mbeya

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu strikes again- Yatupilia mbali kesi ya watu 120 wanaopinga kuhamishwa kupisha hifadhi Mbeya- wakitetewa na Mwabukusi

    Mwabukusi apigwa na kitu kizito! Mwendo ule ule! kama wa Dyansobera! Mwenye kujua kimombo asome mwenyewe Kesi imetupiliwa mbali kwa vile eneo bishaniwe halikuwekwa bayana kuweza kulitambua ukubwa wake MY POINT IS: Bila kificho, High court ni kituko , takataka tupu! NI SERVANT OF THE EXECUTIVE...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yatupilia mbali pingamizi la wakazi wa Isela, Songwe Kupinga Kuhamishwa

    Mbeya. Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imefutilia mbali shauri namba 41 la mwaka 2023 la wakazi wa Isela kijiji Cha Ndolezi mkoani Songwe dhidi ya serikali na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kutaka kupisha hifadhi ya Kimondo. Hayo yamebainishwa Ijumaa, Agosti 23, 2024, jijini Mbeya chini ya...
  3. THE BEEKEEPER

    JamiiForums Tanzania Mbeya hatuna hata bus la scania G7 tangia sauli hatoweke tunatia huruma sana hii michina tunapanda basi tu!

    Habari za wakati huu Sisi wanambeya tunapenda sana scania G7 ya mineso sio hii michina ikipiga tuta unahisi uharo. Kwanza michina ukipanda unafika umechoka tofauti na scania G7.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kwa asili watu wa Mbeya ni wanaharakati Kilimanjaro ni wazee wa fursa

    Watu wa Mbeya wana hulka ya harakati ndio maana kule huwa siasa za upinzani hupata nguvu sana ni watu wasiojubali kuburuzwa ndio maana kwenye matukio mengi ya kupambana kijasiri ni ngumu sana kuwakosa. Ila watu wa Kilimanjaro ukiwakuta mahali ujue pana harufu ya ulaji wanawaza na kufukuzia...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Tazama katika Picha, Ofisi ya CHADEMA Mkoani Mbeya

    Ndugu zangu Watanzania, Tuseme nini muelewe ya kuwa CHADEMA ni chama cha kitapeli na ubabaishaji? Tuwaonyeshe nini muelewe ya kuwa CHADEMA ni genge la wasaka Tonge na wachumia tumbo? Tuongee na kuzungumza nini muelewe ya kuwa hiki ni chama cha madalali wa kisiasa tu wasio na mipango wala...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania RPC wa Mbeya azindua Kampeni ya "Tuwaambie kabla hawajaharibiwa"

    "TUWAAMBIE KABLA HAWAJAHARIBIWA" Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Benjamin Kuzaga Agosti 28, 2024 akiwa ameambatana na Watendaji wa Dawati la Jinsia na Watoto Mkoa wa Mbeya amezindua Kampeni ya "Tuwaambie kabla hawajaharibiwa" ambayo imezinduliwa...
  7. Superbug

    JamiiForums Tanzania TANZIA MOZART MBENA AMEFARIKI DUNIA. ALIKUWA DJ MAARUFU MBEYA.

    Aliyekuwa mjumbe wa magroup ya whasap ya globify na dj maarufu mbeya amefariki jana jijini mbeya ndugu Mozart Mbena Mwenyezi Mungu ampe pumziko la milele poleni sana wana Mbeya. Kwaheri rafiki ! Tutaonana baadae.
  8. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Kyela Mbeya: Mwalimu ahukumiwa kifungo Cha miaka 30 faini laki Tano na fimbo 4 Kwa kumbaka mwanafunzi

    KYELA. Mwalimu wa shule ya msingi Ngeleka iliyopo Halmashauri ya Busokelo mkoani Mbeya Juma Venance Mhanga, amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 30 jela, kulipa faini ya shilingi laki tano pamoja na kuchapwa fimbo 4 baada ya kupatikana na kosa la ubakaji wa binti mwenye umri wa miaka 13...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Mbeya wafika nyumbani kwa Joseph Mbilinyi A.K.A Sugu kumpa pole

    Wakaazi wa Mbeya wafika nyumbani kwa mwenyekiti wa kanda ya Nyasa ya CHADEMA kumjulia hali baada ya kurejea kutoka Dar es Salaam https://m.youtube.com/watch?v=2wVM_yYq-AU ambapo alipelekwa chini ya escort ya polisi baada ya askari hao kumpiga vibaya kiongozi huyo mwandamizi wa CHADEMA...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza Aibuka Sakata la CHADEMA na Polisi Mbeya

    ASKOFU AMEONGEA MAMBO MAZITO SANA, MSIKILIZE https://www.youtube.com/watch?v=GTiX8kpt13U POINTS TAKEN FROM THE CLIP: 1. Walitumwa au walijituma na hao wanaotamani kubaki na chama kimoja, naona Zanzibar wanaota kuwa na chama kimoja 2. Kuna Uchawa 3. Tubadilishe mind set 4. Wanaipa chadema...
  11. Mgosi Mbena

