mdude nyangali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Mdude Nyangali CHADEMA azuiwa kusafiri nje ya nchi na DCI. DCI kapata wapi mamlaka ya kuzuia mtu asisafiri?

    Hivi huu Ujinga bado upo? Au ndo 4R kwa kiwango cha standard gauge ? my foot !...Kumbe tuna wafungwa wanaotembea? DCI vipi kulikoni? Au una kwazwa sana na watu wenye maoni Huru? Nimetaarifiwa kuwa umeweka zuio mdude Chadema asitoke nje ya Nchi eti? Kwa hiyo anakifungo kwa Mujibu wa Ofisi...
  2. N

    Dk. Slaa, Mwambukusi na Mdude kufikishwa mahakamani Mbeya

    Philipo Mwakilima ambaye ni Wakili wa Wakili Boniface Mwambukusi na Mdude Nyangali amesema kuwa taarifa alizopewa na maafisa wa Jeshi la Polisi ni kuwa wateja wao ambao wanatuhumiwa kwa makosa ya uhaini pamoja Dk. Slaa wanatarajiwa kufikishwa Mahakamani Mkoani Mbeya hii leo Agosti 16, 2023...
  3. Msanii

    Mdude Nyangali, Wakili Mwabukusi na wenziwe wadaiwa kuundiwa mashtaka ya Uhaini

    Serikali imeamua kuzima mjadala wa Bandari kwa kishindo Kamata kamata inaendelea Zamu hii Dr. Slaa akamatwa leo jumapili tarehe 14/08/2023....
  4. kagoshima

    Mdude Nyangali ni mpinzani anayechafua taswira ya upinzani

    Watu wa aina ya Mdude Nyangali wa CHADEMA wapo sana kwenye jamii na tabia zao mara nyingi huwa zinakereketa na kujenga mtizamo hasi. Siasa za Mdude Nyangali sio za kiuanaharakati, sio za kistaarabu, sio za kushindana kwa hoja. Siasa za huyo jamaa wa CHADEMA ni za kishari, mihemko na kutukana...
  5. DIUNATION

    UVCCM, Mdude Nyagali aoneshwe kuwa taasisi ya Urais haitukanwi kirahisi

    Nimefanikiwa kuiona clip ya Mdude akitumia maneno ya kuudhi na yasiyo na staha kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Niseme wazi kama Rais Samia angeamua asitoke asingetoka ila kwa sababu anaamini katika Uhuru wa Mahakama aliamua ifanye kazi yake. Ni muda muafaka sasa kwa UVCCM...
  6. DENLSON

    Mdude Nyangali ni Nelson Mandela wa kizazi hiki

    Wasalaam, Leo tarehe 28 Juni 2021 Mahakama amemuachia huru aliyekuwa mtuhumiwa wa kosa la kuuza madawa ya kulevya. Sitagusia juu ya kesi au namna ushahidi ulivyotolewa ila nataka kuongelea msimamo alionao Mdude Nyangali mwanachama mtiifu wa CHADEMA hata akajiita MDUDE CHADEMA. Taifa...
  7. Erythrocyte

    Mdude Nyangali arejesha fomu ya kuomba Uenyekiti wa Taifa BAVICHA

    Unaambiwa siasa za awamu hii ni zile siasa ngumu kabisa , ni siasa za vitendo zaidi badala ya maneno , ni siasa za jasho na damu . Wanatakiwa Vijana shupavu wasioogopa kuuawa .
Back
Top Bottom