https://youtube.com/shorts/EeJ0AHAKwSU?si=PQTa1IHifdwM32E4
Uchaguzi wa wizi umefanya misaada mingi na wawekezaji kutoka nchi zinazojali demokrasia umepungua au kukatwa kabisa.
Sasa analaumu wengine kwa ubinafsi wake wa utekaji, wizi wa kura, undungu, uzanzibari, ufisadi, unyanyasaji wa vyama...
Dini, kabila, kanda, rangi na asili ya mtu ni sehemu muhimu ya utambulisho na maisha ya watu wengi. Tofauti hizi zimekuwa na nafasi kubwa katika kujenga maadili, tamaduni, mshikamano, huruma na uwajibikaji ndani ya jamii. Tanzania ni taifa lenye utajiri mkubwa wa utofauti wa kijamii na...
Cha kwake kwake na cha kwangu anataka tukimiliki wote.....akiwa ameshiba atatoa kashfa na kejeli kama zote, na akiwa na njaa anajifanya mpole na kuongea sauti ya huruma, ukimpa msaada ni wiki moja moja tu anasahau kila kitu..
"Utamsikia akiongea yaani sijui siku nikiugua nani atanisaidia"...
Ubinafsi umevuruga familia nyingi, Taasisi mbalimbali zikiwemo za watu binafsi, makanisa na serikali.
Ubinafsi sasa unaharibu Taifa.
Ghorofa imezungukwa na vibanda, viongozi wasio na weledi kwani waliwekwa kwa vimemo.
Baadhi ya watu wanadhani fursa za huu utalii tena wa mikoa mingine unatakiwa kunufaisha kwao tu
Ni vita kubwa sana hii, kwa sasa tunasikia milio kila muda panaposikika habari za ujenzi wa uwanja na imeonyesha haijaanza leo bali ni ya muda mrefu sana kupiga sabotage uwanja huu, ila kwa sasa...
arusha
biashara
habari
hawapendi
hawataki
kelele
kiwanja
kufanya
kujengwa
kuona
kusikia
maeneo
maslahi
miaka
namna
ndugu
sababu
sababu za
sabotage
sana
serengeti
ubinafsi
ujenzi
ujenzi wa uwanja
uwanja
wabinafsi
wabunge
wanaopinga
wao
zao
Wizi wa kijinga wa kura umeharibu mahusiano ya watanzania wenyewe kwa wenyewe , majirani zetu kama Kenya, nchi za south Africa. Lakini imeharibu mahusiano na wadau wanao tusaidia kwenye afya, barabara, na uwekezaji. Kwasasa mfano hakuna visa tena zinatoka kwa wafanyabiashara wetu kwenda Marekani...
Wadau naomba ushauri wenu.
Nimekutana na mwanamke ambaye kiukweli yuko vizuri kifedha kuliko mimi. Tatizo linalonichanganya ni kwamba ana tabia ya kujiangalia yeye tu na wakati mwingine anaonesha dharau kidogo.
Nina interest naye na natamani kuingia naye kwenye mahusiano, lakini najiuliza:
Je...
Ubinafsi sio kuwa mchoyo tu, hata ile hali ya kutanguliza sana watu mnaofanana kabila kuna element za ubinafsi
WASUKUMA - Sehemu unayoweza kwenda hata ukiwa mgeni na ukapewa ushirikiano kwenye fursa, ila hapa nigusie kidogo hawa ni wasukuma wa Shinyanga, Geita, vijiji Mwanza na maendo ya...
Naamini hilo bila shaka Mtwara ndiyo ilipaswa kuwa makao makuu ya nchi hii na business center kwa nchi hii ila tu uroho,ubinafsi na chuki ya viongozi wa nchii hii kutokana na ukanda wao tu hivi kitu gani ambacho kwenye nchii hii Mtwara hakuna madini mtwara yapo,eneo la Bahari lenye kina kirefu...
kuna nguvu ya ajabu kwenye kufanya mambo kimya kimya_
Jifunze kuwa mbinafsi kwa njia sahihi. Kuwa mbinafsi sio ubaya – ni ulinzi wa ndoto zako. Ni kukataa kupoteza muda kwenye kelele za watu wasiokujenga. Ni kusema ‘hapana’ kwa vishawishi vinavyokuondoa kwenye mstari wa ndoto zako. Ni kuchagua...
Wala usijichoshe, hakuna.
Ushawahi jiuliza kwanini wanawake wanachukiana na kusengenyana?
Ni kwa sababu mtu pekee wa kuweza kumuelewa mwanamke hapa duniani ni mwanamke mwenzake ndio maana wanachukiana.
ukiangalia hii dhana ya mradi wa DART utaona ni dhana sahihi kutatua tatizo kubwa la usafiri wa umma katika jiji la Dsr es Salaam. Dhana ya bus transit sio ya zamani imeanza mwishoni mwa miaka ya 1990. Miji ya kwanza kujengwa rapit transit ilikua kule amerika ya kusini Curitiba Brazil na Bogota...
Yule Kiongozi msemaji wa Dolla Chama , CPA Makala aka Kipara ,ametoa Rai ya kikao Cha wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM kitakachofanyika online kuhusu marekebisho madogo ya Katiba ya CCM kutokana na Malalamiko ya rafu na Rushwa katika kuteua wagombea alizoziweka Samia (kanuni zinazolalamikiwa...
Humphrey Polepole amewajibu wanaomuita kuwa yeye ni msaliti kwa kuhoji kati ya yeye na yule anayevunja desturi na utaratibu ili kujipatia uhalali binafsi.
Ubinafsi na Uchama wa Kikwete umechangia Tanzania kufika hapa majangani. Anachojali ni familia yake, marafiki zake na wapambe. Bila huyu mddudu tungekuwa na katiba mpya, mifumo imara ya mahakama na bunge la wananchi. Sasa tumejaza wala rushwa, mahakama ya kisiasa na bunge butu!!!!
Bill Gates ameamua kuwa atagawa utajiri wake wote wa dola bilioni 200 (Trilioni 600) kwa watu masikini hasa wa afrika kabla hajafa, ningependa kuwashauri matajiri wa kwetu hapa tanzania pia kugawa utajiri wao wote kwa masikini kabla hawajafa ili kuleta usawa kwa wanyonge, maana tangia JPM afe...
Wakuu
Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza anaandika kupitia ukurasa wake wa Facebook
==
Huu ni mwaka wa uchaguzi. Tamaa ya madaraka ndani ya CCM ni kama yote. Ubinafsi ndani ya upinzani ni kama wote. Nani mwathirika wa hali hii?
Mwathirika wa kwanza ni nchi/taifa. Tutakosa uwajibikaji (checks...
Kuna watu wenye akili ndogo mlikuwa mnasema Mbowe anaisapoti Chadema kupitia hela zake za Biashara .
Ila Lissu alihoji je ikiwa Ana hela za biashara ni biashara gani hizp ambazo hazina jina.
Ni vichekesho Sana wakuu nadhani mmeshajua aina gani ya biashara alikuwa anaifanya na wapi alikuwa...
Ni ajabu sana kuona kizazi kinachojiona "kimeamka" kikikumbatia falsafa ya ubachela kana kwamba ni mafanikio ya juu kabisa ya maisha. Team Kataa Ndoa wamechagua njia rahisi ya kuepuka majukumu, wakijificha nyuma ya visingizio vya uhuru, starehe, na "kupambana kivyao."
Je, kweli wana akili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.