wakamatwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu Sita Wakamatwa Ruiru Baada Ya Wahindi 3 Kuokolewa Katika Kesi Ya Usafirishaji Binadamu

    Watu sita wamekamatwa huko Ruiru, Kaunti ya Kiambu, baada ya maafisa wa upelelezi kuwaokoa raia watatu wa India waliokuwa wameripotiwa kutoweka baada ya kuwasili nchini Kenya tarehe 5 Agosti 2026. Uchunguzi wa kitengo cha Operations Support Unit (OSU) cha DCI uliwawezesha maafisa kuwafuatilia...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watuhumiwa 3 Wakamatwa Kwa Mauaji Ya Aliyekuwa Diwani Nathan Wasama

    Maafisa wa Upelelezi wa Jinai (DCI) wamewakamata watu watatu wanaohusishwa na mauaji ya aliyekuwa Diwani wa Chesikaki, Nathan Masai Wasama, huko Cheptais, Kaunti ya Bungoma. Wasama, ambaye pia alikuwa mfanyabiashara na alikuwa ametangaza nia ya kuwania kiti cha ubunge cha Mt Elgon mwaka 2027...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Watu 130 wakamatwa kwa tuhuma za mipango ya kuchoma shule na kuua viongozi

    Jeshi la Polisi nchini limetangaza kuwatia mbaroni jumla ya watuhumiwa 130 katika mikoa mbalimbali kwa tuhuma za kupanga na kuhamasisha vitendo vya kihalifu nchini ambapo watuhumiwa hao wanadaiwa kutumia vikao vya ndani na mitandao ya kijamii kuratibu mikakati ya kuvuruga amani na usalama wa...
  4. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Wanandoa wa couple mbili (watu 4) wakamatwa nchini Malaysia kwa kumnyanyasa mfanyakazi wa ndani kutoka Indonesia

    Wanandoa wa couple mbili tofauti nchini Malaysia, katika jimbo la Johor, wamekamatwa kwa tuhuma za kumshambulia kimwili mfanyakazi wa ndani kutoka Indonesia. Inadaiwa kuwa mwathiriwa alirekodi tukio hilo kwa siri mwaka uliopita, na baadaye video za unyanyasaji huo zilisambaa kwenye mitandao ya...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wachina wanne wakamatwa kwa tuhuma za Utekaji

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na majukumu yake ya msingi ya kuzuia vitendo vya kihalifu na kwa ujumla hali ya Jiji ni salama. Hata hivyo tarehe 14 Mei, 2026 majira ya saa 04:30 usiku Polisi walipokea taarifa kuwa katika majengo pacha ya 'PSSSF Mtaa wa Mission Ilala Dar...
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Magaidi zaidi ya 41 wakamatwa huko Bahrain kwa tuhuma za kuisaidia iran

    Bahrain iliwakamata watu 41 waliohusishwa na Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu cha Iran, baada ya uchunguzi wa usalama kubaini shirika lililohusiana na IRGC na itikadi ya Wilayat al-Faqih. Kesi hizo zilihusisha mawasiliano na vyombo vya kigeni, shughuli zinazohusiana na ujasusi na...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Watatu wakamatwa kwa kutusi Tume ya kuchunguza vurugu za Oktoba 29

    Jeshi la Polisi nchini limewakamata watu watatu kwa tuhuma za kutumia vibaya mitandao ya kijamii kwa kusambaza matusi na maudhui ya kudhalilisha, wakiwemo waliolenga wajumbe wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya vurugu za Oktoba 29, 2025 na baada ya uchaguzi. Watuhumiwa hao wamekamatwa katika...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watu 6 wakamatwa kwa kutuhumiwa kumuua Askari Arusha. Walimshambulia wakidhani ni mwizi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watu sita kwa tuhuma za mauaji ya Askari Polisi aitwaye Roland Mollel ambaye ni mkazi wa Arusha yaliyotokea Aprili 15, 2026 muda wa usiku. Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Justine...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari wakamatwa kwa AMRI ya DC

    Nobert Hongoli na Wolter John Mbaga (Mhariri) Lumen Radio ya Karatu wamekamatwa na kuwekwa rumande Kwa AMRI ya DC Lameck Karanga na wamekamatwa leo March 27,2026 asubuhi baada ya agizo la Mkuu wa wa Wilaya ya kuitwa wafike Ofisini kwake na Baadae kuamriwa kukamatwa na kupelekwa polisi Kosa...
  10. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Waislamu tisa waliokula mchana hadharani wakamatwa Nigeria

    #HABARI Polisi wa Kiislamu katika jimbo la Kano kaskazini mwa Nigeria, wanaojulikana kama Hisbah, wamewakamata Waislamu tisa- wanaume saba na wanawake wawili kwa kosa la kula chakula hadharani siku ya kwanza ya mfungo wa Ramadhani. Mwezi wa Ramadhani umeanza nchini Nigeria siku ya Jumatano...
  11. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Video: Wakamatwa wakitengeneza 'Oil fake' za TotalEnergies

