mbeya

  1. Mbeya: Atuhumiwa kumuua baba yake kwa kumpiga na ubao

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia kijana aitwaye HUMPHREY FRANCIS KIHALI [25] Mkazi wa Ilemi Jijini Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya baba yake mzazi aitwaye FRANCIS JOHN KIHALI [50] Mkazi wa Ilemi Jijini Mbeya. Awali Septemba 10, 2023 majira ya saa 10:45 jioni huko eneo la Ilemi...
  2. Mbeya ni jiji lenye barabara mbovu kuliko zote Tanzania

    Nimekuwa mkazi wa Mbeya kwa kipindi cha zaidi ya miaka minne sasa, lakini kati ya majiji yote niliyowahi kutembea katika kipindi chote, sijawahi kuona jiji lenye barabara mbovu kama Mbeya. Kuna barabara za lami zimekuwa na mashimo makubwa kwa zaidi ya miaka miwili, na ni barabara zenye umuhimu...
  3. Kwako IGP: Watu wanauawa kwa kukosekana kituo cha Polisi Itumbi, wilayani Chunya

    IGP, ujumbe huu ukufikie Popote ulipo. Ni aibu kwa Serikali ya CCM kukosekana kwa kituo cha Polisi Itumbi. Watu wanauawa kama nzige na hakuna kuripotiwa popote. Nchi hii imekuwa ngumu sana!
  4. Changamoto ya mfumo wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kushindwa kutatuliwa takriban wiki 3 sasa

    Ujumbe kutoka kwa kati ya mwanafunzi aliyehitimu na kuomba kupaziwa sauti. "Mimi ni muhitimu wa stashahada ya computer science chuo kikuu cha sayansi na teknolojia Mbeyaa Kumekuwa na tatizo la mfumo yaani SIMS (student information management system) kwa muda wa takribani wiki 3 mpaka sasa...
  5. Naomba kujuzwa bei ya maharage na mchele Kyela na Mbeya

    Habari ,naomba kuuliza bei ya maharage na mchela ni sh ngap kwa debe mwezi huu wa tisa (9) mwaka 2023 Bei mchele wa Kyela na mbalali na bei ya maharage ipoje
  6. U

    Kesi ya mkataba wa bandari Mbeya: Wakili aeleza sababu za kuchelewa kukata rufaa. Mahakama haijawapa mwenendo wa kesi na nyaraka zingine...

    ============================================== Kwa ufupi (quotes) "Immediate baada ya hukumu tarehe 10/8/2023, mara moja tulianza mchakato wa kukata rufaa kwa kuiandikia mahakama barua ya kuomba nyaraka muhimu za kesi kwa ajili ya rufaa ikiwemo proceedings (mwenendo) wa kesi na viambata vyake"...
  7. U

    Mbeya umeme unakatika kila siku zaidi ya masaa matano, mnatuumiza

    Habari wana jukwaa, Kilio changu ni Hapa Mbeya Mjini maeneo ya iwambi, Iyunga na Mbalizi umeme unasumbua Sana. Pia hawatuambii tatizo, Rais Samia tunakuomba uwe mkali saaana watendaji wako wanakuangusha, Miaka mitano ya Hayati Magufuli tulisahau hizi kero lakini kwa sasa imekuwa kawaida tuuu...
  8. Mbeya: Bibi ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua Mtoto wa mwaka mmoja kwa kumkata kwa jembe

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia bibi mmoja aitwaye MALOGI LUOBELA [75] Mkazi wa Kijiji cha Ikoho Wilaya ya Mbeya Vijijini kwa tuhuma za kumuua mjukuu wake aitwaye VISION ERICK mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi mitano kwa kumkata kwa jembe. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya...
  9. M

    Tulia ni mali kwa Jimbo la Mbeya hebu ujivunie na turinge naye

    Mkoa wa Mbeya kuna viongozi waliopita hawataweza kufutika kwenye vichwa vya watu. Huwezi ukataja viongozi waliacha alama Mbeya ukamsahau Prof. Mark Mwandosya! Sijui amewatendea nini wana Mbeya mimi siwezi kueleza nikaeleweka vizuri. Kwa sasa alama anazozitengeneza Dr. Tulia Ackson hususani kwa...
  10. Mashindano ya drafti kitaifa, Chunya Mbeya

    Mashindano ya siku Tatu ya drafti kitaifa yameanza leo huko Chunya, Mbeya. Leo yamechezwa makundi na 16 bora. Walioingia 16 bora ni hawa. RATIBA RASMI YA MASHINDANO YA DRAFTI KITAIFA IMESHATOKA. YATAANZA RASMI TAREHE 30 AGOSTI 2023 HADI 01 SEPTEMBA 2023. MASHINDANO YA KUMTAFUTA BINGWA WA...
  11. Watu 40 wakamatwa kwa wizi wa fedha za serikali kwa kutumia mfumo bandia Mbeya

