DOKEZO Je, Chuo cha Tabora Polytechnic kilichopo Tabora mjini kimeuziwa taarifa za wanafunzi na Ndono Sekondari?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,194
4,113
Wazazi wa Wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne 2023 wamepokea ujumbe mfupi wenye taarifa halisi za Watoto kutoka Chuo cha Tabora Polytechnic kilichopo Tabora Mjini.

Ujumbe huo ulisomeka kuwa,
Mkuu wa chuo cha Tabora Polytechnic kilichopo Tabora Mjini anakutangazia nafasi za masomo mzazi wa ......... Mwenye namba ........2023 katika kozi zifuatazo( kozi zimeorodheshwa kulingana na mchepuo aliofaulu mtoto husika kama ni Art au Science)
Screenshot_20240327_125915_Messages.jpg

Mara baada ya mmoja wa watu wangu wa karibu kupata ujumbe huo, alishtuka kwani hajawahi kuwasiliana na hicho chuo kwa namna yoyote kwamba watakuwa wamepata namba za simu kutoka kwake mwenyewe.

Ndipo alipochukua hatua za kumtafuta mzazi wa aliyekuwa rafiki wa mwanaye shuleni hapo ili kuona kama naye katumia ujumbe huo. Mzazi huyo alithibitisha kuwa naye katumiwa ujumbe kama huo kwa jina la Mwanaye.

Akaamua kupiga namba inayoonekana kwenye ujumbe ili ahoji wamepata wapi namba ya simu ya mzazi wa mtoto husika, majina matatu na namba sahihi ya mtihani ya mtoto huyo.

Ndipo alipojibiwa kuwa kuna mawakala ambao huzunguka mashuleni, kukusanya/ kununua taarifa hizo za wanafunzi na kuwauzia wao hapo chuoni kupit8a Mkuu wa chuo, kisha wao huwatumia wazazi wa watoto jumbe za kiwajulisha uwepo wa kozi ili kuwaaloka wakasome hapo.

Jambo hili ni baya sana ambalo linaonekana kufanywa na Shule ya Sekondari Ndono kuuza taarifa nyeti za wanafunzi wao na namba za simu za wazazi wao.

Jambo hili linakiuka sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi za watu.

Attachments

  • 20240327_152204.aac
    319.2 KB · Views: 3
Wameomba mawasiliano wamepewa binafsi wanafunzi wangu wengi inaonekana Kuna mahali waliandika namba yangu napokea simu na sms Kila kukicha hadi kutoka UDSM
 
Shida sio kuuziwa taarifa. Hawa jamaa wazinguaji kinoma..., matapeli balaa. Kuna kingine kipo singida kinaendeshwa na dada ake na mwenye chuo hiki. Kinaitwa city college wamepangisha pale jengo la walimu(cwt) mitaa ya mwenge. Ni matapeli kinoma. Wanakupokea ukitaka kusoma kozi yeyote hata kama haipo hapo(haijasailiwa), we lipa tu pesa Ako ndo utajua hujui.

Wanaokota walimu na wanatapeli. Hakuna mwalimu alipita pale bila kutapeliwa. Mwanafunzi anawaza kwenda pale akasema nataka nisome umeme. Wanaitikia sawa kozi ipo na inafundishwa wakati hamna chochote. we lipa tu pesa Ako ndo utajua. Watakuzungusha wee... Mwisho wa siku watakushauri ubadilishe kozi. Wanazulumu mpaka wamama ntilie.

Wanaweza wakaleta mwanafunzi wakamuungashia kwa mama ntilie wakati huo mwanafunzi amelipa ada. Wanampanga ma ntilie mhudumie dogo tutakulipa Hela Ako. Akikubali imekisha hyo.. hawatamlipa. Wanaweza kuwandanya wanafunzi.., kozi imesajiliwa mpaka level 3 mfano Kozi ya ICT kumbe kozi imesajiliwa level 2. Hawa jamaa ni matapeli ogopa.
 
