kucheza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga kucheza na Simba Ngao ya Jamii

    Kanuni mpya za mashindano zimebadilishwa kutoka ule utaratibu wa kukutanisha timu za ligi na mwisho bingwa kupatikana Na Sasa Kwa kanuni mpya bingwa wa ligi atacheza na bingwa wa FA na kama bingwa wa ligi kuu ndo bingwa wa FA, basi mchezo wa ngao ya jamii unakuwa kati ya bingwa na timu ilishika...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Unadhani Chama na Mkude wanastahili kucheza kikosi gani kwa sasa?

    Msimu wa 2025/26 unaelekea kuanza, nyota wa soka la Bongo Clatous Chotta Chama na Jonas Mkude waliokuwa Yanga kwa sasa wapo huru, mastaa hao waliowahi kuwa panga pangua kwenye kikosi cha Simba unadhani safari yao sasa itahamia wapi msimu ujao.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Babalevo kucheza kamali ni wa muhimu kuliko Philipo Mpango

    Kucheza kamari siyo kosa bali vioongozi walioidhinisha kamari ndiyo hawafai kabisa hasa wa serikali na dini ambao wanatumia kodi za kamari kuendesha maisha yao.
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Humphrey Polepole: Kuna majaribio ya kutaka kucheza na Haki yangu, watu wabaya wananitafuta

    Humphrey Polepole: Kuna majaribio yakutaka kucheza na Haki yangu, watu wabaya wananitafuta
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wetu kucheza ligi moja na Pacome, Mpanzu, Diara ni bahati kwao, tumieni ujuzi wao kushinda CHAN.

    Kuna uzoefu ambao wachezaji wetu wa ndani wangeweza kukutana nao kwa timu zetu kualika timu za kigeni au kushiriki mashindano ya CAF, lakini wachezaji wetu waishukuru TFF kuruhusu na timu zetu kusajili wachezaji wenye viwango vikubwa sana kama Pacome, Mpanzu, Diara, Camara, Aziz Ki, Sowah...
  6. Marcy

    JamiiForums Tanzania Macho kucheza ni ishara ya nini?

    Macho kucheza kulia au kushoto au mdomo upande wa juu huwa ni kiashiria cha nini? Mfano Unakuta mtu amekuja kufanya mazungumzo nami ghafla hizo hali zina anza hiyo inaashiria nin Au umekaa tu umetulia jicho linacheza je ni viashiria vya hali hatari
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba hawakumwelewa Ahmed Ally alipowaambia kesho ni mechi ya mwisho Simba kucheza nyumbani na Kagera Sugar, alimaanisha hivi

    Washabiki wa soka nchini ni mtihani mkubwa sana, wana uelewa mdogo sana wa mambo, juzi Ahmed Ally amewaambia washabiki wajazane na familia zao kuwaaga wachezaji kwa sababu itakuwa mechi ya mwisho kwao kucheza nyumbani, wengi wametafsiri kauli hii kuwa Simba inamaliza mechi kesho.La hasha...
  8. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania 5Imba mnajifanya mna mgomo wa kutocheza tarehe 25 June, kumbuka hata Ikulu hatuwaita kwa kucheza fainali Shirikisho

    Naona simba wameanza kunenepa kwa kumfunga Kengold leo ila wakumbuke June 25 lazima amalize ligi na Yanga,Na akijichetua haitwi Ikulu kupongezwa kucheza fainali Shirikisho. GENTAMYCINE Mshana Jr
  9. C

    JamiiForums Tanzania Hakuna upuuzi kama wa Simba kukubali kucheza kwa amri ya serikali,labda watwambie soka Tanzania ni mchezo wa kuigiza

    Ningekuwa kiongozi wa Simba,nisingekubali kupeleka timu uwanjani labda kama tunasingizia swala la kuonewa. Na kama viongozi wa Simba wanatumia propaganda kwamba eti tunaonewa na ukweli ni kwamba hatuonewi,basi hawafai kuwepo katika nafasi zao. Pale Kirumba tuliona kilichotokea hadi polisi kuja...
  10. Pdidy

    JamiiForums Tanzania MDA SI MREFU nimeota BODI ya ligi itajiuzulu na kuundwa BODI mpya na YANGA atatangaza kucheza Derby. ....

