KMC Hospital, also known as Kasturba Medical College Hospital (Mangalore) is a hospital situated in Mangalore city of Karnataka in India. It has branches in the city near Jyothi Circle (Dr. B R Ambedkar Circle) and at Attavar respectively.
Mashindano ya Mpira wa Miguu kwa Team za Wanawake umri chini ya Miaka 17, Africa ya Mashariki na Kati kwa mwaka 2026 yanaendelea.
Leo Tanzania inakipiga na jirani Kenya.
Tanzania ilicheza ikampiga Sudani 10 kwa bila. Madogo wako vizuri.
Mwanadada Bahati anakipiga hatari, akaibuka WOM...
Mechi kati ya Simba na Dodoma Jiji inapigwa leo, Mei 24, 2026 kwenye uwanja Wa KMC, Simba inaingia kwenye mche huu ikiwa nyumba ya Yanga kwa pointi 2, Ikiwa na alama 55 ya pili kwenye msimamo huku Dodoma ikiwa na alama 33, na ya 8 kwenye msimamo.
Nani kuongeza alama? Ni moja au 3 acha tuone au...
Timu ya soka ya Yanga imefanikiwa kufunga magoli 3-0 dhidi ya Singida Big Stars
Magoli ya Yanga yalifungwa na Allan Okello (Star Boy) magoli mawili na Mudathir goli moja
Kwa ushindi huo Yanga wamerudi kileleni mwa ligi wakiwa na points 57, huku wakiwa wamebakiza mechi 6
===========
Leo tena...
Unangangania Derby kuchezewa kmc ukijua kabisa uwanja sio mzuri kwa sababu tu unataka tu kumkomoa timu fulani cha ajabu unapewa baraka na TFF
kabla ya week haijaisha unarudi tena TFF unalalamika uwanja ni mbovu wanakukubalia kumbuka week iliyopita walikukingia kifua kwamba uwanja ni mzuri swali...
Katika mchezo wa KMC dhidi ya Yanga, Shedrack Boka alifanya faulu ya wazi na ni penalty lakini kwakuwa refa kwa sababu alizo nazo pekee na woga kwa mashbiki wa Yanga akaamua kufunika na kusababisha KMC kukosa pointi moja na imewaadhiri sana.
Kuanzia msimu ujao tunaomba Mechi zote tutumie marefa...
Allan Okello amefunga goli pekee wakati timu yake ikiifunga KMC na hivyo kuendelea kuongoza kwa kufikisha pointi 51 kwenye michezo 21 katika msimamo wa Ligi Kuu Bara.
KMC imeendelea kuwa na hali mbaya kwa kuwa imebaki mkiani kwenye msimamo ikishika nafasi ya 16, ina pointi 9 katika mechi 21
Kiungo wa Young Africans SC, Mudathir Yahaya, atakosa mchezo wa dabi unaosubiriwa kwa hamu dhidi ya wapinzani wao wa jadi, Simba SC, baada ya kupewa adhabu ya kufungiwa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB).
Mudathir amefungiwa mechi tatu na kupigwa faini ya Shilingi milioni moja kufuatia tukio...
Mabingwa watetezi kunako ligi kuu Tanzania bars(NBC PL) watashuka dimbani leo saa moja usiku kupepetana na walima zabibu kutoka Dodoma. Je nani kuibuka na ushindi?
Kiongozi mkubwa wa KMC amedai kuwa wameamua kucheza mechi yao na simba Dar es salaaam katika uwanja wa KMC tofauti na walivyopanga awali kucheza mechi hiyo tabora kwakuwa simba wameingia fainali na wanataka wasiwachoshe simba ili wapate muda mzuri wa Kujiandaa na mechi ya Fainali.
Kitendo hicho...
Simba SC watashuka dimbani leo saa 10:00 jioni kuwavaa Mbeya City katika mchezo wa Robo Fainali ya CRDB Bank Federation Cup, ukitarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.
Mchezo huo utakuwa kipimo muhimu kwa Mnyama Simba SC ambao wanalenga kutinga hatua ya nusu fainali na kuweka rekodi ya kutwaa taji...
Leo Alhamisi inapigwa mechi ya CRDB Bank Federation Cup hatua ya 16 bora Simba SC VS Big Man FC
Saa 10:00 Jioni | 🔴 LIVE updates hapa
Vikosi vya timu zote
Mechi imeanza
1' Simba SC 0-0 Big Man FC
12' Milango bado migumu kwa kila timu
15' Goooooal (Joshua Mutale)
23' Simba wanalitafuta goli...
Kwa Tanzania kila Halmashauri ikiamua inaweza jenga kiwanja mfano wa kmc au singida Black stars kama wakiamua mfano Halmashauri ya ubungo, temeke, na kigamboni wanaweza kuwa na kiwanja kama kile
Viwanja hivyo vitaweza kukuza michezo ndani ya Halmashauri hizo na kuwa chanzo cha mapato kwa...
Kuna sehemu kuna kitu hakipo sawa.
Inawezekanaje siku ya kazi kama jana jumanne uwanja unajaa mashabiki eti kushuhudia derby ya kariakoo ya wanawake.
Huo ni muda wa kazi, ila Watanzania wakaamua kwenda kuujaza uwanja wa KMC. Muda huo ndio muda wa kwenda kutafuta pesa. Sisi ni nani aliyeturoga...
Mabingwa watetezi wa kombe la CRDB FEDERATION CUP, YOUNG AFRICANS SC watakuwa dimbani leo majira ya saa 10kamili jioni,wakimenyana vikali na Coastal Union ya Tanga.
Timu ipi kusonga hatua inayofuata katika mashindano haya?
Ambatana nami mwanzo hadi mwisho kukuletea updates/yanayojiri moja...
Diarra ni tapeli wa mpira mjanja mjanja anakwenda kuaibika mwisho wake umefika...ndio maana yule chikola alikuwa anachungulia mbali goli walilofunga KMC FC hata mtu mwenye chongo au aliyefungwa kitambaa cha macho hafungwi jamaa ni tapeli sana tuanze kumuhesabia siku jamaa wameweka shati golini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.