mbeya

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania KERO Madereva wa gari za Abiria Mbeya - Kyela wadai Maafisa wa LATRA wamekuwa kero kubwa kwao

    Usafiri wa gari za kutoka Jiji la Mbeya kuelekea Wilayani Kyela uliyumba kwa saa kadhaa jana Agosti 7, 2025 baada ya madereva wa magari ya abiria kugoma, wakilalamikia kero, usumbufu na faini kubwa zisizoendana na uhalisia na hali ya kipato chao kutoka kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini...
  2. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Nikiripoti kutoka viwanja vya Nanenane Mbeya. Huu ni ujumbe wangu kwa mlioa?

    Uzi TAYARI. #YNWA #YANGA_BINGWA
  3. van_vict

    JamiiForums Tanzania Movie library frem & vyombo vyake inauzwa Mbeya(Nzovwe stand)

    Sold
  4. X

    JamiiForums Tanzania ATC Arusha vs MUST Mbeya

    Wakuu chuo kipi kati ya hivi ni kizuri zaidi kwa kozi ya Mechanical Engineering Je, chuo kipi wahitimu wake wanaheshimika zaidi kama ma engineer bora? Maana nimesikia DIT mainjinia wake wanaheshimika sana Sasa naomba kuuliza kati ya Arusha Technical College na Mbeya University of Science and...
  5. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Ni vizuri barabara kuanzia Tabora via Sikonge via RUNGWA via Chunya mpaka Mbeya kupigwa lami kwa njia tatu

    Kutokuwa na lami kwa barabara ya Tabora, Sikonge, RUNGWA, Chunya mpaka Mbeya kunapunguza kasi ya maendelo kwa kiwango kikubwa sana katika haya maeneo Hata uwekezaji katika hayo maeneo unakua ni mgumu sana kwa sababu ya ubovu wa barabara Mfano kipindi cha mvua hii barabara ni changamoto...
  6. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Mbeya :Viongozi wa Ccm Wilaya ya Rungwe acheni kuwapambani baadhi ya wagombea

    Aliyekuwa Mhe Diwani kata ya Mpombo -na Mwenyekiti WA Halmashauri ya Busokelo wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya anayejulikana Kwa Jina la Anyosisye Njobelo ameamua kutumia hongo ili Jina lake lirudi. Baada ya kukatwa Anarudishwa Kwa kutumia mlango Wa nyuma Kwa Kuhonga kisa eti yeye anajinasibu...
  7. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Suma Fyonda na Maryprisca Mahundi wachomoza kura za maoni nafasi ya ubunge viti maalumu Mkoa wa Mbeya

    Msimamizi wa uchaguzi nafasi ya ubunge viti maalumu Mkoa wa Mbeya, Balozi na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Simon Sirro amewatangaza washindi Suma Fyandomo kuongoza kwa kura 1,152, Maryprisca Mahundi nafasi ya pili kwa kura 1,150 na matokeo mengine kwa ujumla. Uchaguzi huo ulianza tangu jana Julai...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Machimbo ya dhahabu ambayo kuna WACHINA yapo wilaya gani mkoa wa Singida na Mbeya?

    wakuu naombeni mnipe uelekeo wilaya zenye wachina kwenye machimbo au migodi ya dhahabu inayopatikana kwenye mikoa ya Singida na Mbeya NB: Kama kuna wachina kwenye mikoa ya Geita na Shinyanga mkinielekeza itakuwa poa sana wakuu.
  9. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Mbeya ni Moja kati ya mikoa hatari kwa ajali za barabarani Tanzania

    Mkoa wa mbeya,inatakiwa ugawanywe kipolisi ,idara ya usalama barabarani. Ni mkoa hatari kwa maisha ya binadamu, kupitia ajali za barabarani. Mteremko wa Nzovwe jijini Mbeya umeendelea kugharimu maisha ya watu baada ya leo Jumapili, Julai 27, 2025 kuua mmoja na kujeruhi wengine kadhaa kufuatia...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Miili ya wanafunzi 6 waliofariki kwa ajali ya basi yaagwa leo, Mbeya

    Mamia ya wakazi wa Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya, wamejitokeza katika Viwanja vya Shule ya Sekondari Chalangwa, kuaga miili sita ya wanafunzi waliokuwa wanasoma shule hiyo, waliopoteza maisha kwa kugongwa na basi wakiwa mazoezini majira ya saa kumi na moja alfajiri siku ya Jumamosi, Kijiji cha...
  11. Sizinga