    Wapendwa SIJAWAHI kosea ndoto ZANGU Usiku waleonnimeota BODI ya Ligi itajiuzulu siku si nyingi kuanzia sasaaa Na taarifa za ndoto ZANGU zinasema Itaundea BODI mpya Na bAadae YANGA itatangaza kucheza derby Tar 15 jun Ft YANGA ATASHINDA na JUMLA ya magoli ft pande zotee n kuanzia 3+...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa faida ya soka letu Yanga Msikubali Kucheza

    Hii itasaidia sana kwa viongozi wa Tff na Bodi ya ligi kuzingatia kanunu na haki. Yanga msicheze
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Wachezaji wasio na Kiwango cha Kucheza NBC Premier League

    Baada ya jana Makolo kufungwa na kutupwa nje ya kombe la shirikisho. Ifuatayo ni orodha ya wachezaji wa Timu za ligi kuu wasio na kiwango cha kuchezea ligi kuu. 1. Ally Salim (Simba) 2. Chamou Karabou (Simba) 3. Che Fondoh Malone (Simba) 4. Lionel Ateba (Simba) 5. Steve Mukwala (Simba) 6. Joshua...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Yanga SC kucheza mechi ya kirafiki na Rayon Sports Juni 15 Kigali, yakataa mechi ya Dabi dhidi ya Simba

    Klabu ya Yanga SC ya Tanzania inatarajia kucheza mechi ya Kimataifa ya kirafiki dhidi ya Rayon Sports Juni 15, 2025 mchezo huo ukiwa unalenga kujenga uhusiano mzuri na klabu hiyo. Mchezo huo utachezwa Mjini Kigali, Rwanda. Kukubali mwaliko huo kwa Yanga kunathibitisha dhamira yao ya kukataa...
  14. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Yanga ndiyo timu pekee kuwahi kucheza fainali CAF uwanja wa Mkapa, Kwa maana nyingine uwanja wa Mkapa ulijengwa kwa ajili ya Yanga

    Kuna yeyote anayebisha? Kama timu yako imewahi kucheza fainali yoyote ya CAF katika dimba la Mkapa, nyoosha mkono juu. Vinginevyo kaa kimya. FT aggregate 1:3 😀
  15. Powder

    JamiiForums Tanzania Kipindi hiki Cha Mvua uwanja wa Mkapa haufai kucheza Mechi kubwa.

    Mimi nipo pamoja na CAF kuhusu kuuhamisha Mchezo wa Fanali kwenda Zanzibar. Kipindi hiki Cha Mvua uwanja wa Mkapa ukitumika dakika 10 tu za mwanzo, unakua sawa na Uwanja wa Sokoine huko Mbeya.
  16. ngara23

    JamiiForums Tanzania Yanga ndiyo platform ya wachezaji kucheza timu kubwa

    Yanga wamemuuza Aziz ki Kwa billion 2.5 kwenda Wydad Casablanca na atalipwa dollar 70,000 Kwa mwezi Aziz ki alinunuliwa kutoka Asec Mimosas Kwa kiasi cha Million 400, Aziz ki amecheza Yanga Kwa mafanikio makubwa Leo Yanga wametengeneza faida ya zaidi ya billion 2 Aziz ki anaenda kucheza...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba muache kujichanganya na kucheza na akili za mashabiki wenu!

    Mi nawashangaa sana Hawa viongozi wanavyojichanganya na kuweweseka utadhani wamekatwa vichwa! Nimeona barua inayotembea mtandaoni kwamba wameandika barua caf wakiomba mechi yao ya marudiano ichezwe Algeria na awataki kucheza Zanzibar! Nimejiuliza maswali mengi juu ya Hawa viongozi kama wako...
  18. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Nani anaweza kucheza namba ya Chamalone pale Simba?

    Naingia wasisi kwani Chamalone binafsi simwamini Tena maana anatusababishiaga magoli ya kizembe, yule jamaa aliyecheza alipokuwa majeruhi ni hatari sana mzee baba, hajasababisha tufungwe goli kizembe, kwanza pasi zake za uhakika kuliko Chamalone! Akicheza Chamalone kwa wale Waarabu kule...
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Haka ka Ally Kamwe kanatusaliti: Yanga ipo tayari kucheza na Simba Derby

    Naona ameona ujinga wake umeshafahamika. Haka kadogo hakana msimamo kabisa. Sasa hizi jersey zetu za hatuchezi tutazifanyaje? Kameshaanza kulegeza. Simba hawatajibu huo upuuzi.
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Hatuchezi FC, Kasongo anaomba mpeleki barua ya kugoma kucheza

Back
Top Bottom