Hili la Mbeya, wafanyakazi kuiba mapato ya Serikali, linasitua sana

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,335
24,232

Huu wizi wa fedha za umma unasitua sana.
Mh Rais Samia amesema wafanyakazi Halmashauri wamejijengea utaratibu wa KUIBIA serikali!
Wizi una baraka zote za TISS, POLISI na watendaji RAS, hadi Mkuu wa Mkoa.
Huu ni wizi wa kuaminiwa na tunategemea serikali kutocheka na nyani!
Tumeshaanza kula mabua!
 
Wenye dhamana ya kuilinda nchi ndio wanaitelekeza viwapi viapo vyenu???

Wakamateni mnawasaga vidole uone kama utasikia mtu ataiba mali ya umma
 
Wenye dhamana ya kuilinda nchi ndio wanaitelekeza viwapi viapo vyenu???

Wakamateni mnawasaga vidole uone kama utasikia mtu ataiba mali ya umma
Vile viapo visomwe KWA mtaalam KWA akiiba mtu afaraki ulimwengu
 
Tatizo namba moja.namba moja yeyw kila siku anauza ardhi za Tanganyika kwa wageni ambapo imepelekea na watendaji kuanza kujilipa mapema
 
Hiyo ndiyo sasa imekuwa sera rasmi ya CCM...kula kwa urefu wa kamba! Kuanzia kwa Serikali za mitaa ni mamilioni na kwa Serikali kuu ni mabilioni hadi matrilioni. Kwa hakika CCM ni janga la taifa!
 
Kama kuna mwajiriwa wa serikali na haibi huyu atakuwa malaika Gabiriel wa efeso

Sifa kubwa ya kuwa mwana CCM ni pamoja kuchukua Chako Mapema.
 
View attachment 2731210

Huu wizi wa fedha za umma unasitua sana.
Mh Rais Samia amesema wafanyakazi Halmashauri wamejijengea utaratibu wa KUIBIA serikali!
Wizi una baraka zote za TISS, POLISI na watendaji RAS, hadi Mkuu wa Mkoa.
Huu ni wizi wa kuaminiwa na tunategemea serikali kutocheka na nyani!
Tumeshaanza kula mabua!
Badala ya kuamrisha vyombo vichukue hatua,

Wanaundiwa Tume Kwa Kodi za umma tena.
 
Back
Top Bottom