Ni Mimi tu au wote tunaona Pacome bado hajapona na ana struggle sana kucheza

uhurumoja

JF-Expert Member
Mar 2, 2014
6,284
12,042
Kwa mechi kama tatu tangu arudi uwanjani baada ya kelele kuwa nyingi bado naona Pacome hajawafiti kucheza game tough na game ya final FA anahitajika sana nadhani game ijayo atapumzika.

NB: Hawa wachezaji walindwe au wajilinde na vishangazi aina ya mobeto vile havijui chochote kuhusu mpira kanaweza kumpa mbunye hata siku moja kabla ya game hali itayo athiri uwezo wake uwanjani.
 
Namuona hataki kbs hata kugusana na mchezaj pnzan anacheza ile mipira soft si kama mwanzo nadhan ameshauliwa acheze hivyo pengne sababu hajawa fit..nadhan mpk next season ndo tutamuona kwny ubora wake akiwa kapona kbs na uwenda anachezeshwa kuzma yale makelele ya watu.
 
Bado hajapona vizuri hana ule msukumo wake wa kutosha,(drive and energy)
 
Namuona hataki kbs hata kugusana na mchezaj pnzan anacheza ile mipira soft si kama mwanzo nadhan ameshauliwa acheze hivyo pengne sababu hajawa fit..nadhan mpk next season ndo tutamuona kwny ubora wake akiwa kapona kbs na uwenda anachezeshwa kuzma yale makelele ya watu.
Hagusani na pia hachezi kwenye maeneo korofi
 
Kwa mechi kama tatu tangu arudi uwanjani baada ya kelele kuwa nyingi bado naona Pacome hajawafiti kucheza game tough na game ya final FA anahitajika sana nadhani game ijayo atapumzika.

NB: Hawa wachezaji walindwe au wajilinde na vishangazi aina ya mobeto vile havijui chochote kuhusu mpira kanaweza kumpa mbunye hata siku moja kabla ya game hali itayo athiri uwezo wake uwanjani.
ni kweli hajapona vizuri
 
Gamondi alivyokuwa hamchezeshi watu walipiga kelele za kutosha. Lakini alisisitiza kumlinda mchezaji. Nadhani watu wajifunze kuheshimu taaluma na afya za wachezaji sio kelele.
 
Sahihi hatujifunzi kwa wenzetu mtu msimu mzima hachezi... Hivi Ocra nae vipi?
 
Back
Top Bottom