Latvian Human Rights Committee (Latvian: Latvijas Cilvēktiesību komiteja, Russian: Латвийский комитет по правам человека) is a human rights non-governmental organization in Latvia. It is member of international human rights and anti-racism NGOs FIDH, AEDH. Co-chairpersons of LHRC are Vladimirs Buzajevs and Natalija Jolkina. According to the authors of the study "Ethnopolitics in Latvia", former CBSS Commissioner on Democratic Institutions and Human Rights Ole Espersen "had visited LHRC various times and had used mostly the data of that organisation in his views on Latvia".
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinaendelea kufuatilia taarifa kutoka maeneo mbalimbali nchini kuhusu changamoto za upatikanaji wa huduma ya maji. Taarifa zinazoendelea kuripotiwa zinaonesha kuwa wananchi wengi bado wanakabiliwa na uhaba wa maji safi na salama pamoja na huduma zisizo...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imekuwa ikipokea na kufuatilia taarifa za ukiukwaji wa haki za binadamu zinazohusisha kushikiliwa kwa wananchi kwa muda mrefu bila dhamana au kufikishwa mahakamani katika maeneo mbalimbali nchini.
Mkoani Shinyanga, zaidi ya Wananchi 200 kutoka Kata ya...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimepokea taarifa kuhusu zoezi la kuwaondoa wananchi kwa nguvu na kinyume cha sheria katika Kitongoji cha Luhafwe, Kijiji cha Vikonge, Kata ya Tongwe, Wilaya ya Tanganyika, Mkoa wa Katavi. Zoezi hilo linadaiwa kutekelezwa kwa amri na chini ya usimamizi...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imeripoti kuwa imekua ikipokea na kufuatilia taarifa za ukiukwaji wa haki za binadamu zinazohusisha kushikiliwa kwa wananchi kwa muda mrefu bila dhamana au kufikishwa mahakamani katika maeneo mbalimbali nchini.
Imeripoti kwamba mkoani Shinyanga, zaidi...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinapokea kwa mikono miwili uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania uliotamka kuwa Kanuni ya 8 ya Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (Maudhui ya Mtandaoni) za Mwaka 2020 ni batili na inakiuka Katiba. Kanuni hii imebainika kuminya haki ya msingi...
The Legal and Human Rights Centre (LHRC) has called upon the government of Tanzania and responsible authorities to fully implement the decision of the High Court of Tanzania declaring Regulation 8 of the Electronic and Postal Communications (Online Content) Regulations, 2020 unconstitutional for...
Wakati matukio ya miili kuokotwa yakizidi kuokotwa ndani ya mwaka huu, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetaka ufanyike uchunguzi wa kimahakama kubaini vyanzo vya baadhi ya vifo hivyo.
Miili hiyo imekuwa ikiokotwa kwenye mito, fukwe, barabarani na maeneo ya wazi katika mikoa...
Tanzania imeshuka katika viwango vya uhuru wa habari kwa mwaka 2025, hali ambayo imeelezwa kuwa inatokana na matukio mbalimbali yaliyojitokeza kabla, wakati na baada ya uchaguzi mkuu.
Akizungumza jijini Arusha katika kongamano la waandishi wa habari kuelekea maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa...
Dar es Salaam. Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa ripoti ya Haki za Binadamu ya mwaka 2025 kikiyataja mauaji ya Oktoba 29, 2025 kuwa kipindi cha giza katika ulinzi wa haki za binadamu Tanzania.
Mauaji hayo yalifanyika baada ya maandamano kuzuka katika mikoa mbalimbali nchini...
Serikali imetoa ufafanuzi kwa umma kufuatia taarifa iliyoelezwa kuwa potofu iliyotolewa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kuhusu uteuzi wa Mbunge uliofanywa na Rais Samia Aprili 2, 2026 chini ya Ibara ya 66(1)(e) ya Katiba.
Katika ufafanuzi huo, Serikali imeeleza kuwa ni kweli...
Siku chache baada ya taarifa ya Tume ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kuongezewa muda kwa mara ya pili, baadhi ya wadau wa masuala ya utawala bora na haki za binadamu, wakiongozwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Twaweza...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeitaka Serikali itoe maelezo ya kina kufuatia uteuzi wa Bi. Angela Kizigha kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kikidai kuwa uteuzi huo unakinzana na sheria za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Kwa Nini Kuna Tatizo?
LHRC inaeleza...
Leo tarehe 12 Machi 2026, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), sanjali na wadau wengine wa masuala ya haki za binadamu wamekutana na mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Parfait Onanga Anyanga katika ofisi za Umoja wa Mataifa zilizopo jijini Dar es Salaam.
Ndugu Parfait...
LHRC yalaani vikali hatua ya Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) kutoa onyo kwa waandishi wa habari kutokana na maudhui ya kipindi cha televisheni. Hatua hii inakiuka uamuzi wa Mahakama ya Afrika Mashariki na ni jaribio la kukandamiza uhuru wa vyombo vya habari nchini. Uhuru wa habari...
matumizi mabaya ya mamlaka hasa zinapohusishwa tuhuma za kijinai na kinyume chake Jeshi la Polisi litekeleze wajibu wake wa kikatiba. Pia katika mchakato wa uuzaji au ununuzi wa ardhi vyombo vilivyopewa mamlaka chini ya Sheria ya Ardhi viachiwe jukumu hilo.
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu...
https://www.youtube.com/live/wr4EWHjPnuE?si=71vzeEzsoV41J8sS
Akitoa taarifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini, Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Fulgence Massawe, amesema kuwa kumekuwa na ongezeko la matumizi mabaya ya madaraka kwa baadhi ya viongozi...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeunga mkono na kufungua kesi ya kikatiba katika Mahakama Kuu ya Tanzania (Kanda Kuu Dodoma) kupinga uhalali wa matumizi ya adhabu ya viboko shuleni. Kesi hii imewasilishwa kwa niaba ya Samwel Maduhu Mangu, mlezi wa marehemu Mhoja Wilson Maduhu...
Wafanyakazi na wadau wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) waliovamiwa usiku wa jana katika Hoteli ya Whitesands wameeleza hali halisi ya tukio hilo kuanzia lilipotokea hadi leo waliporipoti katika Kituo Kikuu cha Polisi cha Dar es Salaam, ofisi ya ZCO, kama walivyoelekezwa kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.