Habari, kama Kuna mtu anafahamu hospital nzuri Mbeya yenye wataalam wa magonjwa ya ngozi au kama unamfahamu dermatologist hapa Mbeya unisaidie kuniunganisha nae. Natanguliza shukrani
Wiki hii leo ni siku ya 5 kila siku umeme unakosekana kutwa nzima jijini Mbeya.
Zaidi siku ya hapo leo 09.08.2025 muda huu saa 4:40 usiku bado umeme haujarudi tangu ulipokatika majira ya saa 1 asubuhi. Cha kushangaza, hakuna taarifa yoyote iliyotolewa na TANESCO.
Kuna nini?
Kwa niaba ya walalahoi wenzangu jumla ya kaya 600 tunaomba serikali kubadikisha msimamo na kutuachia ardhi. serikali kupiti kilimo uyole inataka kutunyang'anya kipande cha ardhi cha heka 67 kwa ajili shamba la kilimo uyole. Ni ardhi yetu ya asili, tuliiendeleza kwa miaka mingi na kwa maelekezo...
Usafiri wa gari za kutoka Jiji la Mbeya kuelekea Wilayani Kyela uliyumba kwa saa kadhaa jana Agosti 7, 2025 baada ya madereva wa magari ya abiria kugoma, wakilalamikia kero, usumbufu na faini kubwa zisizoendana na uhalisia na hali ya kipato chao kutoka kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini...
Wakuu chuo kipi kati ya hivi ni kizuri zaidi kwa kozi ya Mechanical Engineering
Je, chuo kipi wahitimu wake wanaheshimika zaidi kama ma engineer bora? Maana nimesikia DIT mainjinia wake wanaheshimika sana
Sasa naomba kuuliza kati ya Arusha Technical College na Mbeya University of Science and...
Kutokuwa na lami kwa barabara ya Tabora, Sikonge, RUNGWA, Chunya mpaka Mbeya kunapunguza kasi ya maendelo kwa kiwango kikubwa sana katika haya maeneo
Hata uwekezaji katika hayo maeneo unakua ni mgumu sana kwa sababu ya ubovu wa barabara
Mfano kipindi cha mvua hii barabara ni changamoto...
Aliyekuwa Mhe Diwani kata ya Mpombo -na Mwenyekiti WA Halmashauri ya Busokelo wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya anayejulikana Kwa Jina la Anyosisye Njobelo ameamua kutumia hongo ili Jina lake lirudi.
Baada ya kukatwa
Anarudishwa Kwa kutumia mlango Wa nyuma Kwa Kuhonga kisa eti yeye anajinasibu...
Msimamizi wa uchaguzi nafasi ya ubunge viti maalumu Mkoa wa Mbeya, Balozi na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Simon Sirro amewatangaza washindi Suma Fyandomo kuongoza kwa kura 1,152, Maryprisca Mahundi nafasi ya pili kwa kura 1,150 na matokeo mengine kwa ujumla.
Uchaguzi huo ulianza tangu jana Julai...
wakuu naombeni mnipe uelekeo wilaya zenye wachina kwenye machimbo au migodi ya dhahabu inayopatikana kwenye mikoa ya Singida na Mbeya
NB: Kama kuna wachina kwenye mikoa ya Geita na Shinyanga mkinielekeza itakuwa poa sana wakuu.
Mkoa wa mbeya,inatakiwa ugawanywe kipolisi ,idara ya usalama barabarani.
Ni mkoa hatari kwa maisha ya binadamu, kupitia ajali za barabarani.
Mteremko wa Nzovwe jijini Mbeya umeendelea kugharimu maisha ya watu baada ya leo Jumapili, Julai 27, 2025 kuua mmoja na kujeruhi wengine kadhaa kufuatia...
Mamia ya wakazi wa Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya, wamejitokeza katika Viwanja vya Shule ya Sekondari Chalangwa, kuaga miili sita ya wanafunzi waliokuwa wanasoma shule hiyo, waliopoteza maisha kwa kugongwa na basi wakiwa mazoezini majira ya saa kumi na moja alfajiri siku ya Jumamosi, Kijiji cha...
Ajali ya Juzi Mbeya iliyohusisha bus kuwagonga wanafunzi waliokuwa wanakimbia barabarani imeondoa vijana wetu 6 na wengine majeruhi. Ajali hii imetokea alfajiri tarehe 26.07.2025
Ajali kama hii ilitokea Mtwara ilihusisha school Bus kuingia mtaroni na kusababisha wanafunzi 8 kufariki na mwalimu...
Kuna taarifa ya watoto waliokuwa wanafanya mazoezi ya kukimbia huko mbeya kugongwa na bus na kupelekea vifo;
Sipo hapa kulaumu mtu yoyote bali naomba tuelimishane mambo machache tu ambayo mimi kama fundi samico naweza kuwapa kama fundi.
Kwanza kabisa swali la kujiuliza kila mmoja, wale watoto...
Wanafunzi 6 wa shule ya Sekondari Chalangwa iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya, waliokuwa wakifanya mazoezi barabara kuu ya Chunya-Mbeya , wamefariki dunia kwa kugongwa na basi la Safina aina ya Yutong lenye namba za usajili T 194 DCE, linalofanya safari zake kutoka Lwalaje...
Yaani Jiji la Mbeya kuna mambo ambayo siyo mazuri na tukikaa kimya yataendelea, mojawapo ni hili suala ninaloenda kulizungumza leo.
Hivi LATRA Mbeya mmeshindwa kabisa kutatua hii kero ya Daladala kukatisha route?
Yaani Daladala inatoka Uyole inaishia Kabwe, abiria wanapata shida huku wengine...
Serikali imetoa zaidi ya Shilingi Bilioni 98.893 kwa ajili ya kuimarisha sekta ya elimu katika mkoa wa Mbeya na Mtwara.
Fedha hizo zimetolewa kupitia Mradi wa kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari-SEQUIP kwa ajili ya kukarabati shule kongwe, kujenga shule mpya, madarasa, nyumba za walimu, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.