    Kilas iku tutaendelea kuwasanua ndugu zetu kuwa hapa DAR kama unataka oil za kampuni ya TotalEnergies nenda kwenye petrol station zao. Oil za TotalEnergies asilimia 85% ni fake hasa zinazouzwa uswahilini....hivi viwanda bubu zipo pale Tabata dampo na serikali inajua kila kitu.
  12. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Wapiganaji 5 wa ISIS raia wa Tanzania wakamatwa kwenye operesheni ya ugaidi Puntland, Somalia

    Serikali ya Jimbo la Puntland imetoa picha na maelezo rasmi yanayowaonyesha makumi ya wapiganaji wa kigeni wa kundi la Islamic State (ISIS-Somalia) waliokamatwa wakati wa operesheni ya kupambana na ugaidi inayoendelea katika safu ya milima ya Calmiskaad (Al-Miskad) kwenye Milima ya Golis. Kwa...
  13. Black Opal

    JamiiForums Tanzania Wachina wakamatwa maeneo ya Oysterbay wakiwa na takriban Tsh. Bilioni 6 taslim zikiwa zimefichwa ndani ya nyumba

    Leo majira ya saa 5:30 asubuhi, Uongozi wa Serikali ya Mtaa wa Oysterbay, ukiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, umefanikiwa kuwatia mbaroni raia wa kigeni wenye asili ya Kichina wakiwa na kiasi cha takriban Tsh. Bilioni 6 taslimu. Fedha hizo zilikutwa zimefichwa katika...
  14. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Rais wa Venezuela na Mke wake wakamatwa na Jeshi la Marekani

    Rais Maduro adakwa US President Donald Trump says the US has carried out "large scale strike against Venezuela" and "captured its leader, President Nicolas Maduro" and his wife. Here's the statement from Truth Social in full: "The United States of America has successfully carried out a...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Madereva watano wa Ambulance wakamatwa kwa kusafirisha abiria

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata madereva watano wa magari ya kubebea wagonjwa kwa tuhuma za kubeba abiria kinyume cha sheria. Kamanda wa Polisi mkoani humo, SACP Alex Mkama, amesema madereva hao waliokuwa wakisafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Kagera wamekamatwa kufuatia...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Mwanza limewakamata wahamiaji haramu 14 raia wa Burundi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia wahamiaji haramu 14 raia wa Burundi, waliokamatwa wakiwa wameingia nchini kinyume na sheria kwa kutumia usafiri wa magari Mawili tofauti ya abiria Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana, Novemba 23 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbroad...
  17. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Arusha: Mwandishi wa Habari ambaye pia ni Mmiliki wa Kusaga Tv na Mwandishi wa AyoTv wakamatwa na Polisi

    Picha: Alphonce Kusaga (Mei 2025) Mwandishi wa kituo cha habari cha Sunrise Radio cha jijini Arusha, ambaye ni miliki wa Kusaga Tv, ndugu Alphonce Kusaga amekamatwa na Jeshi la polisi Arusha jana 04 Novemba 2025. Baada ya kukamatwa, alipelekwa nyumbani kwake kufanya upekuzi, kisha wakamrudisha...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mdogo wake Heche na wengine wanne wakamatwa na Polisi usiku huu

    Enock Heche, mdogo wake Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche, na watu wengine wanne wamekamatwa usiku huu katika Mji mdogo wa Sirari, Wilaya ya Tarime na wamepelekwa kituo cha Polisi Tarime. Hawajaelezwa sababu za wao kukamatwa.
  19. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chahali: Kuna Maofisa Usalama wa Tanzania wamekamatwa Marekani wakipanga kuwadhuru Wanaharakati Watanzania waishio huko

    Akiongea kupitia mtandao wa Youtube, Shushushu wa zamani wa Idara ya usalama wa Taifa, ndugu Evarist Chahali amesema kuwa maofisa wa kitengo wamedakwa huko Marekani wakiwa ktk plan za kuwadhuru Wanaharakati wa Kitanzania waishio huko. Chahali akasema kuwa walengwa ni watanzania waliokuwa...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara watatu wakamatwa na laini za simu 94 wakituhumiwa kufanya utapeli Iringa

    Jeshi la polisi Mkoa wa Iringa limewakamata Innocent Moshi (30), mfanyabiashara na mkazi wa Tenguru Mkoa wa Arusha na wenzake wawili wakiwa na laini 94 za mitandao mbalimbali ya simu wakizitumia kujipatia fedha kwa njia ya Udanganyifu. Akitoa taarifa kwa vyombo vya Habari Kamanda wa Polisi Mkoa...
Back
Top Bottom