kuanzisha biashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. youngkato

    JamiiForums Tanzania Je, unafikiria kuanzisha biashara ya kukodisha ukumbi? Kabla hujawekeza mamilioni ya fedha, kuna mambo muhimu unapaswa kuyafahamu ili kuongeza nafasi

    Biashara ya kukodisha ukumbi ni moja ya fursa zenye uwezo mkubwa wa kuleta faida endapo itaendeshwa kwa mipango sahihi. Mahitaji ya kumbi kwa ajili ya harusi, semina, mikutano, sherehe za kuzaliwa na matukio mbalimbali yanaendelea kuongezeka. Hata hivyo, mafanikio ya biashara hii yanategemea...
  2. youngkato

    JamiiForums Tanzania Mwongozo Kamili wa Kuanzisha Biashara ya Bakery

    Biashara ya bakery ni miongoni mwa biashara zenye soko kubwa kwa sababu bidhaa kama mikate, keki, maandazi, biskuti, doughnuts na vitafunwa vingine vinahitajika kila siku. Hata hivyo, mafanikio yake yanategemea maandalizi mazuri, ubora wa bidhaa na namna unavyowahudumia wateja. 1. Tambua bidhaa...
  3. Zakaria Maseke

    JamiiForums Tanzania Hatua za kuanzisha biashara kisheria nchini Tanzania

    Elimu ya sheria: Kuhusu namna ya kufanya biashara yako iwe rasmi na inayoaminika kwa kufuata taratibu za kisheria. Kama unataka biashara yako iwe rasmi na ilindwe kisheria nchini Tanzania, fuata hatua hizi: 1: Chagua wazo la biashara. Tambua unataka kuuza nini au kutoa huduma gani. 2: Chagua...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Natarajia kuuza viatu kwa jumla naombeni maoni yenu

    Natarajia kuuza viatu kwa jumla naombeni maoni yenu.
  5. FORBIDDEN HISTORY

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuanzisha biashara ya gum boots (rain boots) jumla na reja reja

    Eneo ni mkoani, mara Changamoto, wosia, ushauri, mazuri, mabaya, maeneo ya kuchukulia jumla dar n. K Karibuni ndugu zangu
  6. A

    JamiiForums Tanzania Soma Hii Kama Unataka Kuanzisha Biashara Ya Kukutengezea Pesa Ndani Ya Mwaka 2026

    Rafki Kwa Wewe Ambaye unataka Kuanzisha Biashara Yako Ndani ya Mwaka 2026 ili Uanze Kutengeneza Pesa ya Uwakika Kuna Kitu Cha Msingi sana ambacho Unatakiwa Kukifahamu Na, Kitu Hicho Ni Soko La Bidhaa au Huduma ambayo unaenda Kutoa au Kuuza Na je Soko Ni Nini? Kwa Mujibu wa Stefan Georgi...
  7. Poker

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani uliaminishwa kabla ya kuanzisha biashara, ila ulipoingia uliona mafanikio au mauzauza

    Katika maisha yetu huwa tunakutana na shauri mbali mbali, inaweza kuwa pindi tunajitafuta au nyakati tumejipata. Mimi nliaminishwa nikianzisha biashara ya chips, inalipa sana na watu lazima wale. Aisee nlifunguliaga goli huko kigamboni mitaa ya midizini nkaishia kula chips mwenyewe na zingine...
  8. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuanzisha Biashara ya Dhahabu Ukiwa na Mtaji wa Milioni 2

    Dhahabu ni moja ya biashara kubwa sana Tanzania, hasa maeneo ya Chunya, Geita na Singida. Wengi huona mtaji mkubwa unahitajika, lakini ukweli ni kwamba hata ukiwa na mtaji mdogo kama milioni 2 unaweza kuanza, mradi tu ukipanga vizuri na kujua unapoelekea. Hapa nimekuandikia hatua kwa hatua jinsi...
  9. biz_mtaa

    JamiiForums Tanzania Hauna uzoefu wa kupika chakula cha watu wengi. Je, unaweza kuanzisha biashara ya catering?

    🤔 Swali hili ni la kawaida sana miongoni mwa wengi wanaotamani kuingia katika sekta ya huduma za chakula. Jibu ni la kuvutia na la kushangaza kwa wakati mmoja. 🙆‍♂️ Ukweli ni kwamba: Biashara ya catering si rahisi kama unavyodhani, hasa ikiwa huna uzoefu wa kupika kwa wingi. Lakini hii...
  10. biz_mtaa

    JamiiForums Tanzania Unatamani kuanzisha biashara ya event planning? Zijue hizi siri za kufika malengo ya wateja wako katika kuandaa matukio yao

    Kama mtu unayetaka kuingia kwenye biashara ya event planning, jambo kubwa linalokutofautisha na ushindani ni uwezo wa kuhakikisha kila tukio linaendana na malengo ya mteja wako. Tukio linaposhindwa kuendana na matarajio ya mteja, linageuka hasara, sio tu kwa mteja bali pia kwa sifa ya biashara...
  11. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Air bnb,ni nini?,nawezaje kuanzisha biashara hii,inayoshika kasi kwa nyakati hizi.

