mume wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Frank Wanjiru

    Shabiki wa Simba: Nilimbetia Mume wangu kwa Dada wa kazi kuwa Prisons ikiifunga Simba amchukue

    Dada mmoja ambaye ni Shabiki wa Simba aitwae Semeni amesema kuwa amevunja ndoa yake baada ya kumbetia mume wake Dada wa kazi endapo Prisons ikiifunga Simba amchukue Dada wa kazi awe mke wake. "Nilimbetia mume wangu kwa Dada wa kazi, nilipoona tumepata ushindi wa goli sita kwa bila kwa mechi...
  2. Jemima Mrembo

    Nina huzuni sana, mume wangu kaniaga anaenda Nairobi kikazi, nilipomfikisha Airport kasema nimdrop Terminal ll

    Jamani labda ni wivu umenizidi au labda ni umbumbumbu. Mume wangu wiki nzima amekuwa na maandalizi ya safari ya kikazi Nairobi. Tunapendana na kuheshimiana sana pia na kuaminiana. Leo alikuwa anaondoka na ndege ya alfajiri, nikampeleka airport, nilipokuwa nataka kuingia Terminal lll akasema...
  3. Money Penny

    Mume wangu hasimamishi, nifanyaje?!

    Haya mje sasa Naona kumekucha Haya MALALAMIKO nimeyapata Kwa dada alieolewa miezi 6 iliopita, kaolewa huko Kwa walokole Kisa kinaenda hivi Mlokole: Money penny me naumia Sana, huwezi amini tangu tuoane hatujawahi tembea pamoja kama MKE na mume Money penny: Nini mbaya mami?? Mlokole: Mume...
  4. Clepatina

    Mume wangu mtarajiwa ni mwanaume katili

    Ndugu zangu, Ijumaa iliyopita mume wangu mtarajiwa alileta watoto wake (wetu) walale kwangu ili Jumamosi nikawafanyie shopping ya mavazi. Jumamosi nikawawafanyia watoto wetu shopping hadi hela yote alonipa baba yao ikaaisha na baada ya kuridhika kuwa watoto wamepata nguo za kutosha nikaona sio...
  5. Nshuti divine muheto

    Mume wangu alizaa nje: Nimekuwa na chuki na kusababisha kuchepuka nje ya ndoa

    Miaka kadhaa iliyopita mume wangu alimtambulisha mtoto wa nje katika familia yake ni wa kiume alikuwa ni mtu wa furaha sana na kujisifu kuwa kapata mtoto wa kiume na ndugu zake walimpongeza hasa mtoto alifanana nae. Japo mimi nilibaki na maumivu, kwani nimezaa nae watoto wawili wa kike tuu...
  6. J

    Nimekuta SMS hizi kwenye simu ya zamani ya Mume wangu, sijazielewa naombeni mnisaidie mlioko kwenye Ndoa

    Habari, Mimi na mwenzangu tumeishi miaka kama 13 kwenye ndoa yetu na tumebarikiwa na kuwa na watoto 2. Niseme ukweli hatujawahi kukorofishaba au kugombana tunapendana sana. Sasa wiki mbili zilizopota kuna picha moja nilipigaga na mume wangu na watoto. Niliikumbuka nikamuuliza mume wangu kuhusu...
  7. Jemima Mrembo

    Kisa cha mume wangu na dili la mbwa

    Kisa hiki nimeshindwa nikiweke kwenye jukwaa gani haswa, sijui jukwaa la habari mchanganyiko, sijui jukwaa la uchumi na biashara au jukwaa la mapenzi? All in all let me drop it here. Kabla sijaolewa nilijiwekea nadhari kwamba nataka ñiolewe na Bwana mwenye akili, hata kama hana hela au wengine...
  8. D

    Evelyn: Nina sehemu za siri mbili. Moja kwa ajili ya mume wangu, nyingine kwa ajili ya kazi

    Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, wahenga walipata kunena. Mwanamama Evelyn Miller mwenye miaka 31, Mkazi wa nchini Austarilia amestaajabisha kwa kusema wazi kwamba amejaaliwa nyuchi mbili, zote zikifanya kazi kwa usahihi kabisa. Mlimbwende huyo mwenye mume na watoto wawili ni mchezaji...
  9. The Mafia

    Shemeji yangu na house girl walivyoua wanangu na mume wangu

    Wanangu hawakuwa boarding school. Baba yao mdogo na dada wa kazi ndio waliowafundisha ku SEX. Tuwaombeeni sana watoto wetu, Najuta kuwatoa muhanga watoto wangu kwa ajili ya kazi yangu. Niliolewa nikiwa na miaka 24. Mimi na mume wangu wote tulikuwa madaktari. Wote tulizingatia sana kazi na...
  10. Jemima Mrembo

