yaondolewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Teko Modise

    Vodacom SME yaondolewa kimya kimya

    Miezi kama mitatu iliyopita tuliungwa kwenye vifurushi vya Vodacom SME ambapo tukawa tunapata unafuu kwenye bando. Leo wameondoa bando hilo kimya kimya ukipiga menu hulikuti. Vodacom mnapoteza wateja kizembe
  2. K

    Iran yaondolewa vikwazo vya uuzaji silaha na UN

    Mnamo tarehe 18 Oktoba, 2023 UN imeondoa vikwazo vya Iran kufanya biashara ya silaha na imeiruhusu Iran iuze silaha yeyote na taifa lolote. Jumamosi ya tarehe 21 Oktoba, 2023 UN ndio imetangaza uamuzi huo ambao ulijadiliwa na kuamuliwa Jumatano. USA aliongeza vilwazo kwa Iran baada ya uamuzi...
  3. BARD AI

    Timu ya Wanawake Nigeria yashindwa kuingia robo fainali Kombe la Dunia

    Timu ya Taifa ya Wanawake ya Nigeria (The Super Falcons) imeshindwa kutamba mbele ya England huko Brisbane, Australia baada ya kuchapwa goli 4-2. Licha ya kuongoza katika kiwango cha ubora katika mchezo huo, Nigeria imekwama kutumia vizuri nafasi ikiwemo kikosi cha England kuwa pungufu kwa...
  4. P

    Video ya Masauni ikitoa onyo juu ya uhuru wa kutoa maoni yaondolewa mtandaoni

    Wananchi wa leo si kama wa wazamani, japokuwa kuna machawa wengi na wapumbavu wanotetea ujinga ili tu wapate V8 na kupanda ndege first class, wapo wanaojitambua, hata wale waliokuwa hawaelewi taratibu wanajielimisha na kusimamia haki zao. Baada ya onyo hili kali lililotolewa na Waziri wa Mambo...
  5. BARD AI

    iPhone X yaondolewa kwenye Vifaa vya Apple vitakavyopokea iOS 17

    Kwa mujibu wa Apple imetangaza kuwa mfumo wa uendeshaji wa iOS 17 utapatikana kwenye simu za iPhone XS na kuendelea kumaanisha kwamba usaidizi umeondolewa kwa iPhone 8, iPhone 8 Plus, na iPhone X. Toleo la Beta ya kwanza ya iOS 17 itapatikana kwa wanachama wa Programu ya Apple kwa majaribio...
  6. BARD AI

    Dizeli yaendelea kupanda bei, Ruzuku ya Tsh. Bilioni 100 yaondolewa

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya za mafuta zitakazotumika kuanzia leo Jumatano, Januari 4, 2023 huku bei ya dizeli ikiendelea kupaa. Katika taarifa hiyo iliyotolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Modestus Lumato imeonyesha kuwa katika jiji la Dar es...
  7. Lady Whistledown

    Hali ya Utulivu yarejea Sierra Leone, Marufuku ya kutoka nje yaondolewa

    Maisha ya kawaida yanaripotiwa kurejea katika Mji wa Freetown baada ya maandamano ya wiki iliyopita ya kupinga gharama kubwa ya maisha na ukiukwaji uliokithiri wa haki za binadamu Mashuhuda wamesema Polisi waliwatawanya waandamanaji kwa risasi za moto huku takriban raia 20 na maafisa wa polisi...
  8. W

    Account ya Twitter ya hayati Magufuli yaondelewa "blue tick!"

    Habari wana jukwaa. Leo nikiwa katika harakati za kutafuta, kuchakata na kusambaza habari kwenye mtando wa kihanaharakati wa Twitter nilitembelea katika ukurasa wa hayati Magufuli ila nilisitaha ajabu kutokukuta kwa tiki ya blue ambayo inaonesha uthibitisho wa ukurasa husika kuwa ni sahihi...
  9. B

    Tanzania yaenguliwa Mchezo wa Volleyball kwa kushindwa kutoa ada ya Dola 1,000

    10 September 2021 Kigali, Rwanda Tanzania imeshindwa kulipia ada ya dola za kimarekani US$ 1,000 zilizotakiwa kulipwa kabla ya kuruhusiwa kushiriki mashindano makubwa ya Afrika ya mchezo wa volleyball. Pia nchi ya Tanzania ilishindwa kulipia US$ 50 kwa kila mtu aliyetarajiwa kuwepo ktk msafara...
Back
Top Bottom