    JamiiForums Tanzania Dark Day: Ajali ya Mbeya na Mtwara

    Ajali ya Juzi Mbeya iliyohusisha bus kuwagonga wanafunzi waliokuwa wanakimbia barabarani imeondoa vijana wetu 6 na wengine majeruhi. Ajali hii imetokea alfajiri tarehe 26.07.2025 Ajali kama hii ilitokea Mtwara ilihusisha school Bus kuingia mtaroni na kusababisha wanafunzi 8 kufariki na mwalimu...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ajali iliyoua watoto 5 huko Mbeya imenisikitisha sana; Lakini hebu tujadili mambo haya machache kiufundi kwa usalama wetu

    Kuna taarifa ya watoto waliokuwa wanafanya mazoezi ya kukimbia huko mbeya kugongwa na bus na kupelekea vifo; Sipo hapa kulaumu mtu yoyote bali naomba tuelimishane mambo machache tu ambayo mimi kama fundi samico naweza kuwapa kama fundi. Kwanza kabisa swali la kujiuliza kila mmoja, wale watoto...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 6 wafariki kwa kugongwa na basi Mbeya

    Wanafunzi 6 wa shule ya Sekondari Chalangwa iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya, waliokuwa wakifanya mazoezi barabara kuu ya Chunya-Mbeya , wamefariki dunia kwa kugongwa na basi la Safina aina ya Yutong lenye namba za usajili T 194 DCE, linalofanya safari zake kutoka Lwalaje...
  14. Wakwetu03

    JamiiForums Tanzania Mbeya City Fc Yavuna Vipaji 68

    Mbeya City Fc
  15. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania KERO LATRA Mbeya simamieni changamoto ya Daladala kukatisha ruti

    Yaani Jiji la Mbeya kuna mambo ambayo siyo mazuri na tukikaa kimya yataendelea, mojawapo ni hili suala ninaloenda kulizungumza leo. Hivi LATRA Mbeya mmeshindwa kabisa kutatua hii kero ya Daladala kukatisha route? Yaani Daladala inatoka Uyole inaishia Kabwe, abiria wanapata shida huku wengine...
  16. The Librarian

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu yeyote amefanya interview ya Chuo Kikuu cha Sayansi naTeknolojia Mbeya (MUST)TUTORIAL ASSISTANT (HUMANRESOURCE MANAGEMENT) leo

    If any please let me know
  17. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali yatoa zaidi ya Shilingi Bilioni 98 kuimarisha sekta ya elimu Mbeya na Mtwara

    Serikali imetoa zaidi ya Shilingi Bilioni 98.893 kwa ajili ya kuimarisha sekta ya elimu katika mkoa wa Mbeya na Mtwara. Fedha hizo zimetolewa kupitia Mradi wa kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari-SEQUIP kwa ajili ya kukarabati shule kongwe, kujenga shule mpya, madarasa, nyumba za walimu, na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Lumbesa inatuongezea umasikini Mbeya

    Sasa hivi Mbeya ni kama serikali iko likizo kwa jinsi wafanyabiashara wanavyopora wakulima mchana kweupe. Ukiangalia Lumbesa ya gunia la viazi huwezi kubisha kwamba mkulima hapati chochote. Yaani heka moja ungeweza kupata gunia za viazi 70 kwa sababu ya Lumbesa utaambulia gunia 52! Viongozi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kuadimika kwa bia mkoani Mbeya

    Habari wakuu! Ni karibu mwezi wa pili sasa mfululizo, upatikanaji wa bia mkoani Mbeya umekuwa changamoto kubwa. Bia kama Bingwa, Safari, na Kilimanjaro zinapatikana kwa nadra sana. Wenzetu wa TBL Mbeya, tafadhali mtujulishe shida ni nini? Je, wenzetu wa mikoa mingine mnakumbana na changamoto...
  20. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Viongozi wa Bajaji Mbeya Jiji tuacheni na Abiria wetu tunajuana wenyewe

    Hivi ninyi viongozi wa Bajaji jiji la Mbeya mna matatizo gani? Sawa tumekubaliana kuwa madereva wote wa Bajaji tubebe Abiria Kwa nauli ya shilingi 800 kituo Hadi kituo,Sasa Kuna shida gani kama Abiria ameniomba Kwa shilingi 500. Maana mnatangaza kabisa eti mkitukamata tukiwa tunachukua nauli...
Back
Top Bottom