mbeya

  1. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Mbeya ni sehemu yenye watu strong sana , kimtazamo, kimaamuzi na katika kujua haki zao Study case kwa Mdude!

    Issue ya kutekwa kwa Mdude , Inaacha Alama katika vichwa vya watu wenye maono . Ni kuwa Mbeya ni sehemu ya watu wenye uwezo mzuri wa kupigania haki. Mpango mkakati wa mabadiliko. unabidi kulenga na kuwekeza sehemu zenye watu wanaojielewa na kujua nini wanataka Issue ya Mdude haitopita hivi hivi.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Mwabukusi kwenye mtandao wa X unaweza kutumika kuhakikisha aende Mbeya kwa kumfungulia kesi na kumuweka ndani

    Ule ujumbe wa vitisho wenye matusi ndani yake alioundika kwenye mtandao wa X, unaweza kutimika kama sababu ya kumkamata na kisha kumshitaki lengo ni kuhakikisha harudi mbeya. Kwa jinsi hawa watu walivyowaoga, wataona ni bora wamalizane nae mapema kabla hajafika Mbeya na njia mojawapo inaweza...
  3. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Mwabukusi: Ninatumiwa Jumbe za Vitisho "KUPOTEZWA" na namba 0792705831

    Anaandika Wakili Mwabukusi kupitia ukurasa wa X: UYU MPUMBAVU mwenye No Hii 0792 705831 anajaribu kunitisha. Nimemtaarifu kuwa haitaji kunivizia kama alivhosema ninarudi mbeya kushughukikia sula la Mdude Nyagali na nimeaama hiki mdiyo kiyama vha ujinga huu na nina hamu ya kuonana naye. Huu...
  4. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Boniface Mwabukusi: RC Homera na RCO Mbeya, kama mmemdhuru Mdude Nyagali, hakikisheni mnamzaa, kumkuza na kumrudisha nyumbani kwake salama

    https://youtu.be/tfhpaLr7hBc?si=obXDytUPxizyrgqy Advocate Boniface Mwabukusi, Rais wa TLS ameapa kuwa, mwisho wa watu Kutekwa na kuumizwa ni kwa Father Charles Kitima na Mdude Nyagali... Amewataka Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Bwana Homera, RPC na RCO wahakikishe wanamrudisha Mdude Nyagali nyumbani...
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mbeya mpooo

    Nipo mtaani kwenyu na mamba yangu mguuni naomba mnikaribishe kwa moyo mkunjufu sana😂💪🏿✌🏿
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania RC wa Mbeya aambiwe, Tunamtaka MDUDE akiwa HAI , aache Janja Janja na Kauli za kihuni zinazoashilia MDUDE Hatopatikana!

    Kila kitu Kiko wazi, RC Mbeya aache kutoa Kauli za kihuni , Et Milion 5 Kwa atakayemleta Mdude akiwa Hai au Amekufa??. Kwa tafasiri ya kawaida, ni Kauli inayoonyesha Mdude hatopatikana . Sasa angalieni Upuuzi, RC badala ajikite kwenye Waliomteka Mdude, CHADEMA imemplekea majina ya wanaohisiwa...
  7. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania HONGERA Mbeya Highlands FM

    Nikitazama tamasha la Samia Kalamu Award, mwandishi na mtandazaji wa Mbeya Highlands FM , ndh Issakwisa Mbyale, amepata tuzo kitaifa. Toka naifahamu Radio hii imekuwa ya mfano kwa mikoa ya Mbeya na mikoa jirani. Nikiwa natoka Mbeya nawapongeza sana Mbeya Highlands FM kwa kuanza kuonyesha...
  8. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Mbeya wana utofauti mkubwa sana na Watanzania wengine

    Nimekuwa nikifuatilia tukio la kutekwa na kupotezwa kwa Mwanaharakati na Kada wa Chadema Bwana Mdude Nyangali. Kusema kweli kilichonifurahisha na kunishangaza ni mwitikio wa kipekee sana wa Wananchi wa Mbeya katika kujitoa kwao kumtafuta huyu mtu. Wananchi hawa wamejiorganise kumtafuta mtu...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mbeya CHADEMA waandamana kwenda ofisi ya RPC kumsaka Mdude

    Makamanda Mbeya wamechafukwa: Wanachama na Viongozi wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya wameamua kufanya maandamano ya amani ya kwenda katika ofisi za kamanda wa polisi mkoa Mbeya ili kufahamu nini hatima ya mwanachama wao Mdude ambaye hadi sasa hawafahamu alipo tangu kutoka taarifa juzi kuwa amechukuliwa...
  10. Noel france

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa inatosha,itabidi tuungane na wana Mbeya kumtafuta Mdude. Masaa 24 hadi tumpate.

