uchovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NetMaster

    Nawahi kuamka nikiwa sina uchovu sehemu zenye joto ila naamka kwa kujivuta vuta sehemu zenye baridi, huu ni ugonjwa?

    Nimeanza kuona kama ni ugonjwa fulani hivi, nipo mikoa yenye baridi kwa asili huwa nikiamka naamka kwa kujikokota sana na hata ratiba za mazoezi muda mwingi napuuzia; inabidi nivute vute muda sitoki kitandani mpaka nikikaribia kwenda kwenye shughuli zangu. Mikoa yenye joto ikifika tu hata saa...
  2. sanalii

    Kila nikifanya mapenzi wiki nzima nasikia uchovu na usingizi

    Kuhusu kitendea kazi, kiko salama, sina tatizo la nguvu za kiume ila nikimaliza tu, yaani wiki nzima nasikia uchovu, nasikia kulala lala tu. Naweza lala mchana hata masaa matano kisha na usiku pia, nifanyeje niwe sawa?
  3. BARD AI

    Njia 10 za kuondoa Stress na Uchovu kwa haraka

    1. Pitia picha zako zako za zamani kidogo, Picha za tukio moja wapo lililokufurahisha au za mtu mwingine yeyote wa karibu yako! 2. Fungua madirisha na kuruhusu mwanga na hewa kupita kwa kiasi kikubwa. Epuka kukaa sehemu yenye mwanga mdogo kwani hufanya hali yako ya uchovu au stress kuwa juu...
  4. beth

    Fahamu sababu zinazopelekea uamke ukiwa na uchovu

    1. Mazingira unayolala Wataalamu wanashauri mazingira ya mahali unapolala yawe ya Utulivu. Pia wanasisitiza kuepuka vinywaji vyenye Kafeini (Caffeine) kabla ya kulala. 2. Ratiba ya kulala kubadilika mara kwa mara Ikiwa huna muda rasmi wa kulala siku zote, mwili wako unaweza kushindwa kuhimili...
  5. kindikinyer leborosier

    Tatizo la uchovu kupitiliza, mwili kupata ganzi nikikaa kwa muda mrefu

    Assalam wana jamvi, nina tatizo ambalo naombeni mnisaidie, hii kwa sasa si kawaida, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 sasa, ni mwajiriwa katika taasisi binafsi kwa muda wa miaka minne sasa, sijaoa japo nina mpenz ambae yupo mkoa mwingine. tatizo langu ni uchovu uliopitiliza, yaani...
  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    Wasafiri Uwanja wa Ndege Dar, Walalamikia utaratibu wa kupimwa corona

    Download 720 Waziri wa Afya anatakiwa kubadilisha utaratibu mbaya unaofanywa Mjini Dares-Salaam Airport. kuhusu Wageni ama sivyo Mwaka huu Tanzania itakosa wageni wengi na pato la Taifa kuhus wageni litashuka. Sikiliza hiyo video. ==== WASAFIRI katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
  7. Uzalendo wa Kitanzania

    TANZIA Latige Camara aliyekuwa mchezaji wa klabu ya Hafla FC ya nchini Ghana afariki akiwa mazoezini kutokana na uchovu

    Mchezaji wa Klabu ya Soka ya Hafla FC ya nchini Guinea Latige Camara amefariki dunia leo asubuhi baada ya kudondoka uwanjani akiwa mazoezini. Taarifa za awali kutokea nchini humo zinataja chanzo cha kifo chake kuwa ni uchovu unaotokana na jufanya mazoezi huku akiwa amefunga.
Back
Top Bottom