    KUFUATIA kauli ya Rais Dkt. Samia. Suluhu Hassan aliyoitoa jana juu ya tuhuma za wizi wa fedha za serikali kupitia mfumo wa mashine za kukusanyia mapato katika halmasahauri mbalimbali za nje ya mkoa wa mbeya na mikoa mingine jumla ya watu 40 wamekamatwa kufuatia wizi huo. Akizungumza na...
  12. K

    Nionavyo: RC Mbeya hakutakiwa kuchukua uamuzi Sasa wakati ripoti ya uchunguzi kuhusu ufisadi wa Mbeya haijatoka

    RC ambaye ni Mwenyekiti wa vikao vya RCC ameshindwa kuyaona yaliyokuwa yanaendelea mkoani Mbeya ,mpaka Rais aliseme hii inaonesha utendaji wake unatia mashaka. Baada ya Rais kujua juu ya ufisadi akaunda tume kuchunguza suala hilo na mpaka hapo hatukusikia RC akichukua hatua zozote Kwa wahusika...
  13. Mbeya: 40 Mbaroni tuhuma za wizi kwa kuingilia Mfumo wa TEHAMA

    Siku moja baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutaja ubadhilifu wa fedha mkoani Mbeya, watu 40 wanashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa tuhuma za kuhusika kwenye wizi huo wa Sh450 milioni wa fedha za umma. Akizungumza leo Jumatatu Agosti 28, 2023 Mkuu wa Wilaya ya...
  14. Hili la Mbeya, wafanyakazi kuiba mapato ya Serikali, linasitua sana

    Huu wizi wa fedha za umma unasitua sana. Mh Rais Samia amesema wafanyakazi Halmashauri wamejijengea utaratibu wa KUIBIA serikali! Wizi una baraka zote za TISS, POLISI na watendaji RAS, hadi Mkuu wa Mkoa. Huu ni wizi wa kuaminiwa na tunategemea serikali kutocheka na nyani! Tumeshaanza kula mabua!
  15. Madaktari bingwa wa Macho kutoka Ujerumani watinga Mbeya

    Jopo la Madaktari Bingwa wa Macho kutoka nchini Ujerumani wamefika mkoani Mbeya kutoa huduma ya matibabu ya uchunguzi na matibabu ya macho bure kwa wananchi wa mkoa huo. Madaktari hao bingwa kutoa nchini Ujerumani, wamefika mkoani Mbeya kwa uratibu wa Mbunge wa Viti maalumu mkoa wa Mbeya...
  16. S

    Mawakili wa Dkt. Wilbroad Slaa, Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali wamefungua kesi kuwashitaki AG, IGP, DPP, RCO-Mbeya na OCS wa Central Polisi Mbeya

    Hii ndio taarifa inayopatikana mitandaoni usiku huu na hatua hii ni kutokana na washitakiwa hao kuendelea kushikiliwa bila kufikishwa mahakamani jambo ambalo ni kinyume na sheria. --- Mawakili wa Wilbroad Slaa, Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali wamefungua (Habeas Corpus) kuwashtaki AG, IGP...
  17. Mwakyembe alimtembelea Dr. Slaa Serena Hotel, lakini Kashindwa Kumtembelea Korokoroni Polisi Mbeya

    Mwakyembe yupo Pale Kyela Mbeya, leo ni siku ya tatu Dr. Slaa anajisaidia kwenye Ndoo akiwa Korokoroni viunga vya Polisi kati Mbeya. Lakini rafiki yake kipenzi hajamtembelea hadi leo. 2015 wakati Dr. Slaa anajiondoa CHADEMA, Mwakyembe alienda Serena Hoteli Dar es Salaam kumpongeza na kudai ni...
  18. CCM Yamteua Bahati Keneth Ndingo kuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Mbarali, Mbeya

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, ikiongozwa na Mwenyekiti wa CCM a Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, imekutana katika kikao chake maalum, kilichofanyika Ikulu ya Chamwino, jijini Dodoma, leo Alhamis, Agosti 17, 2023. Pamoja...
  19. Mbeya: Zaidi ya Mawakili 100 wamejitokeza kuwatetea Dkt Slaa na Wenzake

    Taarifa kutoka kwa Phillipo Mwakilima Wakili wa Watuhumiwa wa Uhaini , inaeleza kwamba zaidi ya Mawakili 100 wamejitokeza kumtetea Dkt. Slaa na wenzake kwenye kesi ya uhaini inayowakabili. Tayari wengine wamekwishaanza kuripoti Mkoani Mbeya kwa ajili hiyo . --- Zaidi ya mawakili 100 kutoka...
  20. N

    Dk. Slaa, Mwambukusi na Mdude kufikishwa mahakamani Mbeya

    Philipo Mwakilima ambaye ni Wakili wa Wakili Boniface Mwambukusi na Mdude Nyangali amesema kuwa taarifa alizopewa na maafisa wa Jeshi la Polisi ni kuwa wateja wao ambao wanatuhumiwa kwa makosa ya uhaini pamoja Dk. Slaa wanatarajiwa kufikishwa Mahakamani Mkoani Mbeya hii leo Agosti 16, 2023...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…