bandia

Bandia is a census town in Udham Singh Nagar district in the state of Uttarakhand, India.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Askari feki wakamatwa wakiwa na AK 47 bandia

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, limeendelea kutekeleza majukumu yake ya kulinda usalama wa raia na mali zao kwa kuimarisha doria, misako na operesheni mbalimbali za wahalifu pamoja na usalama barabarani, na kuendelea kushirikisha wananchi katika kubaini, kuzuia na kudhibiti uhalifu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tujihoji kwa akili: Dereva aweke plate namba bandia alafu atishie mtu kwa toy, huyu ni mtu salama?

    Atakaye amini huu uongo na uzandiki basi atakuwa hajiyambui. Yaani mtu abadilishe gari namba zake. Alafu achukue bastola ya kuchechezea watoto alafu atishie mtu hadharani. Hajui madhara yake? Je angepigwa yeye risasi ya ukweli. Je wananchi wangemshambulia na kumuua?
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa huduma za afya kati ya China na Tanzania wawaletea wagonjwa uchunguzi unaotumia akili bandia

    Katika chumba cha exray katika Hospitali ya Lumumba Unguja, Zanzibar, mabadiliko ya kiteknolojia yanabadilisha namna madaktari wanavyochunguza magonjwa, kufanya maamuzi, na kuokoa maisha. Katika kisiwa hicho, mifumo ya akili bandia (AI) inawasaidia madaktari kutafsiri picha za exray, huku...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutoka D- Hadi C-, Kisha Cheti Bandia cha Ulemavu: Aliwezaje Kufanya Kazi KenGen kwa Miaka 15?

    Aliingia KenGen kwa KCSE certificate bandia, akafanya kazi kwa miaka 15 na kulipwa karibu Sh14.9 milioni. Baadaye, mahakama imebaini kuwa alipata pia cheti cha ulemavu kwa njia ya udanganyifu, kilichomwezesha kupata tax exemptions kwa zaidi ya miaka minne. Huyo ni David Mogire Nyabuti...
  5. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Akaunti Bandia Mitandaoni: Kwa Nini Ukubali Urafiki wa "Wachunguliaji" na Wambea?

    Katika ulimwengu wa sasa wa mitandao ya kijamii kama Instagram na Facebook, imekuwa kawaida kukutana na maombi ya urafiki (friend requests) au watu wanaotaka kukufuata (follow requests) kutoka kwa akaunti zisizoeleweka. Akaunti hizi mara nyingi zinatumia majina bandia, picha zisizo zao (au picha...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Africa tungepewa uhuru kwa makabila badala ya mataifa bandia tungekuaje leo hii ?

    Katika jambo baya sana wakoloni walilotufanyia Africa ilikuwa ni kugawa bara la Africa mezani katika vipande mbalimbali bandia walivyoviita nchi. Hili ni jambo ambalo limewatesa sana Waafrika baada ya wakoloni kuondoka. Mataifa yetu yalipaswa yapatikana kwa mchakato wa asili wa sisi wenyewe...
  7. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Pata Suluhisho la meno bandia ya kudumu hapa , Usibaki na Mapengo

    Meno bandia ya Kauri Porcelain Fused to Metal (PFM) ni meno ya kutengenezwa ambayo yana msingi wa chuma (metal) ndani na kufunikwa kwa kauri ya porcelain nje. Hutumika kurejesha jino lililoharibika sana au kuchukua nafasi ya jino lililopotea, hasa kama sehemu ya crown au bridge. Faida za...
  8. instinct desire

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanahangaika na mikutano ya mitaani wakati hawana hata balozi mmoja hivi vyama vinaongozwa na watu wenye IQ ndogo sana

    Nashangaa kuona CHADEMA wanahangaika na mikutano wakati hawana hata balozi mmoja nchi nzima nadhani Sheria zitungwe ili kudhibiti vurugu za namna hii, Nauliza CHADEMA mnafanya mkutano kwa faida ipi? Hii sasa ni vurugu Sheria itungwe kuwazuia.
  9. X

    JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania tukisubiri Mvua, China wao wanajenga mito mikubwa kubadilisha Uchumi

    Dunia yabaki midomo wazi! Hii si mito ni mfereji ya China! Maajabu yanayowashangaza wahandisi wengi Duniani. Mifereji yao ni mikubwa kuliko mito mingi ya asili Afrika. Ukiona utadhani ni bahari zinazopita katikati ya nchi. China mpaka sasa imetumia zaidi ya dola bilioni 10 kujenga mfereji...
  10. youngkato