Duh!
 
Shida sio kuuziwa taarifa. Hawa jamaa wazinguaji kinoma..., matapeli balaa. Kuna kingine kipo singida kinaendeshwa na dada ake na mwenye chuo hiki. Kinaitwa city college wamepangisha pale jengo la walimu(cwt) mitaa ya mwenge. Ni anafunzi.., kozi imesajiliwa mpaka level 3 mfano Kozi ya ICT kumbe kozi imesajiliwa level 2. Hawa jamaa ni matapeli ogopa.
Nimesoma Pale Mimi,Kipindi Bado hawajabadilisha Jina ! Kilikuwa Kinaitwa Musoma Utalii College. Mengi uliyoyasema ñi ya kweli! Sisi baadhi Yetu kwenye semester Yetu Tuliwafungulia Kesi na Wengine walirudishiwa Pesa zao
 
Chuo safi sana hiki

Ulikuwa una soma uandishi wa habari?

Yule dogo alipataga ajali ya pikipiki chuoni una mkumbuka?
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Wazazi wa wanafunzi waliomaliza kidato cha nne 2023 wamepokea ujumbe mfupi wenye taarifa halisi za watoto kutoka Chuo cha Tabora Polytechnic kilichopo Tabora mjini.

Ujumhe huo ulisomeka kuwa,
Mkuu wa chuo cha Tabora Polytechnic kilichopo Tabora mjini anakutangazia nafasi za masomo mzazi wa ......... Mwenye namba ........2023 katika kozi zifuatazo( kozi zimeorodheshwa kulingana na mchepuo aliofaulu mtoto husika kama ni Art au Science)
View attachment 2946641
Mara baada ya mmoja wa watu wangu wa karibu kupata ujumbe huo, alistuka kwani hajawahi kuwasiliana na hicho chuo kwa namna yoyote kwamba watakuwa wamepata namba za simu kutoka kwake mwenyewe.

Ndipo alopochukua hatua za kumtafuta mzazi wa aliyekuwa rafiki wa mwanaye shuleni hapo ili kuona kama naye katumia ujumbe huo. Mzazi huyo alithibitisha kuwa naye katumiwa ujumbe kama huo kwa jina la Mwanaye.

Akaamua kupiga namba inayoonekana kwenye ujumbe ili ahoji wamepata wapi namba ya simu ya mzazi wa mtoto husika, majina matatu na namba sahihi ya mtihani ya mtoto huyo.

Ndipo alipojibiwa kuwa kuna mawakala ambao huzunguka mashuleni, kukusanya/ kununua taarifa hizo za wanafunzi na kuwauzia wao hapo chuoni kupit8a Mkuu wa chuo, kisha wao huwatumia wazazi wa watoto jumbe za kiwajulisha uwepo wa kozi ili kuwaaloka wakasome hapo.

Jambo hili ni baya sana ambalo linaonekana kufanywa na shule ya Sekondari Ndono kuuza taarifa nyeti za wanafunzi wao na namba za simu za wazazi wao.

Jambo hili linakiuka sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi za watu.

Wewe ndo una mawazo mgando
Wao wana Nia nzuri sana Tena sana hlo n jambo zuri Tena, mbna vyuo vinatangazwa kwenye Tv na redio,
Mm nlijua utasema n matapeli kumbe n watu sahihi kabsaa,

Umeongea pumba sana
 
Nimesoma Pale Mimi,Kipindi Bado hawajabadilisha Jina ! Kilikuwa Kinaitwa Musoma Utalii College. Mengi uliyoyasema ñi ya kweli! Sisi baadhi Yetu kwenye semester Yetu Tuliwafungulia Kesi na Wengine walirudishiwa Pesa zao
Tobaaaah!! Lol
 
Chuo safi sana hiki

Ulikuwa una soma uandishi wa habari?

