kishirikina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Je, hii inaweza kua ni kwa sababu za kisiasa, imani za kishirikina au ustaarabu?

    Tukiwa kwenye kampeni, walikuwepo wagombeaji wa kike na kiume. Katika baadhi ya maeneo huko vijijini, sehemu za kulala zilikua chache ukilinganisha na wingi wa wagombeaji na waongoza msafara. IIilazimu mahali fulani wagombea zaidi ya moja kulazimika kulala chumba kimoja. Na hii haikua tabu kwa...
  2. MKATA KIU

    Ujinga, maradhi, umaskini, imani za kishirikina na imani za kuamini dini za wakoloni ndio maadui wa Tanzania

    Hawa ndio maadui wa Taifa letu: 1. Ujinga 2. Maradhi 3. Umaskini 4. Imani za kishirikina yaani ( kuamini uchawi , waganga wa kienyeji na Maustaz wasoma Nyota na kutoa majini ) 5. Imani za Dini tulizolotewa na wakoloni ambazo ni ukristo na uislamu. Hawa watano ndio maadui wa kweli wa...
  3. Roving Journalist

    Mkurugenzi Rombo: Shule iliyoandikisha Wanafunzi Watatu hakuna imani za kishirikina ni maamuzi ya wazazi tu

    Baada ya kuripotiwa Shule ya Msingi ya Mlembea inayomilikiwa na Serikali katika Tarafa ya Mashati, Halmashauri ya Rombo Mkoani Kilimanjaro kuandikisha Wanafunzi watatu pekee kwa ajili ya Mwaka wa Masomo 2024, uffanuzi umetolewa. Awali imeelezwa kuwa baadhi ya sababu za na uhaba wa Wanafunzi ni...
  4. passion_amo1

    Watanzania msipoteze pesa kwa kuendelea kuamini imani za kishirikina. Ni upumbavu na umaskini wa kujitakia

    Habari za uzima wakuu? Kabla ya mwaka kuisha mwaka jana mwezi wa 11 rafiki yangu mmoja alinifata akaniambia passion ndugu yangu biashara kwa upande wangu sasa imekuwa haiendi kabisa, nimepokea ushauri kutoka kwa ndugu yangu mmoja kaniambia anipeleke kwa mtaalamu nikajisafishe. Nikamuuliza wewe...
  5. GoldDhahabu

    Watu kuoga hadharani ni utamaduni au imani ya kishirikina?

    Sijui kama na mikoa mingine ina watu wa wenye ujasiri huo!. Nimeshaona hayo zaidi ya mara moja Kanda ya Ziwa. Wakati fulani, nilikuwa nikienda sehemu fulani jijini Mwanza kwa gari la taasisi fulani. Hilo gari lilikuwa na watu wazima pamoja na wanafunzi wa shule fulani ya huko huko jijini...
  6. S

    Wabongo ni watu wajinga sana kifikra na wanaongozwa kwa imani potofu za kishirikina

    Za asubuhi wakubwa na wadogo, Mimi jamani humu ndani nishaongea sana kuhusu Mambo ya Imani, mambo ya dini, mambo ya kishirikina, mambo ya uchawi na mengineyo. Jamani ifike muda wabongo tubadilike. Tunaachwa nyuma sana, maendeleo yanaanza kifikra afu ndo ki fedha. Kama akili hazipo sawa hata...
  7. LIKUD

    Nilivyogeuza imani hii ya kishirikina kuwa fursa ya biashara na kutengeneza mamilioni

    Mtu mmoja mwenye hekima na busara aliwahi kusema there is a positive thing in every negative thing. Mwaka 2011 nilienda kijijini kwao na mama yangu mzazi (Homboza karibu na Chanika) Nilipanga kukaa kwa mwezi mzima. Nikiwa huko mishe zangu nyingi nilikuwa nazifanyia Chanika center. Nikiwa...
  8. Nyuki Mdogo

    Mambo yahusuyo ndege BUNDI na Jinsi anavyotumika Kishirikina

    BUNDI ANAVYOTUMIKA KATIKA UTAJIRI, NUKSI, NA USHRIKIANO WAKE NA WACHAWI Kwanza bundi ni ndege wa ajabu kidogo,anajitofautisha na ndege wengine kwa tabia zake ambazo kwa asilimia kubwa wanga wengi hupita anamopita yeye. Bundi anauwezo wa kuzungusha kichwa chake mara tatu kama vile unavyozungusha...
  9. Crocodiletooth

    Utajiri unaohusisha mambo yoyote ya kishirikina ni ubinafsi na pigo kwa vizazi vyako

