master

MASTER (Mobile Astronomical System of Telescope-Robots) is a Russian network of automated telescopes in five Russian cities, and in South Africa, Argentina and the Canary Islands. It is intended to react quickly to reports of transient astronomical events. It started its development in 2002 and it is in fully autonomous operations since 2011.On 17 August 2017, an autonomous MASTER telescope in Argentina successfully recorded a collision of neutron stars some 130 million light-years away.

View More On Wikipedia.org
  1. daizouh

    Chuo Gani Tanzania kinatoa Master degree in electrical engineering by coursework and dissertation

    Jamani nahitaji kujua chuo kilichopo Tanzania kinachotoa master degree in electrical engineering by coursework and dissertation
  2. Jamii Opportunities

    Assistant tutor II – Master Fisherman(re-advertised) at FETA April, 2024

    POST ASSISTANT TUTOR II – MASTER FISHERMAN(RE-ADVERTISED) – 1 POST EMPLOYER Wakala wa Elimu na Mafunzo ya Uvuvi DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To teach programs up to NTA level 4 and may assist teaching in higher NTA levels; ii. To prepare learning resources for practical exercises; iii. To...
  3. mwehu ndama

    Shikamoo master tactics "Gamond"

    Binafsi sare ya 0-0 dhidi ya timu ya wachambuzi (Ubuntu botho) sio matokeo niliyokuwa nikiyataka sababu niliamini Yanga sc, tulikuwa na nafasi ya kushinda huu mchezo kibabe, tena katika style ya soka la kisiasa, söka la malengo na sio kukimbia kimbia tu kama kondoo aliyekatwa kichwa "kibu...
  4. kayanda01

    Brake Master Cylinder: mafuta ya brake kuvujia kwenye booster housing. Nini tatizo? Nini tiba?

    Brake fluid kuvujia onto brake booster housing... yaani kwenye makutano ya Master Cylinder na Booster panavuja mpaka rangi ya booster housing imemenyeka (booster paint peeling off) coz of such fluid leakage. Master Cylinder iliyopo sasa iliwekwa mwaka jana November, tuliweka used ya Japan...
  5. Mwl.RCT

    The Hidden Path to Power: Why Outshining the Master Isn't What You Think

    The 48 Laws of Power by Robert Greene INTRODUCTION Who is this book for? This book transcends mere ambition; Greene's Laws offer insights into power dynamics applicable to various life aspects. About the author American author Robert Greene penned five international bestsellers, his...
  6. Mechanical

    Natafuta nyumba au chumba kiwe master

    Natafuta chumba au nyumba iwe master, eneo la Makongo Juu karibu na sheli ya Oryx au iwe mbali kidogo na sheli hiyo lakin upatikanaji wa usafiri uwe ni wa huakika kwenye barabara inayopita katka sheli hiyo. Namba zangu 0713342243
  7. M

    Master Jay achukizwa na wanaopiga picha misibani

    Mtayarishaji mkongwe wa muziki, Master Jay awavaa baadhi ya watu wenye tabia ya kwenda misibani na kuanza kupiga picha na ku-shoot videos kisha ku-post kwenye mitandao yao ya kijamii. Kupitia andiko lake ameonesha kutofurahishwa na tabia hiyo kwa kuhoji; "Hivi mnaoenda kwenye misiba na kuanza...
  8. sinza pazuri

    Hakuna ubishi, S2kizzy ni producer bora kuzidi mkongwe Master Jay

    S2kizzy aka Zombie ni producer mkali kuliko Master Jay. Zombie ambaye ni Grammy nominated mara kadhaa na kafanya nyimbo ambazo ana international hits kuzidi Master Jay ambaye alikuwa akimiliki studio ya MJ production ambayo alitumia wataalam wa kutengeneza muziki kama Maron linje, Profesa...
  9. M

    Master Jay: Diamond hamfikii Alikiba kwenye uimbaji

    Producer wa muziki wa Bongofleva Master Jay, amesema kuwa Diamond hawezi kumfikia Alikiba kwenye uimbaji wa muziki. Akiwa anafanya mahojiano na East Africa Radio Master Jay amesema, “Alikiba ni muimbaji bora na Diamond ni mburudishaji bora. Watu wabishe vile wanataka ila mimi ndio nimeongea...
  10. M

    Master Jay: Wasanii wa Kenya wanajua kuimba kuliko wasanii wa Tanzania

    Producer mkali kuwahi kutokea na Jaji wa mashindano ya kuimba Tanzania Master Jay, amesema kuwa wasanii wa Tanzania ni waburudishaji na sio waimbaji wazuri kama wasanii wa nchini Kenya. Akiwa anafanya mahojiano na East Africa Radio Master Jay amesema, “Kitu ninachojivunia ni kwamba...
  11. kidonto

    TANZIA: Producer Geof Master.