Yule dogo alipataga ajali ya pikipiki chuoni una mkumbuka?
Chuo safi kivipi? Ubabaishaji Mwingi Sana ulikuwepo Kipindi Kile! Maybe kwasasa wamekiboresha!! Madudu yalikuwa Mengi Sana!! Walitangaza wanatoa Course nyingi,kumbe walikuwa na Course mbili au Tatu zilizokuwa zimesajiliwa!!
 
Wazazi wa Wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne 2023 wamepokea ujumbe mfupi wenye taarifa halisi za Watoto kutoka Chuo cha Tabora Polytechnic kilichopo Tabora Mjini.

Ujumbe huo ulisomeka kuwa,
Mkuu wa chuo cha Tabora Polytechnic kilichopo Tabora Mjini anakutangazia nafasi za masomo mzazi wa ......... Mwenye namba ........2023 katika kozi zifuatazo( kozi zimeorodheshwa kulingana na mchepuo aliofaulu mtoto husika kama ni Art au Science)
View attachment 2946641
Mara baada ya mmoja wa watu wangu wa karibu kupata ujumbe huo, alishtuka kwani hajawahi kuwasiliana na hicho chuo kwa namna yoyote kwamba watakuwa wamepata namba za simu kutoka kwake mwenyewe.

Ndipo alipochukua hatua za kumtafuta mzazi wa aliyekuwa rafiki wa mwanaye shuleni hapo ili kuona kama naye katumia ujumbe huo. Mzazi huyo alithibitisha kuwa naye katumiwa ujumbe kama huo kwa jina la Mwanaye.

Akaamua kupiga namba inayoonekana kwenye ujumbe ili ahoji wamepata wapi namba ya simu ya mzazi wa mtoto husika, majina matatu na namba sahihi ya mtihani ya mtoto huyo.

Ndipo alipojibiwa kuwa kuna mawakala ambao huzunguka mashuleni, kukusanya/ kununua taarifa hizo za wanafunzi na kuwauzia wao hapo chuoni kupit8a Mkuu wa chuo, kisha wao huwatumia wazazi wa watoto jumbe za kiwajulisha uwepo wa kozi ili kuwaaloka wakasome hapo.

Jambo hili ni baya sana ambalo linaonekana kufanywa na Shule ya Sekondari Ndono kuuza taarifa nyeti za wanafunzi wao na namba za simu za wazazi wao.
Kuna rafiki yangu lilimkuta jambo kama hilo, alipomaliza form six (hakuwa na vigezo vya kuendelea degree) mama wake akapigiwa simu na chuo kutoka Arusha akaambiwa mwanao amechaguliwa kujiunga na kozi ya clinical medicine, lakini huyo rafiki yangu hakuomba chuo Arusha na wala hajawahi kufika, mama akamfosi ikabidi aende.

Kumbe chuo ndio kwanza kinaanza yaani mwaka wa kwanza, ilipofika mitihani ya end of semester ndio wakakiona cha Moto, rafiki yangu aliondoka kabla ya mtihani baada ya kusubiri karibia mwezi, alipoondoka waliobaki walifanya mtihani baada ya mwezi mmoja wakati huo vyuo vingine vipo semester ya pili na washafanya CAT 1.
 
Wewe ndo una mawazo mgando
Wao wana Nia nzuri sana Tena sana hlo n jambo zuri Tena, mbna vyuo vinatangazwa kwenye Tv na redio,
Mm nlijua utasema n matapeli kumbe n watu sahihi kabsaa,

Umeongea pumba sana
Ambacho hujaelewa na hutoelewa ni madhumuni ya mtoa mada.
Lengo la mtoa mada siyo kutoa tangazo bali taarifa za hao wanafunzi waliuziwa na shule walikosoma au walizipata wapi?
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Namba za simu nazo Siri
Majina ya wanafunzi waliohitimu shule Fulani nayo Siri
Namba za mitihani za wanafunzi nazo Siri,

Hahahahaha

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom