kutongoza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ufalmedigital

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kutongoza ni talanta ya kuzaliwa nayo au ni skill inayoweza kujifunza?

    Watu wengi huamini kuwa kutongoza ni kitu cha kuzaliwa nacho — kwamba lazima uwe handsome sana, uwe na pesa nyingi, au ujue mistari migumu ya mapenzi. Lakini ukweli ni kwamba confidence, communication skills, psychology ya mawasiliano, na social skills vina mchango mkubwa zaidi kuliko watu wengi...
  2. ufalmedigital

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutongoza -Kujenga Uwezo wa Kuvutia na kuwa Confident

    Watu wengi wanafikiri kutongoza ni kuwa na pesa nyingi au kutumia mistari migumu ya mapenzi. Lakini ukweli ni kwamba uwezo wa kuvutia mtu unaanza kwenye confidence, mawasiliano mazuri, na namna unavyojiamini mbele ya wengine. Ndani ya makala hii kutoka ChuoSmart utaenda kujifunza mambo muhimu...
  3. Yaping Xi Laan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kweli kutongoza ngumu?

    Leo nimerusha vaibu kwa demu nnayemmaind.kanichenjia kinoma ameniambia nimkome. Hata nashindwa ni kiherehe gani ilinipeka kwake.saiv kan vuruga nimeamua nkanywe bia nitulize mawazo.
  4. Think2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umeshawahi kutongoza demu kama leo halafu kesho ukapiga mzigo

    Mimi hawa hua naendaga na tahadhari mapema kabisa tena navaa mbili kabisa Hua nafikiria hivi wangpi wamepita kama jana tu na leo kanipa mzigo? Wewe vipi mdau ulishawahi
  5. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Dodoma Julai 17, 2025

    Usiondoke JF Rais Samia Suluhu Hassan leo anazindua rasmi Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 hafla itakayofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma. Uzinduzi huo utafanyika wakati wa Mkutano wa Tatu wa Taifa wa Dira, na unatajwa kuwa ni tukio kubwa la kihistoria, likiwa ni mara ya...
  6. jamaikatz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini ukitongoza msichana/mwanamke unaye ishi nae mtaa mmoja anakukataa ?

    Katika harakati zangu za kujitafuta nimesha hamia mitaa mingi lakini kila ninapo hamia kwenye huo mtaa huwa nakutana na vibinti vingi + wanawake wengi pamoja na mishangazi , Ila kila nikijaribu kushusha swagga napigwa chini sasa huwa najiuliza shida nini , lakini nikienda Mitaa ya jirani ,huwa...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aisee nimekutana pisi kitaa nataka mbinu za kutongoza

    Katika pitapita na harakati za mtu mweusi nilibahatika kuona katoto kazuri kakishua,sikuchelewa nikachukua namba na hata nae vzr tu hadi saiv ila tatizo kukafungukia ndio kuna ugumu Nisaidieni mistari wakuu kabla hakajalala nikachane makavu
  8. Bodhichitta

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina Uraibu wa kutongoza

    salaam, hakika sio Kila ulevi husababishwa na pombe. nahisi Nina Uraibu wakutongoza kwakweli, yaani kama mwanamke sio ndugu yangu akijiweka karibu namimi lazima nimtongoze hata kama najua huyu sina Nia nae na sifanyi nae Chochote lakin ni lazima nimtongoze kwanza. akatae au akubali...
  9. Shuku_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, umewahi Kutongoza au kuishi kimwili na mwanamke mwenye JINSIA MBILI?

    Habari zenu wana MMU Nyie mlio wahi kuishi na mwanamke mwenye JINSIA MBILI (huntha) yaani ya kike na ya kiume kwa pamoja. Njoeni mtupe uzoefu.
  10. Kusini pride

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nielekezeni jinsi ya kutongoza wakuu

    Wakuu tafadhalini sana naombeni mnifundishe jinsi ya kutongoza wakuu maana kuna pisi moja ya kwenda wakuu na ni pisi ni unsubmissive woman na pia hii pisi nimelengeshewa na dadake tu ila sijajua njia ya kumuingilia aisee Hii pisi ni ya kwenda aisee yaani akikubali nataka kumuoa aisee kama...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi kutongoza msibani kwenye maombolezo inaruhusiwa?

    Kuna mwenye uzoefu juu ya jambo hili my friends, ladies and gentlemen? Au kuna mabadiliko ya kiutu na kibinadamu kwenye mambo haya siku hizi ?🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  12. Hivi punde

    JamiiForums Tanzania Fahamu ukweli kuhusu kurefusha uume

    Wanaume wengi wanatamani kuongeza urefu na upana wa maumbile yao ya uzazi, kutokana na kuathirika kisaikolojia kunakowafanya waamini mabadiliko hayo huongeza uwezo wa kumfikisha mwenza kileleni. Vilevile, wanaume hawa huamini maumbile hayo yanayoleta msisimko kupita kiasi wakiwa nayo...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Sitarudia kutongoza tena kwenye harusi

    Wazee basi, Jana katika Harakati nikiwa nimeenda kwenye sherehe mshikaji alikua anaoa Sherehe, ilifana sana basi kama kawaida nikawa napiga zangu bia meza yetu ilkua ni kreti la safari larger na kali moja Ikafika muda wakuu kibofu kikatingwa Ikabidi niende maliwato kupunguza acid, Nje...
  14. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kwa muda gani mrefu zaidi ulitumia kutongoza

    Kwetu rika la 30 na kuendelea sisi kipindi chetu kufukuzia miezi ilikuwa ni kawaida sana maana hakuna simu na kumfatilia ni kwa makadirio unajiweka njia anayopita waweza kesha hadi usiku hapiti kumbe yupo kwao. Nakumbuka niliwahi kukutana na binti flani haikuwa rahisi kumpata, nimeshawahi...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana mjifunze Kutongoza. Mmenisikitisha Sana kwa waliomfuata Binti Kimoso. Mbinu za kutongoza Mwanamke mtandaoni ni hizi;

    Habari za Jumapili! Hatukatai nanyi ni wanaume mnapenda wanawake wazuri Sana. Hatukatai wanaume tumeumbwa kuwajaribu wanawake kuona yaliyomo yamo na anamsimamo au Hana! Kama mwanaume kutongoza kupo damuni. Sisi Watibeli hatuzuii wake zetu au wachumba zetu kutongozwa kwa Sababu kuu mbili...
  16. Django Doer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi kutongoza demu mwenye muonekano wa kawaida akakukataa? Ulijisikiaje?

    Wakuu naombeni mnielezee kama imewahi kukutokea hii kitu yaani unajua kabisa kuwa hapa hachomoi ila ndo hivyo anakuchomolea alafu unakuta huyo huyo demu anamtongoza msela wa kawaida tu imewahi kukuta! Mi binafsi sijawahi maana nina ego kubwa 🤣.
  17. Muimba SINGELI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tusilaumiwe kwa kutongoza watu wetu wa karibu ( wanawake )

    Hongereni na poleni kwa pilika wakuu. Kwanza ukaribu ninaouzungumzia hapa ni kama vile, Shemeji, jirani, mpangaji mwenza, bosi, mfanya kazi, mangi unae muungisha, mteja anaekuungisha, boda boda nk. Kuna hii tabia ya wanawake kututangaza kwa watu, kukusema vibaya eti kwa sababu tu umemtongoza...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Burna Boy: Siwezi kutongoza Mwanamke wa Kiafrika, wananjaa sana, wanamtazama Mwanaume kama begi la hela

    ...." Dating a nigerian Girl is like adopting an Orphan"...... Burna Body amewachana Dada zake ndani na nje Nchi ya Nigeria kwa kuwaita wanahendekeza sana njaa na umaskini. Nyota huyo wa Mziki wa Kizazi kipya amesema pamoja na kwamba Wananwake wa Nje wanamuumiza kihisia bado anaona ni nafuu...
  19. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi wanaume walivyokwepa jukumu la msingi la kutongoza

    True story;
  20. fimboyaukwaju

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutongoza mwanamke

    Ubingwa wa kumtongoza mwanamke,ni sanaa nzuri mno,na kila mwanaume anapomtongoza mwanamke na mpaka anafanikiwa kunyanduana nae,anajisikua fakhari kubwa sana,vipi wanaumevwenzangu nyie mna maoni gani?
Back
Top Bottom