midomo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Wenye midomo hawasemi Rais Samia anavyoleta miradi ikitokea tumekopa midomo mingi

    Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando Maarufu Baba Levo akizungumza leo Julai 20, 2026 katika uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha sita kutoka Tabora hadi Kigoma, katika eneo la Katosi, Halmashauri ya Kigoma Ujiji uliohudhuriwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Baba...
  2. Brother Depo

    JamiiForums Tanzania Israel Yaendelea Kumwaga Moto Lebanon, Iran wamefunga Rasmi Midomo

    Israel bado inaendelea kumwaga moto Lebanon, wakati huo huo ile mikwara ya Kila aina ambayo Iran imekua Ikipigwa imefutika. Iran wameingia ubaridi, hakuna tena nywi nywi nywi Ukumbuke kuwa Iran waliapa lazima washambulie Israel endapo Israel itashambulia Lebanon, lakini Hali imekua tofauti...
  3. Adryz

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu midomo yenu inanuka

    Huu mwezi wao yani hawa ndugu zetu mida ya mchana vinywa vyao vinatema balaa. Hasa wakipiga mihayo utadhani chemba imetema. Ni vizuri kutumia barakoa sehemu walipo wengi. Siyo sifa mdomo kunuka. Eti wenyewe kinywa kikinuka hivyo ni sifa eti kafunga.
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania Donald Trump, Samia Suluhu alikuita "WHO ARE YOU?"

    Wakuu, tumchongee Samia Suluhu kwa Trump Baba Donald Trump, Huku Tanzania kuna Mwanamke anaitwa Samia Suluhu Hassan aliikuita who are you.. Mvutie pumzi.. Kwa sasa yupo huko Tunguu Zanzibar. Siku mkimtaka ntatoa Ushirikiano.. Yaani mtamkamata kama kuku wa Kisasa.. Naye anatakiwa apokee unyakuo...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Siku ICC ikiomba google itaje wasiojulikana walikuwa wanatumia google map location kujua makazi mtabaki midomo wazi. Nawapa stori ya kweli

    Hii ni kweli kuwa dunia unaweza kujiona umejificha kumbe hupo uchi. Kuna kijana mmoja huko Marekani mwenye asili ya asia raia wa Marekani, ni kijana mdogo wale vijana wanaopitia ujuaji na ujanja wa UVCCM mfano tu. Wakati wa matembezi alitokea kibaka na kupora simu yake ya iphone na ile simu...
  6. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums kwa muda wa siku 90 na kuzuia upatikanaji wa jukwaa hilo, kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni TCRA imesema uamuzi huu umetokana na JamiiForums...
  7. Damaso

    JamiiForums Tanzania Mnaoweka bottox kufanya midomo iwe minene

    Nimekutana na hii video mpaka nimebaki kujiuliza je inakuwa urembo unafikia kiwango cha kukupa wakati mgumu namna hii? Aisee Mungu atusaidie sana!
  8. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania Wagombea CCM Wafungwa Midomo: "Tunazuiwa Kukosoa, Huu Sio Uhuru Wala Demokrasia"

    Wimbi la ukimya linatawala mchakato wa kuchukua fomu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku wagombea na watia nia wakizuiwa kuzungumza hadharani kuhusu matarajio yao, hoja zao za msingi, au mapungufu ya wabunge na madiwani waliomaliza muda wao. Tangu kufunguliwa kwa dirisha la uchukuaji wa...
  9. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kauli Tata za Samia Zilizowaacha watu MIdomo wazi huku hawaamini kama Mkuu wa Nchi anaweza kutamka Maneno haya.

    GT Kiufupi sana samia hakujiandaa kuwa raisi lakini pia hata wasaidizi wake wameshindwa kumsaidia kuwa Raisi.mzuri, sasa wanachofanya .ni Kulazimisha kila Kitu kwa mabavu Baadhi ya kauli hapa chini ni Ushahidi tosha kwamba Mkuu wetu wa nchi hana karama hiyo ya uongozi Unaweza ukaongezea...
  10. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Huu msamiati umetoweka kabisa katika midomo ya watu. Mliambiwa lakini hamkusikia!