    JamiiForums Tanzania Je, AI Itachukua Kazi Yako? Ukweli Kuhusu Akili Bandia na Ajira Tanzania

    Akili Bandia (Artificial Intelligence – AI) imeanza kubadilisha namna dunia inavyofanya kazi. Kutoka kwenye biashara, benki, kilimo, hadi elimu, mashine na mifumo ya kompyuta yenye uwezo wa kujifunza sasa zinaweza kufanya baadhi ya kazi ambazo zamani zilifanywa na binadamu. Hali hii imezua swali...
  11. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Israeli yashambulia ndege za bandia huko Iran baada ya kuingia mkenge

    Hii vita inahuzunisha na kuchekesha kwa wakati mmoja. Hii Leo Israel imetangaza kushambulia helicopter na ndege vita za Iran kumbe imeingia chaka na kushambulia michoro (paintings) iliyowekwa na jeshi la Iran kuwapoteza maboya. Nimecheka sana aisee 🤣🤣
  12. H

    JamiiForums Tanzania Tume Bandia Ya Kuchunguza Mauaji ya Octoba Ni Sawa na Wauaji Walivyozima Internet

    SIku zote mwovu huwa ni muoga wa uovu wake, hasa ukijulikana kwa wengi. Toka mwanzo, Tume ile iliyoundwa na mtuhumiwa namba 1 wa Mauaji ya 29 Oktoba, wengi waliistukia na kusema ni tume bandia inayotaka kuwapumbaza wananchi na jamii ya kimataifa, lakini lengo lake kubwa likiwa kutafuta namna ya...
  13. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania MOI, JAIPUR warejesha furaha kwa wahitaji 507 kwa kuwapatia viungo bandia bure

    Watu 507 waliopoteza viungo, vikiwemo mikono na miguu wamefaidika na uwepo wa kambi maalum ya kutoa viungo bandia bure iliyoandaliwa na Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), Taasisi ya Jaipur (India) na Ubalozi wa India nchini. Mratibu wa Kambi hiyo kutoka Taasisi ya MOI Bi...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Noti bandia

    Kwa kweli kutokana na kuzunguka dunia na kujikuta sehemu mbalimbali ambapo hata unapoenda kununua kitu na kutumia fedha taslimu, unajikuta noti uliotoa kumpa muuza duka au cashier, lazima kwanza aichunguze kwa aidha kuweka kuiweka kwenye machine ya kutambua noti ni halali au kuwa na kalamu ya...
  15. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hali ni shwari wananchi wapenda mabadiliko jitokezeni kwa wingi tuzuie huu uchaguzi bandia

    Hali ni shwari wananchi wapenda mabadiliko jitokezeni kwa wingi tuzuie huu uchaguzi bandia leo ndio leo tunataka nchi yetu.
  16. Mashashola

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtanzania Ombaomba Bandia Akamatwa Nairobi Pangani Kenya

    Raia wa Tanzania ambaye ni mtoto alikamatwa Kenya na umma maeneo ya Pangani Nairobi kwa kujifanya ombaomba huku miguu yake ikiwa shwari. Hii ni baada ya umma kunugunika kuhusu uongezekaji wa raia wa Tanzania ambao ni ombaomba mitaani hio. Nchini Kenya, wenye ulemavu hujulikana kwa number...
  17. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Wigi za Nywele Bandia Zinabeba Mikosi

    Mwanamuziki wa Uingereza na aliyewahi kushiriki Britain’s Got Talent, Natalie Okri, amezua gumzo baada ya kudai kuwa baadhi ya wigs za nywele halisi huleta mikosi na bahati mbaya. Katika video aliyopost Instagram, Natalie alisema: • Nywele halisi zinabeba utambulisho wa mtu, zina DNA (vinasaba)...
  18. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Mimba bandia zaingia nchini

    Haya wanawake muda WA kupiga hela huu Mtoto WA mama mkwe alee mimba bandia Hadi akome Kuna ya miezi mitatu Miezi sita Miezi Tisa etc Mkombozi WA mchepuko .wanaume tulieni .mtapigwa matukio Hadi mkome
  19. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Afungua na kuendesha ubalozi bandia India kwa miaka 7

    Special Task Force (STF) ya Uttar Pradesh imevamia ubalozi bandia ulioendeshwa na Harshvardhan Jain tangu 2017. Aliwadanganya watu kwa ahadi za kazi za njena kufanya biashara haramu ya pesa (hawala). Vilivyokamatwa: Plati za kidiplomasia, pasipoti bandia (12) Rs 44 lakh taslimu, sarafu za...
  20. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Usimpige mkeo mpe pesa bandia

Back
Top Bottom