    Ndugu zangu Watanzania,naombeni tushirikiane ili tuwe salama ili si jukumu la watu wachache na wala si swala la viongozi wa chadema pekee yao. Tafadhali tunaomba sana tuamke tupambanie haki zetu tukiwa kama nchi huru na wala hatupo utumwani. Tukisimama kwa pamoja tunakuwa salama sana kuliko...
  11. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Polisi Mbeya: Mwenye taarifa za alipo Mdude azitoe

  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa utambulisho alioufanya Spika Tulia Ackson Bungeni kwa Mumewe sasa nimeamini kuwa Ukioa tu Mwanamke wa Mkoani Mbeya jiandae Kutawaliwa nae mazima

    Nilidhani atamtambulisha Muwewe (Boss wa EWURA) kwa Majina yake yote Matatu au hata Yeye pia kuacha Kujiita Tulia Ackson Mwakyusa na kujiita Tulia Andilile Mwainyekule lakini kila Mtu kabakia na Jina lake la Ubini / Ukoo ikidhihirisha kuwa ni kweli Wanawake wa Mkoa wa Mbeya wanapenda mno kuwa...
  13. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mchengerwa aweka jiwe la Msingi Soko la Kimataifa la Sokomatola na kukagua Stendi ya Mabasi ya kisasa jijini Mbeya

    Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa tarehe 26 Aprili, 2025 ameweka jiwe la Msingi katika Soko la Kimataifa la Sokomatola na kukagua Stendi ya Mabasi ya kisasa iliyopo jijini Mbeya na kupongeza miradi hiyo miwili inayosimamiwa na Halmashauri ya jiji la...
  14. Dalali mbeya jiji

    JamiiForums Tanzania Laini za uwakala wa kifedha zinauzwa Mbeya mjini 4 @ Tshs. 100,000/=

    Laini za uwakala wa miala ya kifedha zinauzwa, Mbeya mjini. Hallopesa,Mpesa,Yas,Airtel money. Bei Tshs 400,000/= Bei inazungumzika. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gari ya katibu mwenezi CCM Mbeya lachomwa moto

    Familia ya Katibu Mwenezi wa CCM Mbeya Mjini, Philimon Mng'ong'o, imekumbwa na hofu baada ya watu wasiojulikana kuvamia nyumbani kwake usiku wa kuamkia Aprili 22, 2025 na kuchoma gari. Moto huo pia ulianza kushika sehemu za nyumba, lakini watu 11 waliokuwemo waliokolewa salama. Mng'ong'o...
  16. N

    JamiiForums Tanzania YAS yazindua huduma ya Matibabu ya Macho bure kwa Wakazi wa Mbeya

    Mbeya, 18–21 Aprili 2025 – Kampuni inayoongoza nchini Tanzania katika huduma za mawasiliano na maisha ya kidijitali, YAS, kwa kushirikiana na KSI Charitable Eye Centre, imezindua rasmi kampeni ya siku tatu ya matibabu ya macho bure kwa wakazi wa Jiji la Mbeya na maeneo ya jirani. Mpango huu...
  17. Dudukwe

    JamiiForums Tanzania Kiwanja Mbeya Mjini.

    Habari za Pasaka wanajukwaa, SIjawahi kuona kiwanja cha 5M au chini ya 10M kinauzwa Maeneo ya mbeya mjini. Kila siku naona vya 40M tu na kuendelea. Kama kuna kiwanja chenye bei hiyo niliyoitaja mbeya CBD tujuzane wakuu, maana vipato vinatofautiana NB. 1. Kuwe na barabara inafika. 2. Kama ni...
  18. Dalali mbeya jiji

    JamiiForums Tanzania Samaki aina ya Mbasa wanauzwa Mbeya mjini.

    Samaki aina ya Mvasa wanauzwa Mbeya mjini. Bei inategemeana na ukubwa wa samaki, kuanzia 15,000/= hadi 45,000/= wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
  19. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Tulia azindua gari la kubebea wagonjwa lililotolewa na Serikali kwa ajili ya Kituo cha Afya cha Mwakibete, jijini Mbeya

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 19 Aprili 2025, amezindua gari la kubebea wagonjwa (ambulance) lililotolewa na Serikali kwa ajili ya Kituo cha Afya cha Mwakibete, jijini Mbeya. Uzinduzi huo unalenga...
  20. Dalali mbeya jiji

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Ituha Mbeya.

    Nyumba inauzwa Ituha Mbeya/ House for sale at Ituha Mbeya Tshs. 40m. Mazungumzo yapo. Ina vyumba 4 vya kulala, self contained. Wasiliana nasi:+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!!
Back
Top Bottom