mbeya

  1. H

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Mbeya, nahitaji kiwanja kwa bajeti ya 2m to 3m

    Wakuu poleni na majukumu. Moja kwa Moja kwenye mada, nahitaji msaada wenu, Mimi ni mhitimu wa chuo Cha MUST mbeya nlieamua kujitafuta hapa hapa mbeya. Baada ya kujitafuta kwa miezi kadhaa kitu Cha kwanza ikawa ni kutafuta eneo kwa ajili ya makazi. Kwa bajeti ya Milion2 hadi 3 naweza pata...
  2. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hapa mbeya ugali nyama choma unaupata kuanzia saa 11 alfajiri.

    Aisee Leo nimeamka na hangover sio poa,mwenyeji wangu akaniambia usiwaze twende tukapige diko somewhere, nikamuuliza saa 11 ile msosi tunatoa wapi. Jamaa akaniambia Acha wenge nifuate,tukaingia huko uyole ndani ndani tukaibuka kwa jamaa anaitwa j4,tukakuta nyomi ya raia ya kutosha,tukapiga nguna...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watu wa Mbeya tuambieni ukweli, huyu ni wa kwenu kweli au mlisingiziwa? Mbona hafanani na nyie?

    Tunamjua Mwakyembe alisimama imara kuwapinga Mafisadi kina Lowassa na Rostam Tunamjua Mwandosya, alimpiga spana Jiwe na kuweka msimamo dhidi yake pamoja na Jiwe kumbananisha sana Tunamjua Sugu, pamoja na urafiki wake na Samia ila kasimama imara kusambaza No Reforms No Election Tunamjua Mdude...
  4. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Licha ya Mbeya na Tanga kuwa miongoni mwa Mikoa Inayoendesha Uchumi wa Tanzania ila Imeshindwa Kuvutia Wawekezaji Kwa Wingi.Shida nini?

    Hii ni mada ambayo imewekwa na The Citizen wakinukuu na kufanya uchambuzi wa taarifa kutoka BoT. Licha ya kuwa miongoni mwa majiji sita bora kwa uzalishaji wa kiuchumi hapa Tanzania, Mbeya na Tanga zinasuasua kwa kiasi kikubwa katika kuvutia miradi ya uwekezaji, mitaji, na ajira. Hali hii...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Sugu, jimbo la Mbeya Mjini liko wazi, jiunge na chama kikuu cha upinzani CHAUMMA usepe na kijiji

    Kwa sasa Sugu njia nyeupe Mbeya Mjini. Ni yeye tu aachane na siasa za darasani (academic politics) aende saiti
  6. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Mbeya mjini yapongeza utekelezaji wa mradi wa barabara Ilomba - Machinjioni

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mbeya Mjini kimeonesha kuridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara inayounganisha maeneo ya Ilomba na Machinjioni, chini ya mradi wa TACTIC awamu ya kwanza. Akizungumza wakati wa ziara ya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi huo, Mwenyekiti wa...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi bonde la Uyole waanza kumchangia fedha ya fomu Spika Tulia ili agombee ubunge jimbo la Uyole

    Wakuu kumbe jambo lipo lipo serious, Jumatano Waziri Bashe akiwasilisha hotuba ya bajeti wizara ya kilimo alimuomba alimuomba Spika Tulia kugombea jimbo la Uyole na siyo Mbeya mjini hatimaye baadhi wananchi kutoka Uyole wameanza kumchangia fomu Cc Stuxnet ===== Wakati vuguvugu la kisiasa...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Uyole: Wanne wanaswa wakiwa na zaidi ya kilo 100 za bangi

    Jeshi la polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu wanne wakiwemo wanawake wawili wa familia moja wafanyabiashara na wakazi wa Mponja - Uyole Jijini Mbeya na wanaume wawili akiwemo kondakta wa basi kwa tuhuma za kupatikana na shehena ya dawa za kulevya aina ya bangi yenyewe ujazo wa kilogramu 164...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Moto waunguza Bweni la Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (Mbeya University of Science and Technology - MUST)

    Taarifa ni kuwa kuna bweni la Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (Mbeya University of Science and Technology) linaungua kwa moto leo Mei 20, 2025. UPDATES... ( Taarifa ya Mtandao wa Mustso_updates) Moto mkubwa ulizuka katika Hostel za Wasichana 8C lakini umekwisha kudhibitiwa, mpaka...
  10. Barackachess

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Panasonic LUMIX GH5 4K Digital Camera TSH 3.7MILLION | DAR ES SALAAM

    PANASONIC LUMIX GH5 – Kamera ya Kitaalamu kwa Picha na Video za 4K INAUZWA 3,700,000/= Ikiwa wewe ni mpiga picha au mtengenezaji wa video unayetafuta ubora wa juu, basi Panasonic Lumix GH5 ni kamera ya ndoto yako. Kamera hii ni ya daraja la kitaalamu, na imeundwa mahsusi kwa ajili ya kazi za...
  11. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mluo, mbozi, mbeya, tunduma na Makuyuni kuna unafuu wa kununua ardhi ya kilimo.