    Wenye uelewa watujuze hii kitu,inafanywaje?,mazingira gani mazuri kwa biashara hii?, vyumba vya aina hufaa kwa biashara hii?je banda zuri la manyasi linafaa kwa biashara hii?vibali vyake vinapatikanaje?,jinsi gani utafawafanyia wateja bookings kutoka nje ya nchi,na mengineyo, Kwani,MH.Rais wetu...
  12. baunsamuoga

    JamiiForums Tanzania Naombeni muongozo wa kuanzisha biashara ya cosmetics

    Wana jamii wenzangu, wakuu na viongozi wote nawasalimu kwa Jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzanian! Ndugu zangu Nina tarajia kuanzisha biashara ya vipodozi na urembo, binafsi sijawahi fanya biashara hii, hivyo heshima na tahadhima Nina omba kwa mwenye uelewa zaidi anipatie elimu, taratibu...
  13. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mawazo 112 ya Biashara na Mitaji yake: Hatua kwa hatua Jinsi ya kuanzisha Biashara 112

    Katika dunia ya leo, ambapo changamoto za ajira zinaendelea kuongezeka, ujasiriamali umekuwa suluhisho muhimu kwa watu wengi wanaotaka kujitegemea na kujenga maisha bora. Hata hivyo, wajasiriamali wengi hukutana na changamoto ya kupata wazo sahihi la biashara na kujua ni mtaji gani...
  14. youngkato

    JamiiForums Tanzania Nimejaribu mara kibao kuanzisha biashara mpya lakini mara nyingi nimekuta na na changamoto

    Nimejaribu mara kibao kuanzisha biashara mpya lakini mara nyingi nimekuta na na changamoto kadhaa, Nimefungua kampuni ikafa. Nataka nikusaidie ukianza safari yako ya kuwa na biashara au inaandaa kampuni yako hivi ni vitu muhimu kuvifanya mapema ili usirudie makosa kama ya kwangu. Changamoto...
  15. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mawazo 114 ya Biashara na mitaji yake: Hatua kwa Hatua: Jinsi ya Kuanzisha Biashara 114

    Katika dunia ya leo, ambapo changamoto za ajira zinaendelea kuongezeka, ujasiriamali umekuwa suluhisho muhimu kwa watu wengi wanaotaka kujitegemea na kujenga maisha bora. Hata hivyo, wajasiriamali wengi hukutana na changamoto ya kupata wazo sahihi la biashara na kujua ni mtaji gani unahitajika...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mshirika wa kuanzisha biashara Mwanza pekee

    Husika na kichwa hapo juu Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 40 ni mfanyanya biashara hapa mwanza, nahitaji mtu mwenye mtaji wa kuanziasha biashara ya pamoja. Mimi tayar nachumba cha duka natafuta mtu mwenye Nia ya pamoja, kutokana na chumba kilipo kinafaa sana kama Kuprint tishet mabango...
  17. Damaso

    JamiiForums Tanzania Tanzania Kuanzisha Biashara ya wa Bangi kwa Nchi Zilizohalalisha Matumizi Yake

    Bangi ni moja ya mimea ambayo imekuwa ikizua mijadala mingi duniani kutokana na matumizi yake katika maeneo mbalimbali kama vile tiba, burudani, na hata biashara. Angalizo! Mawazo ya mwandishi yanaweza kuleta fikra mbaya kwa baadhi ya watu! Hata hivyo, hali ya matumizi ya bangi inatofautiana...
  18. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Nyie fresh graduates, please msiwaibie mabosi wenu. Waoneeni huruma. Kuanzisha biashara mpaka ikue ni kazi nzito sana

    Wadogo zangu ambao ni fresh graduates mnaokaribia kuanza kazi au mpo kazini ila ni wachanga hapo ofisini, kamwe usimuibie boss wako. Hiyo ni laana. Kama unaona mshahara pamoja na bonuses zingine hazitoshi, please acha kazi kisha uende ukatafute kwingine kwenye maslahi mazuri zaidi ya hapo...
  19. Bodhichitta

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuanzisha biashara na 10% ya mtaji wangu

    Aslaam, Baada ya kujikusanya kwenye mtaji na kujiuliza nifanye biashara gani, nimeamua kuchukua 10% ya mtaji WANGU kwenda kuanza biashara. Kiukweli hakuna kitu kigum kwenye biashara kama kuamua ni biashara gani yakufanya ambayo itakidhi mahitaji yako na kukuletea faida itakayokuwezesha kukuza...
  20. Bodhichitta

    JamiiForums Tanzania Kama una ndoto za kuanzisha biashara anza kwanza kutafuta wazo la biashara kabla ya mtaji au tafuta vyote kwa wakati mmoja

    Aslaam, Kutokana na changamoto za Maisha ambazo hutufanya kawaza kutafuta ridhiki kila kukicha, wengi tumejikuta kujikita Mawazo yetu kwenye kufanya biashara ili tuweze kujikwamua katika mambo mbalimbali ya kimaisha hasa kwenye Nyanja za maendeleo. Imekuwa kawaida yetu mtu anapowaza kujiajiri...
Back
Top Bottom