    Mume wangu alishinda tuzo ya JF, karudi nyumbani na tuchips hatufiki hata kumi, na kamshikaki kamoja

    Yaani tangu alipoondoka saa 12 asubuhi kufuata zawadi yake ndio anaingia ndani muda huu, kalewa pomoni, anasema huko waliitiwa kula na kunywa. Lakini jirani yetu hapa naye alishinda hizo tuzo, naona karudi na mazaga kibao, na pilau naisikia ikinukia. Kweli mambo ya JF ni makubwa mno, hata tu...
  11. O

    Witness: Nilimsubiri mume wangu amalize kifungo cha miaka 30

    Wakati tunaelekea Siku ya Wanawake Duniani, Witness Mbangala (45) ni miongoni mwa wanawake waliopitia changamoto katika familia, lakini bado wakasimama imara kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa. “Safari ya maisha yangu imepitia changamoto nyingi, baadhi ya watu walinishauri niolewe na...
  12. Unique Flower

    Hii kitu naomba mnieleweshe

    Kitabu Cha Waefeso 5:31 BHN “Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili mmoja.” Sasa inakuwaje mwanaume ananiletea ndugu zake Tena inakuwaje kakiuka maandiko . Mnavyoooa mmeoa mje mkajenge familia yenu na mzae nampate watoto. Ila...
  13. Izogi

    Nifanyeje, nahisi Mume wangu ameniwekea mtego wa kishirikina

    Salaam wapendwa. Niende direct kwenye hili suala linalonitatiza, mimi nimeolewa na huyu mumewangu tukiwa hatujuani sana kiundani wa tabia, yani hatujapitia Courtship before marriage. Kwasasa tumejaaliwa mtoto mmoja na tuna miaka miwili ya ndoa. Tatizo ni kwamba kila ninachofanya siku yangu...
  14. HakiKwanza_2015

    Mume wangu hapendi ndugu zangu

    Habari wakuu, nahitaji ushauri, Mimi ni binti nimeolewa naishi na familia, mume wangu pamoja na mdogo wangu wa kike. Tatizo ni kwamba mume wangu amekuwa na kisirani sana juu ya huyu mdogo wangu wa kike. Kila anachofanya lazima mwanaume alalamike. Na wala sijawahi kuwa na mawazo labda...
  15. Jemima Mrembo

    Nimeuziwa mbwa maeneo ya Victoria, nilipomfikisha nyumbani mume wangu akasema eti sio mbwa ni fisi

    Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja. Nikavutiwa na puppy nikaenda naye nyumbani. Mume wangu alirudi akiwa amechoka na amepiga mambo yake, lakini nilimjulisha kuwa nimenunua mbwa. Asubuhi ya leo akaenda...
  16. Akili Unazo!

    Tulivyoachana aliniambia mtoto siyo wa kwangu, ameachwa tena anataka nimrudie

    TULIVYOACHANA ALINIAMBIA MTOTO SIYO WA KWANGU, AMEACHWA TENA ANATAKA NIMRUDIE. Dunia hii hawa Wanawake wamekuwa Vichaaa siyo Bure.... kaka nimekwama najitaji ushauli naomba nisaidie. "Nilikuwa na mpenzi wangu nilikuwa naishi nae ingawa tulikuwa bado hatujaoana ila tulikuwa tunaishi pamoja kama...
  17. M

    Ushauri: Mume wa mtu niliyezaa naye watoto watatu amefariki na ameacha mali nyingi, nifanyaje kudai haki za wanangu pasipo Mume wangu kujua?

    Ndoa yangu ina miaka 12 mimi na mume wangu hatuna shida, kabla ya mume wangu kuna mwanaume nilikua naye, alikua ni mume wa mtu, nilibeba mimba yake nilipomuambia akaikataa, Kwakuwa kupindi hicho ndiyo nilikua nimeanza mahusiano na mume wangu nilibambikizia mimba na akanioa. Baada ya kuolewa...
  18. GEM mama

    Nifanye nini Mume wangu aache pombe na sigara? Hakuwa hivyo zamani

    Yaaani zamani hakuwa hivyo alikuwa anakunywa kistaarabu ila sasa amekuwa mlevi ambae hataki hata kuoga yaana kama karogwa vile. Msaada nipate dawa au mawazo nijue cha kufanya maana ndoa imekuwa ngumu.
  19. D

    Shahidi wa nane kesi ya Sabaya: Mume wangu hakupigwa wala kunyang'anywa simu

    Katika muendelezo wa kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili, Shahidi wa nane wa Jamhuri dhidi ya Sabaya ameieleza mahakama kuwa hakumshuhudia mumewe akipigwa kama alivyoeleza. Pia, ameeleza bayana kuwa simu zake...
Back
Top Bottom