    Habari, Kati ya maeneo haya ni wapi kuna unafafu wa kununua ardhi (shamba) Mluo, mbozi, mbeya, tunduma na Makuyuni ni kwa lengo la shughuli za kilimo cha umwagiliaji au Highlands yenye vipindi virefu vya mvua. Na bei kwa bei nafuu around 200k to 700k kwa hekari pawe panapitika kwa gari...
  12. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Arusha 620,000 Mbunge mmoja Mbeya 540,000 wabunge wawili.

    Tume huru imekuja na mgawanyo wa majimbo. Arusha idadi ya watu 620,000 ina jimbo mmoja la uchaguzi. Mbeya idadi ya watu 540,000 majimbo mawili ya uchaguzi. Huu ni mfano mdogo ambao unadhihirisha tume yetu huru ya uchaguzi si tume huru hata kidogo. Ngongo kwasasa Kwamromboo 🐐
  13. Nyendo

    JamiiForums Tanzania KERO Usafiri wa Mabasi Mbeya hauzingatii ratiba, wanatoa tiketi za karatasi na baadhi ya madereva wanalewa

    Mabasi ya kutoka Mbeya hasa yanayosafiri Usiku hayafuati ratiba ya safari, kwa mfano kuna siku nilipanda basi kutoka Mbeya kwenda Morogoro walisema linaondoka Saa 12:00 Jioni ila tuliondoka Saa 2:00 Usiku pale Stendi Kuu. Tulipofika Uyole wakapaki tukaondoka Saa tano Usiku kwa hiyo...
  14. mwakyindi

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la ardhi limepita jijini Mbeya

    Za asubuhi wakuu, huku Mbeya mjini tetemeko limepita yaani sio poa kabisa Hapa usingizi umekata Wataalam mtujuze shida nini
  15. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Madini, agoma kufuta Leseni za Utafiti (PL )Mkoa wa Mbeya, Wilaya ya Chunya, zilizo kwisha muda wake miaka 10 iliyopita

    Waziri wa Madini, tunapozungumzia suala la leseni za utafiti wa madini (PL) katika Mkoa wa Mbeya, hususan Wilaya ya Chunya, kuna mambo kadhaa ya kuzingatia. Kwanza, ni muhimu kufahamu kwamba kuna leseni zaidi ya 20 ambazo zimeisha muda wake, hazijalipiwa, na zina wachimbaji wadogo waliotengewa...
  16. suzie _barbie

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama ya kusafirisha tani (1000kgs)ya mchele kutoka Mbeya kwenda Kampala(Uganda)

    Habari wadau, Wakubwa shikamoni, wengine habari zenu! Naomba kujua gharama ya kusafirisha tani( 1000kgs) ya mchele kutoka Mbeya kwenda Kampala. Na pia kama kuna mtu anafanya hii biashara genuinely na anatafuta soko nchini Uganda, tunaweza kuzungumza na kushauriana. Asanteni.
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Manipulation: Mbinu iliyotumika na CIA kukichukua kisiwa huko Ufilipino na Sakata la Sumu Ofisi za Chadema huko Mbeya.

    Kuelekea Vita kuu ya Pili ya Dunia Marekani alikuwa na uhitaji mkubwa sana wa visiwa katika Bara la Asia kwa ajili ya kujenga Kambi zake za kijeshi.Moja ya maeneo yaliyotambuliwa na Marekani ni visiwa vilivyopo karibu na Nchi ya Ufilipino. Pamoja na kutumia mbinu zote kuwashawishi wakazi wa...
  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Hali yazidi kuwa tete kwa CCM: Baada ya kukosa pandikizi hata moja kwenye Uongozi Mpya wa Chadema wamuelekeza Msajili Kutengua Viongozi wapya

    Moja ya zawadi kubwa aliyotupa Mungu Watanzania mwaka huu 2025 ni kumteua Tundu Antipass Lissu kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Kuchaguliwa kwa Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti wa Chadema kwenye Uchaguzi Huru na wa Haki ulioshuhudiwa na Watanzania wote kupitia vyombo vya habari kulihitimisha rasmi siasa...
  19. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Polisi hawawezi kusema wanachunguza kitu ambacho wananyooshewa vidole na zaidi ya nchi nzima kama wahusika lazima wananchi mbeya wajilinde

    Hatuwezi kusema na haiwezekani tuchunguze kitu ambacho watu zaidi ya maelfu wana tunyooshea videlo kama wahusika na utekaji wa mdude, alafu tuje na majibu mepesi kwamba tunachunguza hamuwezi kujichunguza. Wananchi wa mbeya wanayo haki ya kuchunguza tukio hilo na kujilinda dhidi ya wahalifu...
  20. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Mbeya ni sehemu yenye watu strong sana , kimtazamo, kimaamuzi na katika kujua haki zao Study case kwa Mdude!

    Issue ya kutekwa kwa Mdude , Inaacha Alama katika vichwa vya watu wenye maono . Ni kuwa Mbeya ni sehemu ya watu wenye uwezo mzuri wa kupigania haki. Mpango mkakati wa mabadiliko. unabidi kulenga na kuwekeza sehemu zenye watu wanaojielewa na kujua nini wanataka Issue ya Mdude haitopita hivi hivi.
Back
Top Bottom