chunya

Chunya District is one of the seven districts of Mbeya Region, Tanzania. It is bordered to the north by Tabora Region, to the northeast by Singida Region, to the east by Mbarali District, to the south by Mbeya Rural District, and to the west by Songwe District.
According to the 2002 Tanzania National Census, the population of Chunya District was 206,615.In 2006, the District Commissioner of Chunya District was Frank Uhahula.In 2015, Songwe District was split from the western part of Chunya District and integrated into the newly created Songwe Region.

View More On Wikipedia.org
  1. peno hasegawa

    Tanesco Wilaya ya Chunya tangu Jana saa 8 mchana hadi leo asubuhi hakuna umeme!

    Mama na bibi yule alikokwenda amekuta umeme au Yuko gizani kama sisi huku Chunya? Tangu Jana saa 8 mchana hadi leo asubuhi tarehe 24.1.2024 hakuna umeme. Rais anajisikiaje huku Indonesia alikoenda nasi tuko gizani na kazi zimesimama? Ameacha makonda na viongozi wachache wakisema kura Kwa mama...
  2. peno hasegawa

    Tanesco Wilaya ya Chunya , umeme umekuwa ANASA, unakatwa Kwa makusudi au ni mgao?

    Waziri wa nishati tembelea Wilaya ya chunya Kwa ziara ya kushtukiza kuna kitu utajifunza kuhusu ukatwaji wa umeme chunya. Kwa siku umeme unakuwepo Kwa nusu saa au usiwepo kabisa! Umeme umekuwa anasa!
  3. peno hasegawa

    Tanesco wilaya ya Chunya kama tumewakosea mtusamehe! Umeme unakatika kila siku!

    Kila siku chunya umeme unakatwa! Tanesco kama tumewakosea mtusamehe! Tupatieni umeme kama mmetusamehe!
  4. peno hasegawa

    Barabara ya kilomita 13 Matundasi - Chunya -Itumbi kujengwa kwa kiwango cha lami?

    Kuna mahali nimesoma kwenye bajeti ya maendeleo ya serikali kuu 2023/24 inaonesha barabara ya matundasi kwenda itumbi kujengwa kwa kiwango cha lami. Mwenye uelewa wa jambo hili ninaomva atujuze. Je, mkandarasi alishapatikana? Je, ujenzi unaanza lini?
  5. Blender

    Profesa Kitila Mkumbo: Asilimia 78 vijijini wanapata maji Safi na Salama

    Prof. Kitila Alexander Mkumbo (Mb), Waziri Wa Nchi, Ofisi Ya Rais, Mipango Na Uwekezaji, akiwasilisha Bungeni Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2024/2025 amesema Kiwango cha wananchi wanaopata maji safi na salama kimeongezeka hadi kufikia asilimia 88.6 mijini na asilimia 78...
  6. Scars

    Utoroshwaji wa dhahabu Wilayani Chunya nini kifanyike?

    Kufuatia taarifa iliyotolewa tarehe 28/10/2023 katika Mkoa wa Mbeya wilaya ya Chunya. Kuhusu wachimbaji kukutwa na vipande 160 vya dhahabu, walivyokuwa wakivitorosha kwenda kuuza nje ya mfumo rasmi. Ni malalamiko ya wachimbaji wengi kuwa mfumo rasmi wa ununuzi wa dhahabu umekuwa na ushuru...
  7. Stephano Mgendanyi

    Mbeya: Mbunge Masache Kasaka afika Kata ya Ifumbo, Lupa Wilayani Chunya

    MBUNGE KASAKA APOKELEWA KWA KISHINDO IFUMBO Mbunge wa Jimbo la Lupa Masache Njelu Kasaka amemalizia ziara yake ya Kata kwa Kata na amewafikia wana Ifumbo na kutembelea Vijiji viwili vya Lupa Market pamoja na Ifumbo. Katika ziara yake Mhe. Mbunge ameongea na wananchi na kuwapa mrejesho wa...
  8. K

    Polisi wazuia magari Chunya kwa saa 7 kusubiri mwenge

    Polisi Wilayani Chunya wamezuia magari yote toka Chunya Makongolosi na yote toka vijijini KUSUBIRI MWENGE upite toka saa10 mpaka saa 5 hii. Mwenge haujulikani uko wapi na utapita saa ngapi. Shughuli zote zimesimama KUSUBIRI upite. Sasa tutalaumuje kwamba maendeleo hayaji Wakati watu...
  9. peno hasegawa

    Kwako IGP: Watu wanauawa kwa kukosekana kituo cha Polisi Itumbi, wilayani Chunya

    IGP, ujumbe huu ukufikie Popote ulipo. Ni aibu kwa Serikali ya CCM kukosekana kwa kituo cha Polisi Itumbi. Watu wanauawa kama nzige na hakuna kuripotiwa popote. Nchi hii imekuwa ngumu sana!
  10. peno hasegawa

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mohamed Mchengerwa Mfuatilie DC wa Wilaya ya Chunya

