tehama

 1. beth

  Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia: Ukatili kwenye Mitandao na madhara yake

  Kukua kwa Teknolojia ya kidigitali pamoja na mlipuko wa ugonjwa wa UVIKO-19 umechangia mabadiliko ya mfumo wa kufanya kazi. Watu wengi wamekuwa wakitumia teknolojia ya TEHAMA na mitandao kama sehemu za kupata taarifa kukuza biashara zao, kufanya kazi na mawasiliano kwa ujumla. Hata hivyo, kwa...
 2. STORIKA STUDIO

  Mwalimu jiajili kwa kutumia TEHAMA...

  Habari walimu!! Nimetafakari kwa kima kuhusu swala la ajira kwa upande wa sekta ya elimu, nimeona ni changamoto sana serikali kutimiza swala la ajira kwa wahitimu wa sekta ya elimu kutokana na wingi wa walimu waliopo na wanaoendelea kumaliza kila mwaka. Kutokana na utafiti niliyofanya kuhusu...
 3. Miss Zomboko

  Udhaifu wa Utekelezaji wa Sera ya Taifa ya TEHAMA ya Mwaka 2016

  Mifumo ya TEHAMA Serikalini inalenga kuongeza udhibiti wa makusanyo ya Fedha za Umma, ufanisi wa utoaji huduma za Kijamii, kuongeza Mapato na kuleta tija katika Matumizi ya Fedha ya Umma Ukaguzi wa CAG ulibaini Mamlaka za Serikali za Mitaa 18 pamoja na baadhi ya Taasisi za Serikali hazina Sera...
 4. C

  Unafiki wa wala nchi hii: Mkutano wa TEHAMA umekwisha na maazimio ya kinafiki

  Limkutano huko Arusha lilikuwa na mbwembwe kwelikweli aisee yaani nimekaaa hapa natengeneza apps fulani bando limeisha kabisa kushoto kulia hata buku 3 ya kupata gb 2 sina niweze kuchukua baadhi ya vitu online na kucheki tutorials Ama kweli hili li nchi nuksi sana , walivyokuwa wanajiliza...
 5. C

  Unafiki: Mkutano wa TEHAMA Arusha ni time wastage, hali halisi ni mbaya tusidanganyane

  Yaani kuna watu kabisa wanalipana posho KWENYE UTOPOLO KAMA HUU, mnavyozungumzia watu kujiajiri na mtu akiwakuta kwenye makongamano kama haya jinsi mnavyojifanya mnaipenda teknolojia na internet huku mkitoa mifano ya nchi nyingine zinavyopiga hatua na kuzalisha ajira sababu ya internet yenye...
 6. Analogia Malenga

  Rais Samia aahidi Chuo Kikubwa cha TEHAMA

  Rais Samia Suluhu Hassan amesema TEHAMA ina nafasi kubwa katika maendeleo na Tanzania haiko nyuma, inajipanga kujenga chuo kikubwa cha TEHAMA Amesema hivi karibuni, Instagram, Facebook na WhatsApp zilipotea kwa saa saba na mmliki akapata hasara ya Tsh. Trilioni 15 ambapo kuna uwezekano wa...
 7. L

  Matumizi ya CCTV camera Tanzania na uvunjifu wa haki ya faragha

  Kumeibuka tabia ya kila mtu anafunga CCTV camera kwenye maeneo ya biashara au nyumba ya kuisha mfano mtu anafunga CCTV camera kwenye eneo la baa au nyumba ya kulala wageni na Hakuna sheria au muongozo ambao umewekwa na serikali kusimamia matumizi ya hizo camera mwisho siku unakuta haki za...
 8. Ojuolegbha

  Zanzibar: Maafisa Tehama na Wakuu wa Vitengo watakiwa kuwa wabunifu

  22 SEPTEMBA 2021 Na Raya Hamad – Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Maafisa Tehama na wakuu wa vitengo wametakiwa kuwa wabunifu na kushirikiana katika majukumu yao ya kazi ili kuendana na kasi iliyopo ya ukuwaji wa teknologia ulimwenguni. Mkurugenzi Mipango, sera na utafiti Ofisi ya...
 9. Prof Sankara

  Story of Change TEHAMA inakuza au inadumaza fikra kwa watoto?

  "Mapinduzi yanaletwa na watu, watu wanaofikiri kama watu wa vitendo na kutenda kama watu wenye fikra” aliwahi kusema Rais wa Ghana Nkwame Nkuruma wakati wa uhai wake. Maendeleo Teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) yamechukua nafasi kubwa katika maisha ya Watanzania. Fikira zetu zote...
 10. E

  Story of Change Jinsi vijana wanavyoweza kujifunza TEHAMA

  Habarini wana Jamii Forum ni matumaini yangu yote ni wazima. Andiko langu linahusu jinsi TEHAMA inavyoweza kusaidia vijana katika kupanua uwelewa wao na kuweza kutumia ili wajipatie kipato. Utangulizi: Idara ya Teknolojgia na Mawasiliano imekuwa sehemu muhimu sana katika karne hii ya kisasa...
 11. MabatiBeiNafuu

  Chuo cha TIA - Wataalam wa TEHAMA mmelala?

