Wakuu salama,
Kuna hili suala limekuwa likinitofautisha sana mawazo na marafiki zangu, nikaona si vibaya tukaleta hapa jukwaani ili tupate uzoefu wa pamoja na kubadilishana mawazo.
Wote tunajua kuwa urafiki wa dhati ndio msingi mkuu wa mahusiano yoyote imara ya kimapenzi yanayodumu. Lakini...
Biashara ya vifungashio ni miongoni mwa fursa zinazokua kwa kasi nchini Tanzania. Ukuaji wa viwanda vidogo na vya kati (SMEs), pamoja na ongezeko la wajasiriamali wanaozalisha vyakula, vinywaji, vipodozi na bidhaa za matumizi ya nyumbani, umeongeza kwa kiasi kikubwa mahitaji ya vifungashio bora...
Butcher inaweza kuanza na mtaji mdogo, lakini bila eneo sahihi, usafi, nyama bora na huduma nzuri kwa wateja—unaweza kuuza kila siku lakini bado usipate faida unayoitarajia.
Biashara ya butcher ni miongoni mwa biashara zenye uhitaji wa kila siku kwa sababu nyama ni bidhaa inayotumiwa na...
Fikiria kijana anayemaliza shule, anapata kazi inayohitaji awe na driving licence, au mfanyabiashara anayehitaji dereva mwenye uwezo mzuri wa kuendesha gari.
Kitu cha kwanza anachotafuta ni Driving School yenye uaminifu, walimu wazuri, magari salama na inayoweza kumsaidia kujifunza kuendesha...
Wakuu,
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, ameeleza kuwepo kwa vikundi vilivyopangwa mtandaoni vinavyoshambulia watu na kuvuruga utamaduni wa uaminifu, huku akihoji sababu za watu hao kuachwa bila kukemewa.
Dkt. Kitima alibainisha hayo hivi...
Msanii wa bongo fleva Ben Pol ameanika mambo matatu kwenye account yake ya Instagram ambayo ukiyaona hauna budi uachane na hayo mahusiano
1. Kila unapompanga unaetaka kuwa nae kwenye mahusiano ukutane nae anakuambia Yuko busy bila kukupa alternative mfano umempanga ukutane jumamosi alafu...
Hili ni funzo kubwa sana katika maisha, kama kuna mtu kakuzidi uwezo nyoosha mikono kubali kwamba amebalikiwa. Badala ya kuanzisha ligi naye, jifunze kupitia kwake ili nawe uwe bora zaidi
wazo hili limenijia baada ya safari yangu ya kusini mwa tanzanina kuona uwanda mkubwa usio na makazi ya watu wala hifadhi, ni pori kubwa maelfu ya heka yasio tumika kwa namna yoyote.
Wazo lika nijia, kama kipindi kile cha mwalimu nyerere kulianzishwa vijiji na mashamba ya ujamaa kwa nini sasa...
Kama unahitaji kuanzisha Blogu/Wordpress mpaka kupata Google Adsense akaunti nicheki, Nina uzoefu na nitakusaidia kusajili jina la blogu na Domain Yako, kupata akaunti ya Google AdSense na n.k. Nipigie WhatsApp/sms/call +255 670929424
Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, ametangaza kuanzisha chama chake cha kisiasa, hatua inayotafsiriwa kama kujitenga na Pastef, chama kilichomfikisha madarakani kwa ushirikiano na mshirika wake wa muda mrefu, Ousmane Sonko.
Akizungumza Ijumaa katika mkutano na mameya kutoka maeneo...
Elimu ya sheria: Kuhusu
namna ya kufanya biashara yako iwe rasmi na inayoaminika kwa kufuata taratibu za kisheria.
Kama unataka biashara yako iwe rasmi na ilindwe kisheria nchini Tanzania, fuata hatua hizi:
1: Chagua wazo la biashara. Tambua unataka kuuza nini au kutoa huduma gani.
2: Chagua...
Kama watu wanataka kuanzisha taasisi ya atheists nchini kupigania au kufanya harakati mbalimbali za kutetea maslahi ya atheists nchini wanatakiwa kufuata utaratibu gani na watasajiliwa usajili sawa na makanisa au taasisi za kidini?
Wakuu salama,
Mimi ni mwanachama wa muda mrefu hapa JamiiForums (JF). Leo nimekaa na kutafakari kwa kina sana kuhusu mchango wetu sisi watumiaji katika kuuendesha, kuukuza, na kuuongezea thamani mtandao huu unaopendwa zaidi nchini.
Nimekuja na hoja moja ya msingi: Ni wakati sasa kwa uongozi wa...
Habari,
Kwa muda sasa tangu nimehitimu chuo Kikuu nimekuwa na ndoto ya kuanzisha na kumiliki shule ya Awali na Msingi japo kuwa tangu nimalize chuo mwaka 2018 sijafanikiwa kupata ajira hivyo nimekuwa nikijiajiri mwenyewe kupitia kituo Cha Masomo ya ziada ( Tuition Center) na Chekechea.
Je Kuna...
Nimetoboka hela ndefu kwa huyu mdada kiasi kwamba hata akinitext kunisalimia bado nakumbuka gharama zangu na kulinganisha nae hata haviendani.
Nimekodi lodge ya gharama vyakula vya gharama na matembezi ya sehemu za VIP kwa pisi ya kawaida sana. Sasa najiuliza hayo yote niliofanya ni kwa ajili...
Meta Imeweka Mkazo Zaidi Kwenye Huduma za Kulipia (Subscriptions)
Siku ya Jumatano, kampuni hiyo kubwa ya mitandao ya kijamii ilitangaza kuwa inazindua rasmi huduma zake za kulipia kwa watumiaji wa kawaida duniani kote kwenye programu zake kuu za Instagram, Facebook, na WhatsApp. Pia, imeanza...
Makanisa yanayohimiza elimu, maadili na maendeleo yamekuwa nguzo muhimu kwa jamii nyingi.
hapa kwetu ukifuatilia jamii zilizoendelea, basi nyuma yake kuna Roman Catholic, Lutheran, Moravian, n.k.
Lakini pale dini inapogeuzwa sehemu ya kulinda matapeli, kuhubiri ujinga au kuwanyonya wananchi...
cancer
elimu
gongo
hata
hatuna
haya
jamii
janga
kagame
kanisa
kipaumbele
kuanzisha
kubwa
kupitia
kuweka
maendeleo
makanisa
matapeli
mbele
mchungaji
nyingi
taifa
Zanzibar iko katika mazungumzo na wawekezaji, ikiwa ni sehemu ya hatua zake za kuanzisha shirika la ndege la kitaifa. Mpango huu unaonekana kama hatua ya kimkakati ya kuboresha miundombinu ya usafiri wa anga na kukuza sekta ya utalii visiwani humo.
Akizungumza katika kikao cha Baraza la...
mtu ameamka na stress za chuki dhidi ya israel, so ili kuituliza nafsi yake ngoja atunge stori ambayo haina accuracy yoyote na picha za AI kuonesha operation kabambe za uongo😁
Point yangu kubwa kuna matango pori mengi sana humu JF na watu wanaishia kuwa mis-informed.
Itengenezwe community...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.