Shalom shalom
Nenda moja kwa moja Kwenye mada
Kwamuda mrefu nimekua mkazi wa mbeya watu wa huku wengi wameshika dini sana ukiwaona kwa nje na hata kuongoza kuwa na manabii na mitume wengi kushinda hata Israel yenyewe taifa teule.
Watu wa huku wengi ni wakristo karibu asilimia 99 mchana wako...
Wakuu habari za muda huu?
Mada yangu inajikita kwenye Hali ya hewa ya mkoa wa Mbeya hasa Rungwe na Mbeya mjini.
Mkoa wa Mbeya kiufupi hauna kipindi Cha kilele Cha kumuacha mtu awe huru badala yake watu ni watumwa wa Hali ya hewa kuanzia January Hadi September kila mwaka.
A. Kuanzia January...
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo mkoani Mbeya, Mwenyekiti wa BAVICHA Mbeya Elisha Chonya amesema kwamba CHADEMA wana haki ya kuendelea na mikutano ya kisiasa kwani katazo la Mahakama halikuwalenga viongozi wote wa CHADEMA bali viongozi wachache.
Akiwa anazungumza kwenye kikao chao mkoani Mbeya ...
Anawasifia mchana usiku anataka maini Yao Ila Israel mtoa roho!
Naandika mimi sasa ✍🏻✍🏻✍🏻
Yeye Yule ambaye alitukanwa sana kwenye korido za Nyumba nyeupe mithiri ya Meli, pale kwenye Shombo, sasa akawa mwenyewe.
Anafanya kulipiza kisasi kuanzia ameshika hatamu akamuwajibisha aliyeonya SIGARA...
Habari wanajamii . Naomba kutoa taarifa na kuomba msaada kwa yeyote atakaye liona gari husika anitaarifu. Gari Hilo limeibiwa jijini Mbeya na fundi makenika aitwaye Ibrahim Mwakyusa. Ameiba gari katika mazingira ya kulitengeneza.
Mwizi wa gari ni Ibrahim Mwakyusa mwenye namba 0752895006...
Taarifa hii imenifikia asubuhi hii. MwanaJF mwenzetu Pasco Mayalla amechukizwa na ushindani mdogo wa kisiasa uliopo katika majimbo ya Dar es Salaam na ameamua kuelekea Mbeya kugombea ubunge.
Ndugu Mayalla anatajwa kama moja ya wanasiasa nguli na mwenye maamuzi magumu kisiasa kama alivyo na...
Wakati mchakato wa kuchukua fomu Kwa ajili ya kugombea nafasi mbali mbali za uongozi katika ngazi ya Uraisi, ubunge na udiwani kwenye Uchaguzi unaotarajia kufanyika octoba mwaka huu, watu mbalimbali wamejitokeza katika zoezi Hilo lililoanza Leo June 28.
Patali Shida Patali ambaye ni mjumbe wa...
Mjumbe wa NEC Richard Kasesela, amechukua fomu kuwania Ubunge Jimbo la Rungwe lililopo mkoani Mbeya, Jimbo hilo ambalo lilikokuwa linaongozwa na Mbunge aliyemaliza muda wake Anton Mwantona.
Jimbo hilo linanyemelewa na Gwamaka Mwafwenga aliyekuwa Mkurugenzi wa NEMC, yupo pia Eliud Mwaiteleke na...
Aliwahi kusema mwanafalsafa mmoja kwamba kadiri unavyopanua ndivyo wanavyotamani ! Juma homera anaondoka na kuiacha mbeya ikiwa gizani ,maswali yetu Bado alikuwa hajayajibu ! Swali la kwanza ni kweli yule kijana aliyechoma picha ya rais huko ntokela hatutamuona Tena? Swali la pili hivi ni...
Tafadhari mi si wa mbeya
Angalia takwimu hizi
Dar es Salaam: 17% (Sh32.1 trillion)
Mwanza: 7.2% (13.5 trillion)
Mbeya: 5.58% (Sh10.5 trillion)
Morogoro: 4.8% (Sh9 trillion)
Arusha: 4.7% (Sh8.9 trillion)
Tanga: 4.65% (Sh8.8 trillion)
Mbeya ni mkoa ambao hauna project kubwa ukiringanisha na...
KUANZISHWA
Mineral Access Systems Tanzania Ltd (MAST) ni Kampuni ya Kitanzania, iliyoanzishwa mwaka 2011, ikiwa na dhamira ya kuendeleza biashara ya madini kwa njia shirikishi na endelevu. Imekuwa ikifanya biashara ya madini ya kimkakati (strategic minerals) ndani na nje ya nchi mfano Zambia...
Utata gari la RC
MKUU mmoja wa mikoa nchini (majina yanahifadhiwa kwa sasa), anadaiwa kuingia katika kashifa ya kununua gari la Serikali (Shangingi), alililokuwa akilitumia awali, Raia Mwema imebaini.
Uchunguzi wa Gazeti hili, umebaini kuwa Mkuu huyo anadaiwa kutumia madaraka yake kufanikisha...
Kama unatafuta msimamizi wa mradi au kazi nipo. Mikoa miwili napatikana Mbeya na Dar es salaam.
Nina stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering)
0756704145
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya [MUST] mwaka wa kwanza aitwaye Emilian Joseph Duzu [21] kwa tuhuma za mauaji ya Mwanafunzi mwenzake wa Chuo hicho mwaka wa tatu aitwaye Gerald Philbert Said [22].
Ni kwamba Juni 14, 2025 saa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mtuhumiwa Seven Kipara [38] mkazi wa Ipwizi kwa tuhuma za kupanga njama na wenzake za kumuua mama yao mzazi na kumjeruhi kwa risasi mtoto aitwaye Sinzo Jifwalo mwenye umri wa miaka 4 mkazi wa Kijiji cha Ipwizi.
Ni kwamba mnamo Juni 13, 2025 saa 6:05...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.