Wabongo ni watu wajinga sana kifikra na wanaongozwa kwa imani potofu za kishirikina

SimbaMpole123

JF-Expert Member
Apr 23, 2023
5,240
4,376
Za asubuhi wakubwa na wadogo,

Mimi jamani humu ndani nishaongea sana kuhusu Mambo ya Imani, mambo ya dini, mambo ya kishirikina, mambo ya uchawi na mengineyo. Jamani ifike muda wabongo tubadilike. Tunaachwa nyuma sana, maendeleo yanaanza kifikra afu ndo ki fedha. Kama akili hazipo sawa hata siku moja huwezi fanikiwa na kama una mali utaishia kuibiwa tu na kutapeliwa.

Uchawi jamani haupo, hizi zote ni Mila potofu za mababu zote ambao hawakuwa na ujuzi wowote wa kisayansi au kidunia. Ndo maana hata dini zilipata nafasi. Ni argument from ignorance, watu hawajui hata dunia linazunguka jua ndo unategemea tuwasikilize kwenye mambo ya dunia. Ni uwongo na ukosefu ya maarifa.
Kingine, mnaosema sijui umehadithiwa na bibi sijui mjomba sijui rafiki yako, kwa Nini uchawi uchague watu, kwa Nini watu wachache waone kitu ambacho ni halisi afu wengine wasione, 🤣Ndo ujue story tu hizi za uwongo.

Basi kuna wale wanasema Mara sijui nimelala nimeamka wapi, Mara barabarani nimeona nini, Mara nani kafa, Mara nimetokewa na bikira. Zote hizi ni hallucinations, siku hizi kila mtu ana simu, Kuna majengo yenye camera, matukio kibao yanaonekana na watu, why yako yasiwe yakuonekana. Ndo maana nasema elimu ni muhimu coz Mimi mwenyewe nimetokewa na jinamizi Ila nikafuatilia niagundua ni biological condition inaitwa sleep paralysis na ikinitokea siku hizi nachekelea tu siogopi.

Elimu ni muhimu jamani. Ifike mahali tuache hizi Imani potofu na fikra za kishirikina. Bac Kama ni Mungu aminini bac sawa haina shida Ila sio lazma uamini mauchawi kisa kwenye Bible Kuna uchawi hicho ni kitabu kimeandikwa na wasio na maarifa na inajulikana staki kwenda huko. Kuamini Mungu kaumba ulimwengu sio kwamba ndo uamini ana adui sijui wafuasi wa adui ndo mapepo kisa Yesu nooo..big no.

Mtumie logic katika maisha jamani coz wenzetu wanatengeneza dawa, chanjo, magari, ndege, meli, silaha coz Wanafanya tafiti na wanavumbua vitu sisi tumekaa tu hoo wale mashetani hoo wachawi tuache jamani. Tumeachwa nyuma Sana na wanazidi kutuibia coz tumekuwa wajinga tu.

Asanteni
 
Kuna mtu karudi bongo kutoka US, kakuta matatizo ya viwanja vya urithi (ukiritimba wa mambo ya serikali pamoja na migogoro ya kifamilia), mlinzi wa kiwanja kamwambia hawa tunaweza kuwatengeneza tu wasione chochote katika mafaili ya viwanja.

Yani tunataka kuroga kila kitu.

Ujinga mtupu.
 
Huyo mlinzi anayesema hawa tunaweza kuwatengeneza wasione chochote katika mafaili yeye hana shida na hiicho kiwanja?
Halafu unakuta hapo kavaa ndala moja ya kijani nyingine bluu.
 
Kuna mtu karudi bongo kutoka US, kakuta matatizo ya viwanja vya urithi (ukiritimba wa mambo ya serikali pamoja na migogoro ya kifamilia), mlinzi wa kiwanja kamwambia hawa tunaweza kuwatengeneza tu wasione chochote katika mafaili ya viwanja.

Yani tunataka kuroga kila kitu.

