapafu CCM

    Guys Chadema ilitisha sana kahama pamoja na.mizengwe ya CCM 1. NMB Wakagawa mitungi ya gas bure waaapi. 2. Leseni bure kwa boda boda waapi 3. Asili festival wapiii Watu walikataa yote hayo wakachagua Chadema.
  5. Kichuguu

    Simba hii ya Baker Inatisha: Yanga tujiandae kisaikolojia

    Simba hii ya Baker inainyesha kutisha kweli kweli; Yanga tujiandae kisaikolojia, Yanga hii tumekuwa butu sana kwenye kushambulia goli la mpinzani na vile vile tumekuwa lege lege sana kwenye kilinda goli let. Simba inaonekana kuwa imara sana kulinda goli lao na vile vile wana makali ya...
  6. Financial Analyst

    Leo nilipata off kazini na nikawa napiga stori na dereva boda. Akanisimulia jinsi UKIMWI unatembea kimya kimya ila kwa kasi kwenye mji wetu. Inatisha!

    Watu wanaumia aisee jamaa katoka machimboni, karudi anapewa story kuwa mke wake alikuwa anaruka ruka nje, break ya kwanza ni kwenda kupima kwa lazima, imebidi jamaa amkimbie waifu kimya maana wife ana umeme na amemuachia chumba na vyombo vyote. Mzee hapa mtaani ana wake watatu, alivyojigundua...
  7. Mad Max

    Road trip update: Dar - Mtwara - Dar | Hali ya Barabara inatisha | Ila nimetumia mafuta ya Tsh 150,000/= tu!

    Basi wakuu nikaenda Mtwara kutokea Dar na kurudi Dar. Trip ilikua ni kupunguza stress za huu mji, na haikua direct, nilienda kwa vituo vitatu jumla, na nilitumia Fit Hybrid. Safari ilianzia Mlimani City Puma pale, nikaweka wese la 100k nikachomoka. Kwasababu ya mvua, AC almost ilikua off na...
  8. Carlos The Jackal

    Video: Kilichotokea Mwanyamala, pia kilitokea Mount Meru Hospitali. Waliouwawa ni wengi

    Anaandika Mange Kimambi kupitia ukurasa wake wa X: "Hii ni Mortuary ya Mt, Meru hospital. Hii picha imepigwa Tarehe 30 Oktoba"
  9. A

    Iran Inatisha Mpeni Pole Israel

    Iran wamekuja na technology mpya ya Missiles hukioni kichwa we utaishia kudaka target sio orignal hio hio Missile moja inaonyesha kama ina vichwa vingi hivyo Air defense zitakuwa zinafata hizo fake target kumbe kichwa orignal kina kwenda kwenye target...
  10. fimboyaukwaju

    Azam inatisha

    Huu usajili wa azam msimu ujao unatisha.Wadau mnasemaje?
  11. S

    Rushwa aliitoa mbunge wa jimbo la Mbulu Mjini aliyemaliza muda wake Zakaria Isaay inatisha; wakati TAKUKURU wapo, vyombo vingine vipo; nchi imetekwa!

    Katika kura za maoni za CCM zilizopigwa hivi punde kama unataka kujua maana ya upatikanaji wa uongozi kwa njia ya rushwa nenda Mbulu, mkoa wa Manyara. Mbunge wa jimbo Mbulu mjini Zakaria Isaay rushwa alizotoa kuongoza kura za maoni inatisha. Mwenyekiti wa kitongoji moja alipewa mpaka Sh. Milioni...
  12. Komeo Lachuma

    Jamii ya Druze inavyofutwa huko Syria. Hali inatisha sana

    Allah Akbar...! Alisikika mwanajeshi mmoja baada ya kumuua Mdruze huyu. Wadruze wamejikuta wakilengwa au kuingia kwenye migogoro nchini Syria kutokana na sababu za kisiasa, kijamii na kidini, lakini sio tu kwa sababu ya imani yao ya kipekee. Sababu kuu ni hizi: 1. Mgogoro wa Syria (2011 hadi...
  13. Mto wa mbu

    Hali inatisha notes za fedha zinapigwa chata ya No reform no election

    Hii ni Nini jamani, au ndo civil disobedience, na vijana Sahivi wameapa kuzipiga chata notes za TSH chapa ya no reform no election.
  14. S

    Ole ole ole anayedhulumu na kunywa damu, endelea kunywa na kusaza, ghadhabu ya aliye juu inatisha na kuogofya

    Hakika amejiangamiza kwa mikono yake, maana ghadhabu ya aliye juu, italamba ukoo na kizazi hadi kizazi, hawataona ile amani, zaidi ya hofu na maombolezo, asema BWANA, mwenye sikio asikiye, mwenye macho aone.
  15. Komeo Lachuma

    Inatisha sana huyu manyara ni nani?mpaka vijana wanashindana humu JF

    Sisi wengine tumezaliwa na kukulia Dar lakini nadhani tuna ushamba mwingi sana. Mimi namsikia sikia manyara sijui manara kwa vijana wanafahamu hadi anavaa nguo gani ya ndani. Na wanabishana sana. Yaani hasa madogo ambao walikulia mbwinde wakaja mjini basi wao wanachofanya humu JF ni kuonesha...
  16. Tajiri wa kinyankole

    Jimbo la mhambwe ni aibu kwa mbunge wa jimbo hilo barabara inayounganisha mkoa kutoka kibondo mjini ni chakavu na inatisha.

    Mbunge wa jimbo la mhambwe wilaya ya kibondo mkoa wa kigoma alichofanya nikugawa pikipiki za samia 2025 ameshindwa kutetea jimbo lake akiwa bungeni barabara hazipitiki za wapiga kura hata ameshindwa kuishauli serikali kujenga soko la kisasa kwa ajiri ya wajasiriamali. Utakuwa ni aibu kubwa kama...
  17. M

    Hii chartGPT inatisha sana wakuu ni Next level

    Yani wazungu bana hii chatGPT wametuweza sana, hata hivyo wakuu, hii kitu isifananishwe na Ile takataka ya wachina kabisa. Chatgpt ni next level . 🤣🤣🤣.
  18. Mr Why

    Mitambo ya kuzuia vurugu za uchaguzi wa Rais mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya

    Mitambo ya kuzuia ghasia za uchaguzi wa raisi mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya Vyama pinzani mkiwemo CHADEMA na vinginevyo nendeni pole pole ndugu zangu kwasababu mitambo ya kupambana na vurugu iliyomwagwa Jeshi la Polisi ni...
  19. Waufukweni

    Idadi ya ndoa zinazovunjika kwa mwezi Dar es Salaam inatisha: Utafiti waonesha 300, Kila Siku 10

    Wakuu Daniel Marandu, Mhadhiri Msaidizi katika Idara ya Saikolojia ya Elimu, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akizungumza kwenye Kongamano la Mahusiano ya DADAZ kipindi cha EATV linalofanyika leo, Mbezi Garden Hotel amesema utafiti wa mwaka juzi unaeleza kuwa Dar es Salaam kwa mwezi zilikuwa...
  20. M

    DOKEZO Responded Hali ya vyoo Hospitali ya Sokoine, Manispaa ya Singida inatisha, viboreshwe

    Kituo cha Afya cha Sokoine ambacho wenyeji wa huku tumezoea kukiita Hospitali ya Sokoine, kilichopo katika Manispaa ya Singida ni taasisi kongwe Mkoani hapa Kwa ukongwe wake Hospitali hiyo ilitakiwa iwe na mazingira mazuri haswaa, kuzingatia afya na usalama wa wagonjwa /wauguzaji pamoja na...
Back
Top Bottom