barrick

 1. Influenza

  Barrick imeilipa Tanzania dola milioni 100 ikiwa ni sehemu ya malipo ya dola milioni 300 ya fidia ya kodi

  Kampuni ya Barrick imeilipa Tanzania dola milioni 100, sawa na takriban sh. bilioni 250, ikiwa ni sehemu ya malipo ya dola milioni 300 ambazo Kampuni hiyo ya Madini ilikubali kulipa kama fidia ya kodi. Mfano wa Hundi ya kiasi hicho cha fedha imekabidhiwa na Meneja Mkazi wa Kampuni ya Barrick...
 2. Pascal Mayalla

  Habari Njema Kutoka Barrick Gold kwa Watanzania, Tunaanza Kufaidi Rasilimali Zetu, Donge Nono la Dola Milioni 100 zalipwa

  Wanabodi, Hatimaye Tanzania sasa tunaanza kufaidi rasilimali zetu za madini, ambapo leo, donge nono la dola za Marekani milioni 100, zimelipwa kwenye kile kibubu chetu pale kwenye ule mfuko Mkuu wa hazina ya serikali kama advance payment ya kile kishika Uchumba cha dola milioni 300, ambacho...
 3. MsemajiUkweli

  Mkurugenzi wa Barrick Gold adai Makinikia yaliyozuiwa Bandarini Dar yana thamani ya $280 Milioni

  Wakati akiongea na shirika la habari ya Uingereza liitwalo Reuters, Mkurugenzi wa Kampuni ya Barrick Gold, Mark Bristow amesema Makontena ya Makinikia yaliyozuiwa na serikali ya Tanzania Bandarini Dar es Salaam yana thamani ya Dola za Kimarekani milioni 280 ambapo ni sawa na takribani shilingi...
 4. J

  Pendekezo: Wakati wa sherehe za utiaji saini mikataba mikubwa kama wa Barrick KUB aalikwe ili baadae akawaelimishe Wapinzani

  Hili ni pendekezo tu. Kwamba KUB awe anaalikwa katika matukio muhimu ya kiserikali ili akiisha kuelewa yeye aende akawaelimishe na wafuasi wa kambi yake. Kwa aina ya wapinzani tulionao vichwa vyao ni rahisi kuelewa wanapoelezwa jambo " lile lile" na viongozi wao kuliko kusikiliza mubashara...
 5. technically

  Barrick vs Tanzania: Tukubali tu kwamba tumezidiwa ujanja na Wazungu

  1. Hakuna kubadili sheria ya madini mpaka Barrick waondoke nchini. 2. Hakuna kuishtaki Barrick mahakama za ndani. 3. Barrick haitajisajili ndani ya DSE. 4. Hakuna Mtanzania atakayeweza kununua hisa kwenye kampuni. 5. Serikali itapata share ya net profit na net loss kwa 50%. Kwa mkataba huu...
 6. elivina shambuni

  Mitungi ya gesi sasa kuundwa nchini Tanzania

  KAMA unatumia mtungi wa gesi ya kupikia nyumbani kwako, basi fahamu kwamba mtungi huo umeundwa nje ya nchi. Lakini muda si mrefu, mitungi ya aina hiyo itaanza kutengenezwa Tanzania na gharama zake zinatarajiwa kuwa nafuu kuliko ilivyo sasa. Akizungumza katika Maonesho ya Viwanda Mkoani Pwani...
 7. C

  Acheni kupotosha alichokuwa amesema Tundu Lissu kuhusu Acacia na MIGA

  Wafuasi wa Lumumba ama kwa ile kukosa uelewa, au kwa makusudi tu, since Day 1 wamekuwa wakipotosha ambacho Tundu Lissu aliongea kuhusu MIGA! Au wakati mwingine inawezekana ni kutokana na tabia yetu Watanzania ya kutotafuta ukweli! Binafsi nimekuwa nikilijadili suala la makinikia since Day 1, na...
Top Bottom