mapato ya serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msichoke

    Dkt. Mwigulu: Mifumo ya kielektroniki ni muarobaini upotevu wa mapato ya serikali

    Matumizi sahihi na salama ya mifumo ya kieletroniki Serikalini, yametajwa kuwa suluhisho la kudumu katika kuziba mianya ya upotevu wa rasilimali za serikali ikiwemo mapato yatokanayo na vyanzo mbalimbali nchini. Hayo yameelezwa jana jijini Dodoma na Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba, wakati...
  2. K

    Mfumo mpya wa ulipaji mapato kwa Serikali umekuwa mgumu sana kwa mtu wa Kawaida

    Mfumo mpya wa ulipaji mapato ya Serikali umekuwa ngumu sana kwa Wananchi wa kawaida. Nitoe mfano, kama Mfanyabiashara anataka kulipia leseni yake kwa mfumo mpya lazima umtafute mtu akusaidie taratibu zote mpaka control number itoke. Mfanyabiashara kwa kazi hii anatozwa mpaka 20,000 kwa kazi...
  3. Jidu La Mabambasi

    Hili la Mbeya, wafanyakazi kuiba mapato ya Serikali, linasitua sana

    Huu wizi wa fedha za umma unasitua sana. Mh Rais Samia amesema wafanyakazi Halmashauri wamejijengea utaratibu wa KUIBIA serikali! Wizi una baraka zote za TISS, POLISI na watendaji RAS, hadi Mkuu wa Mkoa. Huu ni wizi wa kuaminiwa na tunategemea serikali kutocheka na nyani! Tumeshaanza kula mabua!
  4. Roving Journalist

    Miradi ya uchimbaji mkubwa wa madini ambayo Serikali ina hisa, imechangia mapato ya Serikali ya jumla ya Shilingi Trilioni 1.53

    MIGODI MIKUBWA YENYE UBIA NA SERIKALI YACHANGIA SHILINGI TRILIONI 1.53 KUFIKIA JUNI, 2023 Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Nishati, Madini ataka STAMICO iongezwe nguvu Katibu Mkuu Mahimbali aeleza Mipango Kabambe kuendeleza Sekta ya Madini, aeleza Miradi Mingine Mbioni kupewa Leseni Dodoma...
  5. Mr Why

    Wizi wa mapato ya Serikali katika Bandari ya Dar es Salaam ndiyo sababu kubwa ya DP World kukabidhiwa

    Kumekuwa na malalamiko makubwa sana kwa bandari ya Dar es Salaam kukabidhiwa kwa DP World, lakini sababu kubwa zaidi ni wizi wa mapato ya Serikali uliokithiri pamoja na dhuluma kubwa kwa wateja wanaoagiza mizigo bandarini. Mizigo inayopita bandarini ni mingi sana lakini Serikali imekuwa haipati...
  6. NetMaster

    mwana-tech umejipanga vipi kukabiliana na gharama mpya za data kwa makadirio ya shilingi elf 3 kwa gb 1

    Leo kuna pendekezo limetolewa bungeni ambalo uwezekano wa kutekelezwa kwake ni mkubwa, pendekezo hili lita athiri sana hasa watu wa tech ambao matumizi yao ua internet ni makubwa. Aliependekeza Si mwengine bali ni Zungu naibu spika wa bunge letu ambae aliwahi kupendekeza pia kuwe na tozo kwenye...
  7. M

    Ni huduma gani ya Serikali ambayo ungependa iwe kwa njia ya mtandao?

    Binafsi nimekaa na kutafakari sana kuhusu Serikali yetu inapambana kuanzisha mifumo ya kielektroniki ili kurahisisha utoaji wa huduma zake. Mimi pia nimenufaika moja kwa moja kwa jitihada hizi maana napata/nalipia huduma za Serikali kwa njia rahisi sana huku nikiwa naendelea na shughuli zangu...
  8. Richard

    Je, ni Halmashauri zote huhitaji fedha kutoka Serikali Kuu? Kuzipatia fedha nyingi mabilioni kila mwaka ni kuzidekeza na kuzifumba akili

    Juzi Rais Samia ametangaza tozo ya shilingi 100 kwa kila lita moja irejeshwe katika kodi ya mafuta. Hapohapo wafanyabiashara wa mafuta hayo hawajalalamika bali wamefurahi maana wao wapata faida zaidi. Licha ya kodi hiyo ya mafuta, gharama za maisha kwa ujumla zimepanda na mfumuko wa bei uko...
  9. Analogia Malenga

    Sheria inataka mapato ya Serikali yapelekwe katika Mfuko Mkuu wa Serikali kabla ya kupelekwa kwenye miradi

    Mapato ya Serikali huyatakiwi kupelekwa kwenye miradi kabla ya kuwasilishwa kwenye Mfuko Mkuu wa Mapato ya Serikali ili kuwa na taarifa sahihi za mapato na matumizi Kutowasilisha mapato ya serikali ni kwenda kinyume na Ibara ya 135 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Vitendo wa...
Back
Top Bottom