Kinahusiana na masuala ya uvuvi. Hapa Jijini Mwanza chuo kipo Nyegezi karibu na Nganza Girls Secondary School.Hivi hichuo kinahili watu wa aina Gani na waliofaulu vipi. Au div four wote wanaishi huko
Wanaosoma wakoje. Ni four au form sixKinahusiana na masuala ya uvuvi. Hapa Jijini Mwanza chuo kipo Nyegezi karibu na Nganza Girls Secondary School.
Both kwa ngazi tofauti.Wanaosoma wakoje. Ni four au form six