    Sijui hata inaandikwaje. Ni Sukuma Gang, Sukuma gang, au Sukumagang? Mtajaza wenyewe. Wangapi wengine mmegundua kama mimi kuwa huo msamiati sasa hautumiki tena? Kuna kipindi humu baadhi ya watu tuliandamwa sana. Ilikuwa popote pale tukitia neno, hujibiwi kwa hoja. Ilikuwa unakuwa dismissed...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mashujaa,,wanafanya huku wakiwa gizani,,wabeba lawama waliofungwa midomo

    Hawa ni wale jamaa ambao jamii imekua ikiwategemea kwa usalama wao lakini inapotokea tatizo au sintofahamu basi Hawa makamanda huwa lawama zote hubebeshwa wao,na hata ikitokea wametatua tatizo hawatangazwi Wala kusifiwa😁😁😁. Matukio matatu kati ya Mengi ya ukamanda wa makamanda...NILIYOYASIKIA...
  12. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania EX wa Dkt. Mwaka azidi kuwaacha watu midomo wazi

    Huyu mama kaamua kujifyatua zaidi.Kumbukumbu ziende kwa mpiga picha
  13. U

    JamiiForums Tanzania Waisrael wawili tu wamejeruhiwa kidogo pamoja na Iran kurusha makombora ya masafa marefu zaidi ya 200 kuelekea Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Mungu ibariki Israel Taarifa rasmi ndiyo hiyo 99% yamelipuliwa angani, kudondokea baharini au sehemu isiyokusudiwa Yale matoi yaliachwa yaelee angani kwa muda na kisha kusambaratishwa Ukitazama video yake utacheka Live Update arrow right icon From the Liveblog of...
  14. Unavoidable Servant

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha kifo cha Mandojo ni mke wake, wanawake punguzeni midomo

    Habari ndio hiyo, kama Mandojo asingekerwa na mke wake na kuamua kwenda kunywa pombe basi leo hii angekuwa hai. Hii si kazi ya Mungu, ni kazi ya shetani iliyoratibiwa na mwanamke. Tuishi nao kwa akili.
  15. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Nilitabiri Denis Kibu atakuja kucheza Ulaya na kuwafunga midomo

    Kutokana na sintofahamu na tetesi zinazoendelea kuhusiana na Denis Kibu (mpaka leo sielewi kwa nini watu wanamuita Kibu Denis badala ya Denis Kibu lakini hilo tuliache kwa leo), nimekumbuka kauli yangu niliyowahi kuitoa kuhusu future yake. Niliwahi kusema kuweni na akiba ya maneno, kuna siku...
  16. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Mpira ni uwekezaji na sio propaganda, Yanga endeleeni kuwaziba midomo wanafiki, mnawajibu kwa vitendo hongereni!

    Walianza na propaganda za Yanga kushiriki kombe la looser (shirikisho), wakatoka hapo yanga ikagonga mpaka fainali uku timu zikichapwa ipasavyo wakasema wamekutana na timu dhaifu, lakini wale wale waliwai kucheza ilo ilo kombe la looser wakaishia kuchoma uwanja wa watu na kutupwa nje ya michuano...
  17. comte

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Lowassa ni funzo kwa midomo michafu ya wanasiasa wa Tanzania

    Lowassa kaondoka. kaenda zake akitupa mda wa kuangalia alimopita Ameonewa sana na kaonea na kila mtu Tulimfitini ili tupate tulichotaka wakati tulipokitaka lakini yeye alibaki yule yule wa kutafuta alichokusudia kupata mwisho wa siku sidhani kama alipata alichokusudia kupata
  18. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Niwaonye Vijana wa humu JF,Ikiwa huwezi kupambana na UMUGHAKA acheni Midomo

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Kama unajua kabisa huniwezi kiakili na kimapambamo (Ngumi) kwanini unichokoze?,Sometimes huwa nikiongea naonekana mbaya! Kijana mmoja sijajua ni KE au ME anayejiita Hance Mtanashati kwa mbwembwe nyingi alinifuata kwenye uzi wangu na kutaka kufanya...
  19. Execute

    JamiiForums Tanzania Mstari wa biblia unaowafumba midomo wanasayansi wa kizazi hiki

    Biblia imeandika kuhusu matumizi ya kadi za malipo karibu miaka 2000 iliyopita. Kwamba kutakuwa na teknolojia ambayo ita-control mfumo wa malipo dunia nzima. Ufunuo 13:17 Hakuna ambaye angeweza kununua au kuuza bila ya kuwa na alama hii. (Alama hii ni jina la mnyama au namba ya jina lake.)
  20. demigod

    JamiiForums Tanzania Kuna Washindani wasio na mdomo. Kuna Washiriki Wenye Midomo

    Kama ilivyo wekwa bayana hapo awali. Hakuna namna unaweza kumfunga Al Ahly kwake, tena kwenye game ya mtoano isitoshe zaidi kwenye michuamo ambayo bingwa anabeba pesa nyingi. Tujipongeze kwa kushiriki, lakini hakuna timu ya kushindana. Wenzenu Yanga wanajua namna ya kucheza games za mtoano...
Back
Top Bottom