imani za kishirikina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MKATA KIU

    Ujinga, maradhi, umaskini, imani za kishirikina na imani za kuamini dini za wakoloni ndio maadui wa Tanzania

    Hawa ndio maadui wa Taifa letu: 1. Ujinga 2. Maradhi 3. Umaskini 4. Imani za kishirikina yaani ( kuamini uchawi , waganga wa kienyeji na Maustaz wasoma Nyota na kutoa majini ) 5. Imani za Dini tulizolotewa na wakoloni ambazo ni ukristo na uislamu. Hawa watano ndio maadui wa kweli wa...
  2. Roving Journalist

    Mkurugenzi Rombo: Shule iliyoandikisha Wanafunzi Watatu hakuna imani za kishirikina ni maamuzi ya wazazi tu

    Baada ya kuripotiwa Shule ya Msingi ya Mlembea inayomilikiwa na Serikali katika Tarafa ya Mashati, Halmashauri ya Rombo Mkoani Kilimanjaro kuandikisha Wanafunzi watatu pekee kwa ajili ya Mwaka wa Masomo 2024, uffanuzi umetolewa. Awali imeelezwa kuwa baadhi ya sababu za na uhaba wa Wanafunzi ni...
  3. passion_amo1

    Watanzania msipoteze pesa kwa kuendelea kuamini imani za kishirikina. Ni upumbavu na umaskini wa kujitakia

    Habari za uzima wakuu? Kabla ya mwaka kuisha mwaka jana mwezi wa 11 rafiki yangu mmoja alinifata akaniambia passion ndugu yangu biashara kwa upande wangu sasa imekuwa haiendi kabisa, nimepokea ushauri kutoka kwa ndugu yangu mmoja kaniambia anipeleke kwa mtaalamu nikajisafishe. Nikamuuliza wewe...
  4. LIKUD

    Nilivyogeuza imani hii ya kishirikina kuwa fursa ya biashara na kutengeneza mamilioni

    Mtu mmoja mwenye hekima na busara aliwahi kusema there is a positive thing in every negative thing. Mwaka 2011 nilienda kijijini kwao na mama yangu mzazi (Homboza karibu na Chanika) Nilipanga kukaa kwa mwezi mzima. Nikiwa huko mishe zangu nyingi nilikuwa nazifanyia Chanika center. Nikiwa...
  5. Nyendo

    Mke ashirikiana na mume wake kumuua mama yake

    Jeshi la Polisi mkoa wa Geita linawashikilia Joyce Julius na Juma Charles (wanandoa), kwa tuhuma za kumuua mama mkwe wao Butamo Igionzela (70) ambaye ni mama mzazi wa Joyce mkazi wa Bungezi kata ya Ihanamilo wilayani Geita wakimtuhumu kumuua mtoto wao kwa njia ya kishirikina. Akiongea na...
Back
Top Bottom