Utajiri unaohusisha mambo yoyote ya kishirikina ni ubinafsi na pigo kwa vizazi vyako

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,738
21,139
"Satan can't and never gives a free gift" Atakupa wewe muhitaji materialist faraja lakini he must bite back your family later days!

Through my studies msaada wowote utolewao na shetani, aidha katika biashara zako, kazini kwako, kwa lengo la promotion au kupanda cheo au biashara itoke kwa nguvu kubwa kina athari kubwa ya siku za usoni hasa kwa wanafamilia wa muhusika.

Usije ukashanga wewe mnufaika wa ushirikina ukasomesha mtoto mpaka Cambridge anapohitimu akaja kukataa kufanya kazi na akaanza kuvuta bangi kiasi cha kukushangaza mzazi, au hata akajakuwa mfanyaji wa mambo ya kukuaibisha mzazi ukakosa la kufanya.

All what we see other family kuchetuka kiajabu ajabu huwa inasababishwa na shetani katika kuja kudai ujira wake baada ya wewe Baba au mama kupatiwa kahiridhi pengine kenye herufi chache tu za Kiarabu.

Tunayaona mitaani!
 
Iyo ndo trick mpya anayokuja nayo Jambanoka,shetani,ibilisi bin Lucifer
No free gift to satanachiah he must bite you back, suala la Ubinafsi linaingia pale tunapotaka kuishi kifahari na kusahau hatima ya future ya vizazi vyetu, kibaya waganga hawana utaratibu wa kukuelezea impacts.
 
"Satan can't and never gives a free gift" Atakupa wewe muhitaji materialist faraja lakini he must bite back your family later days!

Through my studies msaada wowote utolewao na shetani, aidha katika biashara zako, kazini kwako, kwa lengo la promotion au kupanda cheo au biashara itoke kwa nguvu kubwa kina athari kubwa ya siku za usoni hasa kwa wanafamilia wa muhusika.

Usije ukashanga wewe mnufaika wa ushirikina ukasomesha mtoto mpaka Cambridge anapohitimu akaja kukataa kufanya kazi na akaanza kuvuta bangi kiasi cha kukushangaza mzazi, au hata akajakuwa mfanyaji wa mambo ya kukuaibisha mzazi ukakosa la kufanya.

All what we see other family kuchetuka kiajabu ajabu huwa inasababishwa na shetani katika kuja kudai ujira wake baada ya wewe Baba au mama kupatiwa kahiridhi pengine kenye herufi chache tu za Kiarabu.

Tunayaona mitaani!
Afadhali watu wajue hili!
 
"Afadhali muendelee kudanganyana hivo hivo Ili wachache wajasiri tuzidi kufaidika"

Note the quatation marks
 
Back
Top Bottom