    DC huyu haonekani ofisini, hasikiliza kero za wananchi, Kinyume chake amebadili gia angani sasa ni mchimbaji mdogo na anamiliki maduara na makarasha ya kusaga dhahabu kwenye maeneo ya wachimbaji wadogo na kwenye hifadhi ya misitu TFS.
  11. Erythrocyte

    Sugu aendelea Kutikisa Chunya, achambua Katiba kama Mhadhiri wa Chuo Kikuu. Wananchi waanza kumuelewa

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Joseph Mbilinyi bado yuko Chunya kwa ziara ya kikazi, ambako ameendelea kuelimisha Wananchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya ambayo itazaa Tume huru ya Uchaguzi. Sugu ambaye sasa anajulikana pia kama Jeshi la Mtu mmoja, anashangaza wengi kutokana na uwezo wake wa...
  12. Erythrocyte

    Chunya: Sugu apeleka Mkataba wa Bandari kwa Wananchi, awasomea kwa Kiingereza na kutafsiri kwa Kiswahili

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Kimataifa, mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini , Bilionea Joseph Mbilinyi, jioni ya leo alikuwa Wilayani Chunya, akiwaelimisha wananchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya na Ubovu wa Mkataba wa Bandari. Hapa ni Kata ya Makongorosi, ambapo...
  13. Lycaon pictus

    Mashindano ya drafti kitaifa, Chunya Mbeya

    Mashindano ya siku Tatu ya drafti kitaifa yameanza leo huko Chunya, Mbeya. Leo yamechezwa makundi na 16 bora. Walioingia 16 bora ni hawa. RATIBA RASMI YA MASHINDANO YA DRAFTI KITAIFA IMESHATOKA. YATAANZA RASMI TAREHE 30 AGOSTI 2023 HADI 01 SEPTEMBA 2023. MASHINDANO YA KUMTAFUTA BINGWA WA...
  14. B

    Nawatafuta Ukoo wa Mkombe wa Lupa tinga tinga Chunya

    Nawatafuta watu kutoka familia ya Ukoo wa Mkombe kutoka Lupatingatinga, Chunya... Kama mpo humu ndani please inbox me au comment hapa. With much thanks in advance
  15. peno hasegawa

    DOKEZO TANESCO, Wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya umeme hakuna leo ni siku ya saba. Kulikoni?

    Kwa masikitiko makubwa Wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya hakuna umeme leo ni siku ya 7. Na uongozi wa TANESCO mkoa na Wilaya wakiulizwa wanasema ulizeni makao makuu ya Tanesco. Mwenye namba ya simu ya makao makuu ya TANESCO tafadhali. ============= UPDATES... Mkurugenzi Huduma kwa Wateja...
  16. Lomy_5

    Nina mtaji wa Tsh. Milioni 5. Nipo mkoa wa Songwe

    Habari za majukumu waheshimiwa👋 naamini mko salama... Ndugu yenu hapa, kwenye moja na mbili za utafutaji nimekusanya Tsh. 5,000,000/= Kilichonileta hapa ni kupata ushauri kwa wenye uzoefu kidogo kwenye uchaguzi wa biashara ya kuingia kati ya hizi. 1. Spea za pikipiki (coz nina uzoefu kwenye...
  17. Mwanongwa

    Mbeya: Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani acheni Rushwa, simamieni sheria

    Wananchi wanaotumia Barabara ya Mbeya - Chunya wamelitaka Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani, askari wake kuacha kuchukua rushwa na badala yake wasimamie sheria. Wananchi hao wamelalamikia kitendo cha mabasi ya Mbeya -Chunya kuzidisha abiria kinyume cha utaratibu. Mabasi yanayotoka...
  18. Kyambamasimbi

    Weekend mood wewe uko wapi Mimi nipo Sam city Makongolosi Chunya Mbeya ni vyupa kwa kwenda mbele. Wewe uko wapi?

    Karibuni chunya Makongolosi, sehemu ambayo watu hujiachia masaa 24 Kila Kona baa na vilabu vya pombe asili. Ukiwa unavuka barabara jishikilie maana bodaboda wa huku hakuna kufuata sheria. Duu kweli Tembea uone.
  19. Roving Journalist

    Rais Samia akizindua Barabara ya Chunya - Makongorosi (km 39) - Chunya, leo Agosti 6, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizindua barabara ya Chunya - Makongorosi (Km 39) na kuzungumza na wananchi wa Chunya- Matundasi katika mkutano wa hadhara leo tarehe 06 Agosti, 2022.
  20. Lady Whistledown

    Tulia Ackson: Barabara ya Mbeya- Chunya ni zaidi ya majanga

    Spika wa Bunge, Dk Tulia Akson ameitaka Serikali kutenga fedha kwa ajili ya matengenezo ya barabara zinazojengwa ili ziweze kuwa imara wakati wote. Akizungumza leo Jumanne Aprili 19, 2022 Bungeni jijini Dodoma ameitaja barabara ya kutoka Dodoma kwenda Iringa kuwa ni janga huku akieleza barabara...
Back
Top Bottom