    JamiiForums Tanzania Majina ya watu wa Nyanda za Juu Kusini (Njombe, Iringa na Mbeya) Ongeza unayoyajua

    Haya majina ni majina ya kiasili ya mikoa ya Nyanda za juu kusini. 1. Ang’ombwize 2. Alatuhiga 3. Atupele 4. Tulalumba 5. Mwadalihe 6. Ambwene 7. Anzawe 8. Chengula 9. Mgaya 10. Mbilinyi 11. Mwaluhanzo 12. Mwamgeni 13. Mwinuka
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania akutana na Joseph Mbilinyi ili kumpa pole kwa kipigo cha Polisi jijini Mbeya

    Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba leo, Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania, amefika Mahali alipojihifadhi Bwana Joseph Mbilinyi, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa ili kumpa pole na kumjulia hali kutokana na kipigo cha kutisha alichopewa na Polisi walioelekezwa kufanya hivyo na Awadh Haji...
  13. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnaelewa maana ya " Operesheni"? Afande Awadh alikuwa kwenye Operesheni ya kuzuia mkusanyiko wa CHADEMA pale hakunaga kubembelezana

    Kwa bahati nzuri sana viongozi Wakuu wa CHADEMA Mbowe na Tundu Lissu wote wamepitia mafunzo mbalimbali ya Ulinzi na Usalama ikiwemo JKT Mnyika, Sugu, Lema, Heche ni wakusamehewa tu maana hata Mgambo hawajapita Jeshi likikuzuia kufanya jambo fulani halafu wewe ukang'ang'ania kulifanya maana...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Serikali ya kata ya Kalobe jijini Mbeya imeshindwa kuwajali wananchi wake wanaotumia uwanja wa Kalobe shule ya msingi kufanya mazoezi

    Mnamo tarehe 14/2/2024 wananchi wa mtaa wa Kalobe wanaotumia uwanja wa Kalobe walipeleka malalamiko kuhusiana na uwanja wao kuaribiwa na watu wanaotumia barabara ya Kalobe kuenda itende kupita uwanjani kwao. Na kuaribu mazingira ya uwanja huo mmoja unaotumiwa na mtaa mzima vijana waliongea na...
  15. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kuna Tengua, Hamisha, teua usiku wa leo, lengo kuzima mjadala ya CHADEMA

    Nimepenyezewa habari kutoka chanzo cha kuaminika kabisa kabisa kwamba usiku wa leo, kuanzia mida ya saa 3 usiku kuna mkeka utatoka huo mkea haukuwa kwenye mpango wa Samia ila ni maalumu kwa ajili ya kudivert habari za CHADEMA Mkeka umeanza kusukwa tangu juzi baada ya seke seke la Mbeya na...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kwanini Makada wa CHADEMA waliopo humu JF hawakwenda Mbeya? Je ni waoga.

    Wenzao wamechakazwa kwa kipigo. Lakini wao wamo humu ndani JF wakitiririka kwa comment za kihuni. Makada wa CHADEMA acheni uoga basi.
  17. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Wana Mbeya shitukeni, CHADEMA wamegeuza jiji lenu maabara ya sera zao

    Mwanzilishi wa CHADEMA ni Edwin Mtei na nyumbani kwake ni Tengeru, Arusha. Mwenyekiti wa muda wote wa CHADEMA ni Freeman Mbowe na kwao ni Hai, Kilimanjaro. Katibu Mkuu wa CHADEMA ni John Mnyika kutoka Singida lakini mama yake ni wa Moshi Vijijini. Makamu Mwenyekiti Lissu kwao ni Singida...
  18. and 998 others

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Spika Tulia ana wakati mgumu jimboni Mbeya (M) mwakani

    Spika Vs Kanjunjumele kule Sugu kwenye kinyang'anyiro cha ubunge Jimbo la Ubunge Mbeya (M) 2025. Patawaka
  19. Q

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwa uwanja wa Ndege Songwe

    Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Mhe. John Pambalu wamekamatwa na Polisi muda huu uwanja wa ndege Songwe wakijiandaa kuelekea Mbeya, Ukamataji huu umeongozwa na RPC wa Mbeya. ======================== Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya...
  20. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe atoa tamko. Alaani kukamatwa kwa viongozi na vijana wa CHADEMA

    "Tunalaani vikali Jeshi la Polisi kukamata Viongozi wetu Wakuu wa Chama ikiwemo Viongozi wa Baraza la Vijana wa Chadema, BAVICHA. Aidha, tunalaani mkakati wa Msajili wa Vyama vya Siasa kwa kushirikiana na Polisi kuzuia kongamano la Bavicha katika kuazimisha siku ya vijana duniani hapo kesho...
Back
Top Bottom