Msemaji wa KMC: Tutaenda uwanja wa Meja Isamuyo kucheza

towashi wa kushi

JF-Expert Member
May 15, 2024
340
720
Picha inajieleza na kaambatanisha na kanuni za league kuu ya Tanzania bara.
1716516647077.jpg

Kwako Karia TFF na bodi ya league yako, tunakufuatilia tuone mtaamuaje mechi hiyo. Mnatutia aubu na kuturudisha zama za ujima wakati tunaweka mpira kwapani.

League ya 6 kwa ubora Afrika inayumbishwa na kupindisha kanuni kwa ajili ya wahuni fulani.

Sisi KMC tunasubiri Alam zetu 3 na goli 3 za Mezani.
 
Picha inajieleza na kaambatanisha na kanuni za league kuu ya Tanzania bara.
View attachment 2997863

Wacha tuone sasa...😂😂💚💛
 
Acha waruke ruke mithili ya maharagwe ambayo hayajaiva ila mwisho wa siku tarehe 25 watakuwa dimbani wakila matapishi yao pale Arusha
 
  • Thanks
Reactions: BRN

Waihairisha hii game... Itafanywa kiporo
 
Yetu macho ila chochote kitakachotokea Simba ndie atakae pewa ushindi
Tff kwa Sasa inapambana kwa udi na uvumba kuhakikisha Azam anachukua kombe la FA
 
Acha waruke ruke mithili ya maharagwe ambayo hayajaiva ila mwisho wa siku tarehe 25 watakuwa dimbani wakila matapishi yao pale Arusha
Mnatia aibu sana Mikia,yaani nafasi ya pili ndio mnafanya figisu za wazi namna hii
 
Mnajisumbua bure tu na habari zisizo na uhakika. Jana Afisa habari wa Bodi ya Ligi, Karim Boimanda, akihojiwa na Oscar Oscar ktk kipindi cha jioni cha wasafi, ameelezea kila kitu. Simba wapo sahihi kabisa na hakuna kanuni yoyote waliyokiuka. Taarifa zilitoka mapema na KMC walifikishiwa taarifa na wakakubali. Wala Bodi ya Ligi haikuwahi kupokea taarifa ya kutumika kwa uwanja wa Meja Isamuyo ktk mechi ya tarehe 25 kati ya Simba na KMC.
Huyo Chukuchuku, Afisa habari wa KMC huenda hakupata taarifa kutoka kwa uongozi wake. Nimeshindwa kuweka link ya kipindi cha jana kinachoitwa "Jana na Leo" cha Wasafi. Itafute Utube.
 
Story zitakuwa nyingi, lakini ukweli ni kwamba inatafutwa namna Simba ikae nafasi ya pili, na kwa bahati mbaya, bahati haipo upande wa Simba
 
Back
Top Bottom