Ni mbinu gani za kusoma sheria na kufaulu katika Chuo Kikuu Huria

ngilo one

New Member
Dec 31, 2018
4
2
Natumaini ni buheri wa afya ndugu zangu katika jukwaa la elimu. Mimi ni mhitimu wa Stashahada ya Utunzaji wa Kumbumbu, Nyaraka na usimamizi wa Taarifa katika chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere nchini Tanzania.

Baada ya kumaliza kozi tajwa binafsi nimekuwa nikivutiwa na masomo ya sheria kwa ngazi ya degree hivyo naomba ushauri yakinifu kuhusu namna ya kusoma degree ya sheria katika chuo Kikuu huria (Open University), ikiwa ni pamoja na mbinu mahsusi za kuweza kumudu stadi za fani ya sheria. Nawasilishwa kwenu ndugu wanajamii katika jukwaa la elimu.

SHERIA.png
 
Back
Top Bottom