Kama tukiendelea kuamini kwamba huu mgawo wa umeme ni halali basi tutakuwa ni wajinga sana

Magufuli 05

JF-Expert Member
May 7, 2023
943
1,988
Nisikuchoshe

Ni Dunia ipi au nchi Gani umewahi kusikia matengenezo ya umeme ya muda mrefu kiasi hiki?

Ni wapi umewahi kuona umeme unawaka kila dakika Tano unazima? Kwanini mgawo huu ni mkali kiasi hiki? Kwanini bwawa halikamiliki kwa wakati?

Sikuwahi kufikiri kwamba waziri wa nishati ni kilaza kiasi kile. Yaani anapewa taarifa kwamba moja kati ya changamoto za mgawo ni transformer kuibiwa, ambapo transformer takribani 89 zimeibiwa Dar na pwani.

Je, ni mwananchi yupi anayeweza kuiba transformer wakati umeme una flow. Na kama umekatika,je anajua utarejea saa ngapi ili yeye awe salama?

Je kama wanaiba wananchi wanakwenda kuziuza wapi ili Hali tanesco ni Monopoly company ya kuzalisha na kusambaza umeme Tanzania?

Je,waziri ameshindwa kujua kwamba kama zinaibiwa ni inside job. Yaani mchezo unachezwa na Tanesco wenyewe? Waziri anakwenda kuongea kwenye bunge nyumba takatifu kwamba transformer zinaibiwa ndiyo kuna mgawo bila hata aibu masikini.

Amepachikwa vyeo vingi, anakula Kodi za Watanzania, Watanzania wanamsafirisha,wanamlisha,wanamhudumia mawasiliano,wanamhudumia familia,wanamtibu na kumnunulia nguo lakini anakuja kuwaletea michezo na kejeli hizi.

Hii nchi Ina Rais kweli? Anamtumikia nani? Anasubiri Nini kuachia ngazi.? Je atagombea Tena kuwatesa wananchi.?
Wananchi wamefunga biashara kisa umeme haupo.

Kuna mchezo unachezwa. Hali ya umeme ni mbaya mbaya mbaya mbaya mbaya zaidi.

Mimi nitaomba kwa mungu daima ili Rais huyu astaafishwe kwa lazima na mwenyezi mungu ili taifa lipate Rais mwingine mwenye uwezo,akili kamili na mzalendo kwa wananchi na Tanzania.

" Na Mimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"
 
Mgao wa.mchongo huu Tanesco ili libinafsishwe na kusiwe na.kelele kama za DP world inabidi lionekane limeshindwa kazi halafu wahuni wanaunda.offshore company dubai inakuja kuwekeza bila.mtaji
 
Moshi mvua zimenyesha sanaa,bwawa la nyumba ya Mungu limejaa., ila mgao ni kama kawa!
 
Nisikuchoshe
Ni Dunia ipi au nchi Gani umewahi kusikia matengenezo ya umeme ya muda mrefu kiasi hiki? Ni wapi umewahi kuona umeme unawaka kila dakika Tano unazima? Kwanini mgawo huu ni mkali kiasi hiki? Kwanini bwawa halikamiliki kwa wakati?
Sikuwahi kufikiri kwamba waziri wa nishati ni kilaza kiasi kile. Yaani anapewa taarifa kwamba moja kati ya changamoto za mgawo ni transformer kuibiwa, ambapo transformer takribani 89 zimeibiwa Dar na pwani.
Je, ni mwananchi yupi anayeweza kuiba transformer wakati umeme una flow. Na kama umekatika,je anajua utarejea saa ngapi ili yeye awe salama?
Je kama wanaiba wananchi wanakwenda kuziuza wapi ili Hali tanesco ni Monopoly company ya kuzalisha na kusambaza umeme Tanzania?
Je,waziri ameshindwa kujua kwamba kama zinaibiwa ni inside job. Yaani mchezo unachezwa na Tanesco wenyewe? Waziri anakwenda kuongea kwenye bunge nyumba takatifu kwamba transformer zinaibiwa ndiyo kuna mgawo bila hata aibu masikini.
Amepachikwa vyeo vingi, anakula Kodi za Watanzania, Watanzania wanamsafirisha,wanamlisha,wanamhudumia mawasiliano,wanamhudumia familia,wanamtibu na kumnunulia nguo lakini anakuja kuwaletea michezo na kejeli hizi.
Hii nchi Ina Rais kweli? Anamtumikia nani? Anasubiri Nini kuachia ngazi.? Je atagombea Tena kuwatesa wananchi.?
Wananchi wamefunga biashara kisa umeme haupo. Kuna mchezo unachezwa. Hali ya umeme ni mbaya mbaya mbaya mbaya mbaya zaidi.
Mimi nitaomba kwa mungu daima ili Rais huyu astaafishwe kwa lazima na mwenyezi mungu ili taifa lipate Rais mwingine mwenye uwezo,akili kamili na mzalendo kwa wananchi na Tanzania.

" Na Mimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"

Dhalimu alipora uchaguzi na kujaza wanaccm eti ni wazalendo, mbona hatuwaoni wakihoji huu mgao na kuweka azimio la bunge?
 
Na Mimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"
Hivi si mlisema January ndio chanzo cha mgao, sasa kelele za nini tena wakati waziri ni Biteko, mtoto mpendwa wa JPM?
 
Back
Top Bottom