  Wakuu, Nimetembelea leo tovuti ya chuo cha Uhasibu TIA kupitia domain yao ya tia.ac.tz hicho nilichokutana nacho nimeshangaa! Tovuti inaonekana haina SSL Certificate, Sasa ukienda Google chrome wanakupa warning. "Your connection is not private Attackers might be trying to steal your...
 12. M

  Story of Change TEHAMA kwenye kulinda mazingira

  Maana ya baadhi ya maneno Application Mfumo ambao hutumika kwa shughuli husika Android application Mfumo unaofanyakazi kwenye simu zinazotumia OS ya android Apple application Mfumo unaofanyakazi kwenye simu zinazotumia OS ya apple Apple store Sehemu ambayo imehifadhiwa mifumo mbalimbali ya...
 13. L

  Matumizi ya TEHAMA kwenye habari, ni njia mpya ya kueneza habari na sio “propaganda”

  Hivi karibuni tovuti ya Shirika la Utangazaji la Uingereza BBC iliandika makala moja ya Propaganda yenye kichwa cha habari “Jinsi mtandao feki unavyoeneza propaganda kuhusu China”. Kimsingi makala hiyo inaonesha maoni ya mwandishi wake kuhusu kutofurahia China inavyoeleza yenyewe hali yake...
 14. Sinanjema

  Nina Shahada katika masuala ya TEHAMA, natafuta kazi

  Habarini za asubuhi watu wote wa humu ndani. Mimi ni mdogo wenu nimejitokeza mbele yenu kuomba ajira yoyote itakayoniwezesha kupatapa kipato halali. Elimu yangu ni degree katika maswala ya TEHAMA. Nipo tayari kufanya kazi mahali popote ndani na nje ya Tanzania.
 15. Nijosnotes

  Story of Change Utofauti computer developer vs programmer vs coder [Kiswahili]

  Habari wana JF Leo nina mada fupi juu ya utofauti wa kazi za hawa watu watatu tajwa hapo juu kwenye kichwa cha habari katika sekta ya TEHAMA (Teknolojia ya Habari na Mawasiliano) . Mada hii itachochea wale ambao wanahitaji kuwa na uelewa wa maswala ya TEHEMA na pia kwa wale walio ndani ya...
 16. pendolyimo

  UCSAF yatakiwa kudhibiti mfumo wa taratibu za manunuzi na usambazaji wa vifaa vya TEHAMA shuleni

  UCSAF YATAKIWA KUDHIBITI MFUMO WA TARATIBU ZA MANUNUZI NA USAMBAZAJI WA VIFAA VYA TEHAMA MASHULENI Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mathew ameitaka taasisi ya mawasiliano ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kuimarisha na kusimamia ipasavyo taratibu za...
 17. TTCL Customer Care

  ZIARA: Waziri wa TEHAMA wa Rwanda, Paula Ingabire atembelea ofisi za TTCL

  ZIARA: Waziri wa TEHAMA na Ubunifu wa Rwanda Mhe. Paula Ingabire atembelea ofisi za TTCL ikiwa ni ziara ya kuimarisha Mahusiano katika sekta ya Mawasiliano na kukuza biashara...
 18. C

  Story of Change Bado tunafanya maonesho katika kuwajengea vijana ujuzi wa TEHAMA

  BADO TUNAFANYA MAONESHO KATIKA KUWAJENGEA VIJANA UJUZI WA TEHAMA Miaka michache nyuma kabla ya kuingia kwenye karne ya 21 kauli mbiu ya Karne ya 21 kuwa ni karne ya sayansi na teknolojia ilitamalaki katika midomo ya watu wengi sana ulimwenguni na sisi kama nchi watawala walihubiri sana juu ya...
 19. Miss Zomboko

  Tanzania na Rwanda zakubaliana kukuza TEHAMA

  Tanzania na Rwanda zamekubaliana kushirikiana katika kukuza Sekta ya mawasiliano hasa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ili kuongeza tija katika mchango wa sekta hiyo katika maendeleo ya wananchi baina ya nchi hizo mbili. Hayo yamebainika Julai 16, 2021 wakati wa ziara ya Waziri wa Habari na...
 20. Mama Amon

  Uzinduzi wa Mpango wa Maendeleo wa Wizara ya TEHAMA: Kumbe waliodhani ni Wizara ya VPN walikosea

  Katibu wa Wizara ya TEHAMA, Dk Zainab Chaula, na Waziri wake, Dk Ndungulile wakiteta jambo Wizara ya Tekinolojia, Habari na Mawasiliano (TEHAMA) imezindua mpango wake wa maendeleo wa miaka mitano (2021-2026), mjini Dodoma leo. Ni wizara ya kwanza kufanya hivyo ndani ya siku mbili baada ya...
Top Bottom