hisani

Abū Ḩişānī or Abū Ḩaşānī is a village in Makkah Province, in western Saudi Arabia.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyani Ngabu

    Nayo ni hisani ya Rais Samia?

    Katiba mpya! Hivi, upatikanaji wa katiba mpya nayo ni hisani ya Rais Samia [mimi simuiti Dokta kwa sababu hastahili kuitwa hivyo]? Nimeona mara nyingi vya kutosha sasa watu wakisema:- 1. Samia atuletee katiba mpya. 2. Samia atupatie katiba mpya. Sielewi kabisa. Kwani yeye huyo Samia ndo ana...
  2. Pascal Mayalla

    Pongezi Rais Samia kwa Kutuhisania Openness and Transparency Kwenye Uteuzi, Mnaonaje Ifanyike Kwenye Utenguzi na UtumbuzI Iwe ni Haki na Sio Hisani?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo ziko kwenye magazeti mawili, Gazeti la Nipashe la kila Jumapili na gazeti la Mwananchi la kila Jumatano, pia kuna kipindi cha TV cha KMT, kila Jumapili saa 3:00 usiku na marudio Jumatano saa...
  3. Mganguzi

    Kauli ya Waziri wa Elimu ya kwamba walimu wafanye mtihani kabla ya ajira ni ya udhalilishaji

    Watabisha sana lakini kauli ya waziri wa elimu kuhusu ajira za walimu ni kauli za udhalilishaji wa waalimu na Maprofesa wa vyuo husika! Kama mitaala ya vyuo vya walimu inasimamiwa na wizara ya elimu! Kama vyuo vyetu vina ubora unaokidhi vigezo! Kwanini waziri anawataka walimu wafanye mitihani...
  4. Kiboko ya Jiwe

    Je huu ni utapeli kwa hisani ya Serikali?

    TCRA, BENKI KUU na idara zingine zinazohusika. Huu ni utapeli kwa hisani ya serikali kwasababu hawa watu wana vibali vya huduma hii toka BENKI KUU na idara zingine husika. Ukikopa wakati wa marejesho utaona pesa imekatwa VAT kama kawaida kuthibitisha kuwa serikali ndiyo iliyobariki uhuni huu...
  5. D

    Lowassa ametibiwa kwa kodi zetu, si hisani ya Rais Samia!

    Jana nimemsikia mtoto wa Marehemu Edward Lowassa ambaye pia ni Mtunga Sheria (Mbunge) Fred Lowassa akimshikuru Rais Samia Suluhu Hassan na kusema, "kama si Rais Samia baba asingefika Jumamosi alipofariki" kwamba ni Samia alijitolea Kwa hali na mali kuhakikisha Lowassa anapata matibabu...
  6. R

    Tanzania Ruzuku ya vyama vya siasa inatolewa kwa mujibu wa sheria au kwa hisani ya Mhe. Rais?

    Nimemsikia Kinana kila jambo hata lililowekwa kisheria anasema Mhe. Rais kafanya.....naomba wataalam wa sheria watusaidie; Ruzuku ya vyama vya siasa utolewa na Rais? Kwa sheria gani inayompa rais ambaye ni Mwenyekiti wa chama cha siasa kugawa Ruzuku? Kama hakuna kifungu cha sheria kinachompa...
  7. B

    Video: Waziri anapojinadi dhidi ya Katiba

    Hili ni jambo la hatari kubwa: Kwani katiba haiko wazi kwenye lipi?
  8. BRN

    Uzi maalumu wa Misemo ya Yanga baada ya kufungwa na Simba na kupoteza Ngao ya Hisani

    Tarehe 13/08/2023 timu za mpira wa miguu za Tanzania Bara za Simba na Yanga zilipambana kwenye fainali ya kugombea Ngao ya Hisani. Mechi hiyo ambayo timu ya Yanga ilifungwa goli tatu na kujifanya Simba kutawazwa kuwa Mabingwa wa Ngao hiyo ambayo hufungua msimu wa Ligi Kuu ya msimu 2023/2024...
  9. Huihui2

    Hongera Camilius Wambura kwa utulivu huu nchini

    Takriban miezi 2 kufika leo media zote zilijaa mambo ya upotoshaji kutoka kwa akina Mwabukusi, Dr. Slaa, Mdude, Nshala, Lissu etc. Hawa walikuwa wanatumia lugha ya vitisho na matusi dhidi ya viongozi wa Serikali kuhusiana na Mkataba wa Bandari na DP World. Wapo pia waliotumia fursa zao kukosoa...
  10. mahindi hayaoti mjini

    Lengo la mchezo wa ngao ya jamii linatekelezwa?

    Kwa kawaida charity show yeyote ni kukusanya hela kwa ajili ya kutoa msaada either wasiojiweza, watoto yatima, elimu au matumizi yeyote ya bure kwa jamii flani. Hivi TFF wanatimiza hili lengo? Au ndio mgeni njoo mwenyeji apone? Twendeni taratibu lakini.
  11. Pascal Mayalla

    Anayekuja pasi na hodi, huondoka pasi kuaga. Kuzuiwa bila kifungu, kuruhusu bila Kifungu. Ni hisani ya Rais Samia. Haki kuhisaniwa hadi lini?

