Kikao cha kishirikina tunakaa leo jumapili, kupinga maji yasivuke mjini kabla ya wanakigamboni kusambaziwa

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,284
21,408
Kigamboni hakuna maji ya bomba tangu Uhuru, neema ya kisima iliyopatikana inapelekwa mjini kabla ya wanakigamboni kupatiwa maji hayo kwanza!

Malalamiko yamepelekwa kwa wahusika kwamba maji yasambazwe kigamboni kwanza kabla ya kupelekwa mjini, hawajatusikiliza!

Tumeamua kufikisha ujumbe wetu kwa wahusika kwa njia ya kishirikina!
Leo tunakutana usiku kufanya maadhimio yafuatayo.

1. Siku ya kuzindua maji yageuke vumbi yakifika mjini.
2. Mabomba ya maji hapo vijibweni mpakani yanayounganisha mjini na kigamboni siku wanawasha yatoke ardhini yasimame wima kama nguzo za umeme
3. Kiongozi atakayezindua maji yavuke mjini ajikojolee mfululizo had pale maji yatakazimwa n.k

Ushirikina siyo dhambi pale unapotumika kwa faida! Hatutanii

Updates
Kikao kiliisha vizuri, kwa kauli moja tulikubaliana hoja namba tatu ipewe kipaumbele!
IMG_20221029_152304_069.jpg
IMG_20221029_152304_069.jpg
 
Kule ludewa sehemu inaitwa mawengi walitengeneza umeme wa maji, sasa wakapeleka nguzo mjini pale kijjijini wakaacha hawakusambaza. Waliroga huo umeme kila wakiwasha hauwaki wakitest mpk kikao cha wazee wa kile kijiji walipoitwa. Haya mambo yapo.
Tushamaliza mchezo waache wazindue
 
Back
Top Bottom