Ni Tanzania pekee kuna mgao wa Umeme kwa sasa Afrika nzima

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,712
6,505
Kwanza ieleweke kwamba migao ya umeme huwa ipo sana sio kwa Tanzana pekee bali nchi nyingi tu, hasa kutokana na mambo mengi kubwa ni kutokana na majanga kama ukame na kadhalika.Ila majanga yanapo tulia basi migao ya umeme huisha au kupungua kabisa. Tanzania ni tofauti kabisa iko kinyume chake.Haijalishi kuna nini wala nini.

Kwa utafiti wangu wa haraka haraka ndani ya wiki kadhaa, nimebaini kwamba kwa sasa ni Tanzania pekee ndio kuna mgao mkari wa umeme Africa nzima, bila kujalisha mvua zinanyesha au la, ni migao ambayo hatujui sabanu kwani mvua zimenyesha za kutosha.

Nchi nyingi zilizo kuwa na migao kama Zambia kwa sasa imetulia baada ya Mvua kunyesha kule kwenye bwawa lao kubwa la kariba na elewa ni mvua za Masika ndio zilituliza mgao kule Zambia, maoe wao hawana hizi Elinino.

Cha ajabu kwa Tanzania ni tofauti, kuna migao ambayo haijalishi kuna mvua au mafuriko au ukame, tunazidiwa hadi na Somalia kwenye vita kule. Nchi ija migao ya umeme mwaka mzima na kibaya zaidi hakuna dalili za migao kupungua kwa siku za karibuni, kuna uwezekano haki ikaenda hadi Dec Mwakani tena.
 
Kwanza ieleweke kwamba migao ya umeme huwa ipo sana sio kwa Tanzana pekee bali nchi nyingi tu, hasa kutokana na mambo mengi kubwa ni kutokana na majanga kama ukame na kadhalika.Ila majanga yanapo tulia basi migao ya umeme huisha au kupungua kabisa.Tanzania ni tofauti kabisa iko kinyume chake.Haijalishi kuna nini wala nini.

Uongozi wa CCM ni janga kwa nchi yetu. Ukiona tatizo lolote lile linajitokeza nje ya kawaida, basi tambua kuna 10% ya mafisadi inahitajika.
 
Sasa kama kumekuwa na utaratibu wa kutokuona UBOVU wa kiongozi mwongoza njia nchi itapelekwaje kwenye mafanikio?

Mawaziri na RCs wanamsifu na kuabudu kiongozi mkuu hata akishindwa kuonyesha njia, Wabunge hawahoji tena bali kuunga mkono na kusifu tuu kifala, watendaji, wataalamu hadi walimu wanachanga fedha eti kumnunulia fomu agombee tena!

Kuongoza nchi sio sawa na kuongoza VICOBA au familia, kesha chemsha na kumwambia umeshindwa sio jinai au kukosa heshima bali ni kuipenda nchi ili isizidi kupoteza muda.

After all hakuna mtu aliyemchagua kuwa Rais bali watu walimpendekeza kuwa msaidizi wa Magufuli ambaye sasa hayupo.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Hatari sana, hii mkuu
 
Yaani ni taifa la kijinga haswa hili tena limelaaniwa kweli kweli
 
Adui wa tanesco anajulikana, ni ujinga wa Mtanzania.

Wote wanafanya makosa ya kutatuwa tatizo kwa njia zilezile zilizoshindikana kutatuwa tatizo.

Mbona utatuzi wa Tanesco ni mdogo sana, shirika likatwe vipande vipande tu, kila mkoa uwe na shirika lake la umeme.

Hapo ndipo itajulikana, mkoa unaoshindwa wanapewa watu binafsi waendeshe.

Ndani ya miezi mitatu hutosikia tena mgao wa umeme.
 
Mgao wa umeme Tanzania ni wa kipekee duniani kwani nakumbuka wakati hii migao inaanza wakati wa Mwinyi nakumbuka ilikuwa ni mwaka 1993 tulidanganywa kama kawaida kwamba ni mgao wa kwanza na wa mwisho lakini kumbe ndio mgao ulikuwa unatambulishwa rasmi.

Chini ya huu utawala usio na ridhaa ya wananchi migao ya umeme kamwe haitaisha na tutasubiri sana kwa sababu ni artificial power rationing corruptly designed to save the selfish interests of some greedy individuals in the government. That's all.
 
Adui wa tanesco anajulikana, ni ujinga wa Mtanzania.

Wote wanafanya makosa ya kutatuwa tatizo kwa njia zilezile zilizoshindikana kutatuwa tatizo.

Mboa utatuzi wa Tanesco ni mdogo sana, shirika likatwe vipande vipande tu, kila mkoa uwe na shirika lake la umeme.

Hapo ndipo itajulikana, mkoa unaoshindwa wanapewa watu binafsi waendeshe.

Ndani ya miezi mitatu hutosikia tena mgao wa umeme.
Kwa kweli wafanya tu hata hiv itasaidia sana!! Haya mateso wanayowapa Watanzania hayafai kabisa!!

Wabnafishe tu hilo li Tanesco halina dhamani tena wameshindwa kabisa kujiendesha!! Na muhimu waigawe vipande vipande kama proposal yako uliyotoa, hata ikiwezekana kila Wilaya wawe na kampuni yao ya Electrical Power!! Njia za kuzalisha umeme ni nyingi sana wawekezaji binafsi wanaweza kuwekeza wakauza Wilayani kwenye shirika, huu ujinga utaisha kabisa!
 
Kwanza ieleweke kwamba migao ya umeme huwa ipo sana sio kwa Tanzana pekee bali nchi nyingi tu, hasa kutokana na mambo mengi kubwa ni kutokana na majanga kama ukame na kadhalika.Ila majanga yanapo tulia basi migao ya umeme huisha au kupungua kabisa.Tanzania ni tofauti kabisa iko kinyume chake.Haijalishi kuna nini wala nini.

Kwa utafiti wangu wa haraka haraka ndani ya wiki kadhaa, nimebaini kwamba kwa sasa ni Tanzania pekee ndio kuna mgao mkari wa umeme Africa nzima, bila kujalisha mvua zinanyesha au la, ni migao ambayo hatujui sabanu kwani mvua zimenyesha za kutosha.

Nchi nyingi zilizo kuwa na migao kama Zambia kwa sasa imetulia baada ya Mvua kunyesha kule kwenye bwawa lao kubwa la kariba na elewa ni mvua za Masika ndio zilituliza mgao kule Zambia, maoe wao hawana hizi Elinino.

Cha ajabu kwa Tanzania ni tofauti, kuna migao ambayo haijalishi kuna mvua au mafuriko au ukame, tunazidiwa hadi na Somalia kwenye vita kule. Nchi ija migao ya umeme mwaka mzima na kibaya zaidi hakuna dalili za migao kupungua kwa siku za karibuni, kuna uwezekano haki ikaenda hadi Dec Mwakani tena.
Ni Tanzania pekee kiongozi mkuu anapigiwa vigegele huku nchi ipo gizani.
Ni Tanzania pekee serikali inaendelea kusifiwa hata ikiboronga kiasi gani!
 
Dikteta Magu aliwazeje? pamoja na ukatili wake lakini sikuwahi kusikia mgao wa maji wala umeme, Rostam, Makamba na JK wanajua wanachokifanya kwenye huu mgao
Sasa Makamba hapo katoka wapi? Doto si ndo Waziri wa Nishati atueleze nn kinaendelea?
 
Back
Top Bottom