    "Satan can't and never gives a free gift" Atakupa wewe muhitaji materialist faraja lakini he must bite back your family later days! Through my studies msaada wowote utolewao na shetani, aidha katika biashara zako, kazini kwako, kwa lengo la promotion au kupanda cheo au biashara itoke kwa nguvu...
  10. Izogi

    Nifanyeje, nahisi Mume wangu ameniwekea mtego wa kishirikina

    Salaam wapendwa. Niende direct kwenye hili suala linalonitatiza, mimi nimeolewa na huyu mumewangu tukiwa hatujuani sana kiundani wa tabia, yani hatujapitia Courtship before marriage. Kwasasa tumejaaliwa mtoto mmoja na tuna miaka miwili ya ndoa. Tatizo ni kwamba kila ninachofanya siku yangu...
  11. D

    Kikao cha kishirikina tunakaa leo jumapili, kupinga maji yasivuke mjini kabla ya wanakigamboni kusambaziwa

    Kigamboni hakuna maji ya bomba tangu Uhuru, neema ya kisima iliyopatikana inapelekwa mjini kabla ya wanakigamboni kupatiwa maji hayo kwanza! Malalamiko yamepelekwa kwa wahusika kwamba maji yasambazwe kigamboni kwanza kabla ya kupelekwa mjini, hawajatusikiliza! Tumeamua kufikisha ujumbe wetu...
  12. JanguKamaJangu

    Geita: Wanawake wadai kubakwa na mwanaume usiku kishirikina

    Wananchi wa Kijiji cha Bugando, Kata ya Nzera, wilayani Geita mkoani humo, wameiomba serikali ichunguze na kumtafuta mtu anayewaingilia usiku wananchi kwenye nyumba zao na kuwabaka hali inayopelekea kuishi kwa mashaka na kuhataraisha afya zao. Waathirika wa tukio hilo wanasema mtu huyo amekuwa...
  13. Sildenafil Citrate

    Tanzania ya pili Afrika kwa imani za kishirikina

    Tanzania imetajwa kuwa nchi ya pili Afrika katika kuamini ushirikina ikitanguliwa na Cameroon kutokana na ukubwa wa matukio yanayohusishwa na imani za kishirikina ikiwemo mauaji ya wazee 117 katika kipindi cha Julai 2017 hadi Mei 2018. Mauaji hayo ambayo yalihusisha wanaume 91 na wanawake 26...
  14. Roving Journalist

    Singida: Taarifa kuhusu Mauaji ya Wazee kwa imani za Kishirikina

    31 Machi, 2022, Dodoma Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya mauaji ya wazee watatu (Agnes Msengi miaka 84, Windila Saidi miaka 80 na Winfrida Gigila miaka 80) waliouwawa kwa kuchomwa moto na wanakijiji wenzao kwa kile kinachodaiwa kuwa wamekuwa wakishiriki vitendo vya kishirikina...
  15. John Haramba

    Tabora: Maiko Jacobo amuua baba yake kwa shoka kisa imani za kishirikina

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linamshikilia Maiko Jacobo mwenye umri wa miaka 25 mkazi wa Kijiji cha Upungu, Wilaya ya Nzega mkoani hapo kwa tuhuma ya kutenda kosa la kumuua baba yake mzazi mzee Jacobo Lubela mwenye umri wa miaka 88 baada ya kumvizia majira ya jioni akiwa nje ya nyumba yake na...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    Simba, vitendo vyenu vya kishirikina vinaharibu taswira ya soka la Tanzania

    This is Simba. Vitendo Kama hivi vinachefua na kuharibu taswira nzima ya soka la nchi yetu. Serikali ikemee vikali tabia hizi
  17. Mshana Jr

    Mazishi ya mtu hai kishirikina

    Wengi wetu wamefanyiwa mazishi wangali hai. Wapo hai lakini kiroho wamezikwa na wanateseka sana. Unapozikwa hai kishirikina unapoozwa na kufifishwa nyota yako. Unapozikwa hai kishikirina kinga zako za kiroho zinapungua nguvu hivyo hakuna rangi utaacha kuona. Vitu vyenye vinasaba nawe ni muhimu...
  18. Robidinyo

    Mzimu Nyangeta uliopo katika mji mdogo wenye mambo ya kishirikina na utajiri wa kishirikina uitwao Lamadi

    Nimefika pembeni kidogo ya haka kamji ka kibiashara nimekutana stori za kuogofya kuhusu ushirikina. Ni Mwezi uliopita kamanda Kova alidhuru kwenye haka kamji Kulikua na wimbi la watoto wa kike na akina mama kuuwa na viungo vyao kukatwa, kisha kuvipeleka kwa Waganga ili kujipatia utajiri Basi...
Back
Top Bottom