    Wanabodi, Baada ya Rais Samia kuruhusu mikutano ya siasa, sasa ni nderemo na vifijo nchi mzima!. Na mimi kama Mtanzania mzalendo wa taifa letu, pale linapofanywa jambo jema lolote la kheri kwa mustakabali mwema kwa taifa letu, sina budi kujiunga na wengine wote wanaolitakia mema taifa hili kwa...
  12. Mr George Francis

    Matunzo kwa mwenza siyo hisani, ni lazima

    MATUNZO KWA MWENZA SIO HISANI BALI NI LAZIMA. Je wajua kuwa mume au mke kutoa matunzo kwa mwenza wake ni lazima kisheria? Soma hapa upate majibu. Tulio wengi tunadhani kuwa kutoa matunzo kwa wenza wetu ni hisani tu kama namna ya kuwasaidia au kuonesha upendo tu dhidi yao na wala sio jambo la...
  13. Lady Whistledown

    Septemba 5, Siku ya Kimataifa ya Hisani Duniani

    Siku ya Kimataifa ya Hisani inaadhimishwa kila mwaka tarehe 5 Septemba na iliidhinishwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mnamo 2012 Siku hii ilianzishwa kwa madhumuni ya kuhamasisha watu, mashirika yasiyo ya kiserikali, na wadau kote ulimwenguni kusaidia wengine kupitia shughuli za kujitolea...
  14. OKW BOBAN SUNZU

    Huduma ya polisi ku-trace simu ni hisani, kiofisi au bure?

    Kuna hii huduma ya ku trace simu hutolewa na polisi wapelelezi. Kama umepoteza simu au unamtafuta mtu fulani namba yake inakiwa traced kujua yupo wapi. Utaratibu wa utoaji wa hii huduma umekaa kiwizi wizi sana. Hakuna utaratibu rasmi wa kiserikali. Ni kama mradi wa mtu binafsi au wa serikali...
  15. B

    Machinga wanapotoa Somo, Makamanda tunakwama Wapi?

    Safari ya kudai haki haijawahi kuwa rahisi: Wenye ajira kudhani wasio na ajira ni wapuuzi hiyo si sahihi. Kwanini rais ang'ake kusikia tishio kwenye kuendelea na urais baada ya 2025? Kwanini Makalla asiwe tayari kuachia ngazi na kwenda kujiajiri? Kwanini yasipunguzwe maslahi serikalini...
  16. K

    Sababu ya TFF kuweka viingilio juu mechi ngao ya hisani Simba vs Yanga yabainika

    kunatetesi kwamba TFF wameamua kuweka viingilio vikubwa mechi ya leo kati ya Simba na Yanga ili kukidhi matakwa ya mdhamini wa mechi ya leo ni AZAM, ambaye inasemekana ndiye aliyeshinda tenda ya kuonyesha mechi ya leo (utaratibu wa kumpata nao ulikuwa ni kuzungumkuti) kwani uligubikwa na...
  17. C

    Kwa hiyo msemaji wa ngao ya hisani ni Bumbuli siyo?

    Yaani hawa jamaa bana wakishinda atatoka msukule na Injinia kuji mwambafai wakitia aibu kama ile ya kule Naija basi ni Bumbuli na Hajj mfikirwa Naona week hii kuna mtu kajificha nyuma ya keyboard anasubiri miujiza jumamosi ili aibuke mafichoni kilichobaki huko ni kutangaza decorders za azam...
  18. K

    Wasomi wengi watafariki kwa kung'ang'ania mishahara na hisani zisizowaacha na amani

    Kwa mfumo unavyokwenda Sasa hivi tutegemee wasomi na viongozi wetu waandamizi wengi kupoteza maisha kutokana na kuajiriwa au kupewa madaraka ambayo kwa kiasi kikubwa hayawaruhusu kumaliza siku wakiwa na amani, awatumii taalumu zao na awazalishi kwa ajili ya nchi kama walivyotamani kufanya kwa...
  19. K

    #COVID19 Ifike muda Mwenge wa Uhuru uhifadhiwe Makumbusho ili kupambana na COVID-19

    Leo ulikuwa maeneo ya Chalinze. Tumesimama tangu asubuhi hadi muda huu gari haziendi kisa Mwenge! Wanafunzi wamekatishwa masomo yao wapo wamejipanga mistari hapo kushuhudia Mwenge! Tunaanzaje kupona na hii Corona? Wagonjwa wangapi wameathirika kutokana na kucheleweshwa na misafara ya Mwenge...
  20. Miss Zomboko

    #COVID19 Marekani yatoa msaada wa dozi Milioni 1 za Chanjo ya Coronavirus

    Marekani imeipatia Serikali ya #Tanzania zaidi ya dozi milioni 1 za chanjo dhidi ya COVID-19, ukiwa ni msaada kupitia mpango wa usambazaji chanjo wa #COVAX kwa uratibu wa Umoja wa Afrika Upokeaji wa Chanjo hizo umefanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere...
Back
Top Bottom