hotel

 1. Erythrocyte

  Je, Wimbo wa Taifa la Zanzibar umeanza kutumika mwaka gani? Nimeusikia ukipigwa kwenye uzinduzi wa Hotel ya nyota 5 ya Verde

  Wakuu mimi ni miongoni mwa walioalikwa kwenye shughuli ya uzinduzi wa Hotel ya kisasa ya nyota 5 ya Azam , japo kiukweli ilishaanza kutumika kitambo kidogo kabla ya uzinduzi wenyewe, nawapongeza sana Azam kwa kuchagiza maendeleo ya Zanzibar. Mbele ya mgeni rasmi ambaye ni Rais wa Tanzania Mh...
 2. J

  Live ITV: Rais Magufuli anafungua Hotel ya Verde Azam Luxury Resort & SPA mtoni jijini Zanzibar inayomilikiwa na S S Bakhresa

  Ni tukio kubwa na la kihistoria kwani hii ni hoteli ya kipekee kabisa nchini Tanzania, Afrika mashariki na kusini mwa jangwa la Sahara. Karibuni!
 3. Ndama dume

  Cate hotel iko wapi hapa mjini

  Wadau habarini ya jioni, poleni na pilika za dar hii, mshamba nimeingia toka mkoani na nimeambiwa Hotel nzuri ya kiwango changu ni CATE HOTEL je hapa mjini iko upande upi maana nimeahidiwa kwenda kula tunda kimasihara!!
 4. budebajr

  Uwakala wa soko la utalii na usafiri wa ndege (Travel & tours)

  Tujuzane machache soko la utalii tunalionaje, kuanzia miaka ya nyuma na hivi sasa hususani ukuaji, maeneo yanayokua, changamoto, muamko wa wazawa (Watanzania) na hata ongezeko la watalii kutoka nje ya nchi.
 5. YEHODAYA

  Serikali izibane hotel zote za kulala Tanzania zinaibia wateja

  Kawaida mtu ukiingia hotel muda unaoingia ndio kesho yake unatakiwa uwe muda wako wa kutoka sababu unalipia kwa siku yaani masaa 24 Mahotel ya Tanzania yamejiwekea utaratibu wa wizi kuwa muda wa kutoka lazima uwe saa nne asubuhi bila kujali umeingia saa ngapi. Nilikuwa Nigeria niliingia saa...
 6. Jamii Opportunities

  Nafasi za kazi Director of Revenue Management at Mount Meru Hotel

  About us Welcome to the Mount Meru Hotel, Arusha, Tanzania. Discover the place where heavens meet the earth, where the rhythm of nature pounds to the beat of an African drum, and where life is all about a revival of the senses. An oasis of tranquillity on Tanzania’s gateway to major tour tourist...
 7. BASIASI

  Kwanini hoteli za Zanzibar hazitoi risiti za TRA wakati za Bara zinatoa? Shida nini?

  Wiki mbili zilizopita nimefanikiwa kulala hotel nne tofauti. Lengo si kuwasema lengo ni watu walipe kodi nchi iendelee. Katika hotel zote hakuna hata moja inayotoa risiti za TRA na unalipa 85000+. Nikianza na hii ya five star hapo Darajani nyingine kule Nungwi. Nyingine iko pale Kilimani...
 8. BASIASI

  Serikali ya Zanzibar dhibitini hawa street boys Forodhani Hotel, mtakosa mapato sana

  Nilikuwa wiki mbili Zanzibar niliyaona ni hatari sana kwa heshima ya Tanzania. Forodhani Hotel imejaa wahuni watoto wadogo street boys leo hii wanaona wazungu wamekaa wanaomba kila mtu. Haitoshi wanapigania chakula wanachopewa na wazungu, inahuzunisha sana. Wakati haya yakiendelea nje ama...
 9. N

  Tetesi: Mtumishi TAMISEMI Dodoma aliyekutwa kafa ndani gari kwenye maegesho ya hoteli ya Morena, stori yake inasikitisha sana

  Wanabodi,nimepewa story na mtu wa karibu na marehemu kuwa huenda kilichosababisha jamaa kujiua ni pamoja na misukosuko ya ndoa yake. Inasemekana marehemu alikuwa akiishi vizuri tu na mke wake na alimuoa kipindi jamaa yuko TAMISEMI kashaajiriwa. Baada ya kuoa akaamua kumpeleka kumsomesha wife...
Top