Ujinga mtupu.
🤣Yaani hizi story za watu nashangaa sana
 
Za asubuhi wakubwa na wadogo,

Mimi jamani humu ndani nishaongea sana kuhusu Mambo ya Imani, mambo ya dini, mambo ya kishirikina, mambo ya uchawi na mengineyo. Jamani ifike muda wabongo tubadilike. Tunaachwa nyuma sana, maendeleo yanaanza kifikra afu ndo ki fedha. Kama akili hazipo sawa hata siku moja huwezi fanikiwa na kama una mali utaishia kuibiwa tu na kutapeliwa.

Uchawi jamani haupo, hizi zote ni Mila potofu za mababu zote ambao hawakuwa na ujuzi wowote wa kisayansi au kidunia. Ndo maana hata dini zilipata nafasi. Ni argument from ignorance, watu hawajui hata dunia linazunguka jua ndo unategemea tuwasikilize kwenye mambo ya dunia. Ni uwongo na ukosefu ya maarifa.
Kingine, mnaosema sijui umehadithiwa na bibi sijui mjomba sijui rafiki yako, kwa Nini uchawi uchague watu, kwa Nini watu wachache waone kitu ambacho ni halisi afu wengine wasione, 🤣Ndo ujue story tu hizi za uwongo.

Basi kuna wale wanasema Mara sijui nimelala nimeamka wapi, Mara barabarani nimeona nini, Mara nani kafa, Mara nimetokewa na bikira. Zote hizi ni hallucinations, siku hizi kila mtu ana simu, Kuna majengo yenye camera, matukio kibao yanaonekana na watu, why yako yasiwe yakuonekana. Ndo maana nasema elimu ni muhimu coz Mimi mwenyewe nimetokewa na jinamizi Ila nikafuatilia niagundua ni biological condition inaitwa sleep paralysis na ikinitokea siku hizi nachekelea tu siogopi.

Elimu ni muhimu jamani. Ifike mahali tuache hizi Imani potofu na fikra za kishirikina. Bac Kama ni Mungu aminini bac sawa haina shida Ila sio lazma uamini mauchawi kisa kwenye Bible Kuna uchawi hicho ni kitabu kimeandikwa na wasio na maarifa na inajulikana staki kwenda huko. Kuamini Mungu kaumba ulimwengu sio kwamba ndo uamini ana adui sijui wafuasi wa adui ndo mapepo kisa Yesu nooo..big no.

Mtumie logic katika maisha jamani coz wenzetu wanatengeneza dawa, chanjo, magari, ndege, meli, silaha coz Wanafanya tafiti na wanavumbua vitu sisi tumekaa tu hoo wale mashetani hoo wachawi tuache jamani. Tumeachwa nyuma Sana na wanazidi kutuibia coz tumekuwa wajinga tu.

Asanteni
Unaharibu biashara zetu mkuu, Mkuu unataka waganga wa kienyeji tule wapi.
 
Kuna mtu karudi bongo kutoka US, kakuta matatizo ya viwanja vya urithi (ukiritimba wa mambo ya serikali pamoja na migogoro ya kifamilia), mlinzi wa kiwanja kamwambia hawa tunaweza kuwatengeneza tu wasione chochote katika mafaili ya viwanja.

Yani tunataka kuroga kila kitu.

Ujinga mtupu.
Huyo MTU ndo wewe
 
Hiyo sleep paralysis , utasikia kuna jitu lilikuja usiku likanikaba shingo ,nikama limekaa kifuani kwangu najaribu kuita ila sauti haitoki ,nikakemea shindwa katika jina la yesu ,shindwa katika jina la yesu , likaniachia nikaanza kusema asante yesu , asante yesu ,asante yesu ,
 
Mkuu mimi sijatimba magulu bongo miaka mingi sana, usijifanye unanijua kuliko ninavyojijua mwenyewe.

Na mimi kwetu nilishasema shughuli za mali za urithi sitaki kusikia, kwa sababu za kifalsafa. Watagawana wadogo zangu.

Umenielewa?
😁😁😁 nimekuelewa mkuu🙌🏽🙌🏽
 
Back
Top Bottom