    TANZIA. Pichani ni Producer wa Muziki Tanzaniq, alipozaliwa Wazazi wake walimwita Geofrey Batista Msumule, baadye alipoanza kazi za Muziki alijiita Geof Master, na pale studio ya Tongwe Rec ambapo ndo alikua akifanya kazi zake walikua wakimuita Manuva, wakimaanisha mtu mwenye Maujanja flani...
  12. O

    Airtel money master card

    Je kila MTU ana experience ratizo hili? Ukitaka kuangalia taarifa za kadi au kutengeza mpya kuna ujumbe napokea ona Toka juzi, nimeshindwa kununua bidhaa, nambieni Voda kukoje nizame maana ni haraka oda isije fungwa
  13. K

    TANZIA Taarifa za kusikitisha msiba wa producer Geof Master, alitayarisha wimbo wa 'Zimbabwe' wa Roma Mkatoliki

    Habari wanaburudani, nimepokea taarifa za kusikitisha za msiba wa Producer Geof Master muda huu. Naambiwa alikua kalazwa Ocean road. Mara ya mwisho kuonana nae mitaa ya Tegeta alikuwa na uvimbe puani na alikuwa kwenye harakati za kufanyiwa upasuaji. Naambiwa leo asubuhi amefariki. Mama yake...
  14. chiembe

    Haji Manara aonekana studio za Master Jay, anatoa wimbo kumjibu Dulla Makabila

    Haji Manara ameonekana mitaa ya MJ records akiwa katika tafakari kubwa, akiingia studio na kutoka. Tetesi zinasema anajiandaa kutoa wimbo kumjibu Dulla Makabila. Habari zinasema kwamba ubishi mkubwa ni kuhusu sauti na kutembea na biti. Hivyo kila mara alikuwa akiondolewa studio aende nje...
  15. Stephano Mgendanyi

    Waziri Bashungwa: Serikali Kuja na Master Plan ya Miundombinu

    Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi inaandaa Mpango Mkuu (Master Plan) wa Miundombinu ya nchi kulingana na mahitaji ya kiuchumi na kijamii itakayowezesha kurahisisha usafiri na usafrishaji kulingana na ongezeko la watu nchini. Mpango huo utaangazia mtandao wa barabara wa nchi nzima kupitia Wakala...
  16. tpaul

    Master J: 99% ya wasanii wa bongo ni 'mateja'

    Mtayarishaji maarufu wa muziki nchini Tanzania ambaye pia ni mchambuzi wa muziki kupitia show ya Bongo Star Search, ndugu Joakim Kimaro, maarufu kama Master J, amekiri kuwa 99% ya wasanii hapa nchini wanatumia bangi ndio maana wanapenda kuimba nyimbo zinazohamasisha ngono, uhalifu na matumizi ya...
  17. S

    Master in Computer Security online

    Wanajamvi habari za leo, nataka kufanya Masters in Computer security online, nimepata collage moja ipo spain inaitwa tech technological university, wapo nchini spain na wamekuwa wakinipigia simu mara kwa mara ili nijiunge nao. Sasa kabla sijafikia maamuzi naomba ushauri kwenye hili jambo kama...
  18. Nkobe

    Ni jambo la ajabu kuona mtu mweusi anaumia kisa slave master wanauana huko Israel na Palestina

    Kama kuna jamii ya watu wa ajabu ni Waafrica, ukitizama mitandaoni utaona namna gani watu wako busy kuitetea Izrael na Palestina, watu wanakosa usingizi kutetea SLAVE MASTER wao. Kwa kifupi kama umepata nafasi ya kuisoma vizuri historia ya Africa juu ya biashara ya utumwa ambayo imefanywa na...
  19. Ahmet

    Master of Arts with Education (Geography Stream)

    Habari wanajamii forums Naomba kama Kuna mtu anaifahamu vizuri programu tajwa hapo juu anipe ujuzi kidogo maana nimekuwa interested kuisoma. Nimeona inatolewa DUCE, MUCE na sasa MUM nako wameanza kuifundisha. -je chuo kipi ni kuzuri kuisoma hiyo program? -usomaje wake ni wa namna gani katika...
  20. la la land

    Natafuta Clutch master cylinder ya Massey Ferguson 3085

    Wakuu, msaada tafadhali. Natafuta Clutch Master Cylinder ya Massey Ferguson 3085
Back
Top Bottom